Nguno Buchenja
Senior Member
- May 3, 2012
- 147
- 53
Baadhi ya wanasiasa wetu ni vigumu sana kuwaelewa dhamira yao, wanachokieleza kwa wananchi ni tofauti na nini nafsi zao zinataka (Mbwa mwitu wamevaa ngozi ya kondoo).
lol huyu james mbatia mndumilakuwili kweli. kwani huo mkutano walichaguana vipiView attachment 53388
Huyu jamaa ni CCM dam damu...
ni wa kukwepa kama ukoma.. Kafulila alishatutahadharisha
J.K Nyerere alishawahi kusema upinzani wa kweli utatoka CCM....the true alternative meaning of this statement is ukiwa nje ya CCM si mpinzani, sasa hapa kuna mawili ama Nyerere hakuwa sahihi au hawa tunaowaona ni wapinzani ni vivuli vya CCMAkina mkosamali nawahurumia sana!
nani anakula huu mzigo?View attachment 53388
Huyu jamaa ni CCM dam damu...
ni wa kukwepa kama ukoma.. Kafulila alishatutahadharisha
Kumbe kupiga picha na Nape imekuwa dili!Hivi huyu Nape mbona anatuchezea akili? Alikwenda New York akapiga picha na Sefue baada ya wiki mbili Sefue akawa Katibu Mkuu Kiongozi... Kaenda na Mbatia Uholanzi karudi wiki mbili baadae kateuliwa Mbunge na Rais... Kuna nini hapa?????
Bali ni wizi na ufisadi eeh..!
Wakuu niliona habari moja katika blog ya Issamichuzi, ikiwa na picha ya hao jamaa wakiwa wamepiga na baadhi ya wabongo wanaoishi Denmark tarehe 21 April 2012 , Nikajiuliza huu mkutano uwakilishi wake ukoje? lakini sasa najaribu kuunganisha huu mkutao na uteuze wa wabunge aliofanya mheshimiwa mkuu wa taifa la Tz kwa sasa hapo jana.
Naomba mwenye ufafanuzi zaidi anijuze