James Mbatia na Nape Nnauye wakiwa Denmark kuhudhuria mkutano wa vyama vya Siasa

Baadhi ya wanasiasa wetu ni vigumu sana kuwaelewa dhamira yao, wanachokieleza kwa wananchi ni tofauti na nini nafsi zao zinataka (Mbwa mwitu wamevaa ngozi ya kondoo).
 
Akina mkosamali nawahurumia sana!
J.K Nyerere alishawahi kusema upinzani wa kweli utatoka CCM....the true alternative meaning of this statement is ukiwa nje ya CCM si mpinzani, sasa hapa kuna mawili ama Nyerere hakuwa sahihi au hawa tunaowaona ni wapinzani ni vivuli vya CCM
 
Hivi huyu Nape mbona anatuchezea akili? Alikwenda New York akapiga picha na Sefue baada ya wiki mbili Sefue akawa Katibu Mkuu Kiongozi... Kaenda na Mbatia Uholanzi karudi wiki mbili baadae kateuliwa Mbunge na Rais... Kuna nini hapa?????
Kumbe kupiga picha na Nape imekuwa dili!
 
duh ukiona mwenyekiti wa chama unapewa/unateuliwa ubunge na rais wa chama pinzani na chako tambua hufai kuwa kiongozi,nimeamin maneno ya kafulila.
 
Hamjaelewa,ni kweli Mbatia njaa inamsumbua,lakini Kikwete pia amechanganyikiwa maana kwa hali ilivo sasa ni kama anapigwa kila upande kiasi kwamba haelewi nini afanye.matokeo yake kafanya kituko cha kumchagua Mbatia.hata haieleweki kalenga nini.Kiukweli tusicheke bali tumwombee huyu Rais.Kama alilenga kupata mtendaji toka Upinzani mbona dhamira hiyo haijaonekana,maana kama ni majembe,kunamajembe ya ukweli Upinzani.Au la basi tukubaliane kachagua mchovu kuogopa asije unguza Nyumba.Mana M4C kiukweli hata wewe ungewaogopa.
 
BASI siamni yanayoendelea siasa za Tanzania...nina mashaka na uwezo wa Mbatia kufikiri....akiwa bungeni na ni mwenyekiti wa NCCR atasimamia ILANI ipi?.....Upinzani so far ni CHADEMA.....nao wakikubali ofa iyo...upinzani no more
 
Bali ni wizi na ufisadi eeh..!

Hakuna mwanasiasa aliye Msafi ...!!!

na watch movie ya marley 2012 kuna quote bob marley anaongea baada ya kuulizwa ana support chama gani cha siasa jamaica kipindi kile kuna vurugu bob akajibu "when youth fight against youth for politicians that's make me sick" " who ever wins its gonna me same problem"
 
kazi yake ni kulinkisha mipango ya wapinzani kwa ccm bungeni.na kuharibu makubaliano ya pamoja kama upinzani
 
Wakuu niliona habari moja katika blog ya Issamichuzi, ikiwa na picha ya hao jamaa wakiwa wamepiga na baadhi ya wabongo wanaoishi Denmark tarehe 21 April 2012 , Nikajiuliza huu mkutano uwakilishi wake ukoje? lakini sasa najaribu kuunganisha huu mkutao na uteuze wa wabunge aliofanya mheshimiwa mkuu wa taifa la Tz kwa sasa hapo jana.
Naomba mwenye ufafanuzi zaidi anijuze

Bora mkono kinywani, that is the bottom line.
 
Wakuu niliona habari moja katika blog ya Issamichuzi, ikiwa na picha ya hao jamaa wakiwa wamepiga na baadhi ya wabongo wanaoishi Denmark tarehe 21 April 2012 , Nikajiuliza huu mkutano uwakilishi wake ukoje? lakini sasa najaribu kuunganisha huu mkutao na uteuze wa wabunge aliofanya mheshimiwa mkuu wa taifa la Tz kwa sasa hapo jana.
Naomba mwenye ufafanuzi zaidi anijuze

Mbatia ni NYOKA, ni Plan B CCM!!!! Na kawe alitumwa kuimaliza CDMA!!!!!! Ukijaribu kunuukuu maneno yake wakati wa kampeni utajua tu kuwa hana tofauti na CUF!!! Wote ni CCM plan B.
 
Ama kweli ushabiki wa kisiasa ni kitu cha ajabu; matusi kadri uwezavyo na udhalilishaji kadri utakavyo.
Kwa wanaotaka kujua ukweli;
Mbatia ni Mwenyekiti wa TCD, yaani Tanzania Centre for Democracy, ambayo wanachama wake ni vyama vyote vyenye uwakilishi bungeni. Ni kwa nafasi hiyo alialikwa Denmark. Nape naye alitumia mwaliko wa chama kinachounda serikali.
soma hapa: http://dipd.dk/tag/james-mbatia/
 
MI nipo hapa denmark mbona sikuwaona hao jamaa nikawachana live naona waliitana na magamba wezao sio watanzania tunoishi denmark hapa kuna wajanja bwana asikuwambie mtu NAPE hawezi kuleta longolongo zake hapa
 
uhusiano wa kisiasa kama hivi watu wanapiga picha pamoja na hata kula pamoja sio tatizo kwasababu siasa ni kupingana kwa mtazamo na sera za maendeleo lakini kwa hapa kinachoonekana sio tuu urafiki bali pia umamluki wa mbatia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom