Jamboleo na Kagame kuna nini?

Jamboleo na Kagame kuna nini?

Kwa suala ka Twagiramungu Dar walishalisema nadhani unakumbuka taarifa ya ikulu ila kwa mimi navyohisi hata kama walikuja hapa ni swali la Kigali kuuliza Tz kupitia ubalozi wao iliopo hapa Dar.
Tanzania nahisi siku zote wanapenda mazungumzo kwanza ndo maana hata Kagame alivyokuwa muasi Tz ilikuwa mediator wakati huo na tulofanya vivyo hvyo kwa wenzetu wa Bujumbura.
M23 kulikuwepo na mazungumzo nadhani yalikuwa chini ya Rais Museveni ,yaliposhindikana UN ikaamua watumike vikosi vyake na vikosi vyake vimetoka kwa wanachama SADC ambapo DRC ni mwanachama pia.

Kiongozi Robert nakubaliana na wewe kuwa kutoa ushauri wa mazungumzo kwenye conflict resolution ni njia moja ya kuleta mapatano. Lakini ushauri lazima uwe genuine. Usinipe ushauri wa kuongea na adui yangu wakati unampa support ya hali na mali huyo huyo adui yangu. Nikilijua hili ni lazima nikasirishwe kwa kuwa ushauri utakuwa wa kinafiki. Pili, waasi wa FDLR hawana nia ya kuzungumza, wao wanataka revenge na continuation of the genocide. Sioni hatia juu ya Rais Kagame kwenye hili. Nadhani yeye si mjinga kwa kuwa anawajua vema maadui zake hawa.
 
Acheni uhoga uyu kagame skeleton lazima tumchape kipigo cha paka mwizi,,tumfunze adabu.
 
Kiongozi Robert nakubaliana na wewe kuwa kutoa ushauri wa mazungumzo kwenye conflict resolution ni njia moja ya kuleta mapatano. Lakini ushauri lazima uwe genuine. Usinipe ushauri wa kuongea na adui yangu wakati unampa support ya hali na mali huyo huyo adui yangu. Nikilijua hili ni lazima nikasirishwe kwa kuwa ushauri utakuwa wa kinafiki. Pili, waasi wa FDLR hawana nia ya kuzungumza, wao wanataka revenge na continuation of the genocide. Sioni hatia juu ya Rais Kagame kwenye hili. Nadhani yeye si mjinga kwa kuwa anawajua vema maadui zake hawa.

Nyie watutsi lazima tuwape kipigo kitakatifu,,maana mnapenda sana uchokozi...hampendi amani sisi tutawafunza amani.
 
Ulikiona ambacho kiliandikiwa na gazeti la serikali ya Rwanda; News of Rwanda wakati hao akina Mwandosya tayari wameshatumwa kwenda huko?!

Uliona jinsi ambavyo News of Rwanda lilipoandika kwamba kisa cha JK kupeleka majeshi Congo ilikuwa ni kwa ajili maslahi binafsi...kutetea biashara ya mke wake Salma na dada wa Kabila?

Uliona waliposema kiongozi pekee Tanzania ambae alim-support JK ni Membe peke yake kwavile Membe na JK ni mashemeji?!! Ya nini kuhangaika na private newspapers wakati Rwandan Government owned news paper ndiyo inayoongoza kwa kuandika upumbavu?

Hivi gazeti la serikali linapoandika kwamba JK katuma majeshi DRC kwa ajili ya kulinda biashara za mke wake habari hiyo ina maana gani kama si kutaka kumfitinisha Rais na wananchi anaowaongoza? Hivi assume wale Watanzania JWTZ waliouawa kule DRC mmoja wapo awe ni ndugu yako wa damu; kisha gazeti la serikali ya Rwanda likuambie ingawaje ndugu yako ameuawa, lakini alienda huko kulinda maslahi ya Salma Kikwete na shoga ake....will it sound good to you?!

Mbaya zaidi, gazeti liliandika habari hiyo wakati tayari akina Mwandosya ama wameshaingia nchini Rwanda au wakiwa njiani....
....A very good analysis!..ila sasa kama unavyowajua hao watutsi wakiona umewapasha ukweli kama huu watajitahidi kujaribu kupindisha na kujifanya hawaelewi!
 
Sasa wewe naona itabidi uvisaidie vyombo husika vya hapa nchini kutoa ushahidi kama hao akina Twagiramungu na Rudasingwa walikaribishwa hapa nchini kwa malengo gani? Kwanza itabidi ujibu ni wapi Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ILIILAZIMISHA rwanda kukaa na hao FDRL zaidi ya kupewa tu ushauri? Na pili itabidi ujibu ni wapi Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania imeingilia mambo ya ndani ya Rwanda? Nyie watutsi mwaka huu mtaijua Tanzania vizuri; NEVER THINK YOUR DREAMS OF EXPANSIONISM WILL COME TRUE TO TANZANIA as you are doing in DRC!... kwa sababu hizo chokochoko zote ni ili mwisho mvamie mikoa mnayopakana nayo kwa kisingizio cha "kuwatetea minorities" kisingizio mnachotumia huko DRC ili mchukue upande wa Mashariki wa nchi hiyo!....GREEDY and BLOOD THIRSTY ETHNIC GROUP, tutsis!

Ha ha ha genocidaire mna mambo sana. Naona umeamua kufunguka. Hivi wewe ndugu yangu unafikiri unaweza kuniyumbisha mimi na vitisho vya kitoto namna hii.Haya, kila la kheri. Watanzania hatuko tayari kutumia kodi zetu kuwabeba wauaji wa FDLR. On this I plead guilty, send me to the guillotine! hell, I'll unhinge the blade myself to my gory demise. I'd rather go out swinging for what's right than live a lie.
 
Nyie watutsi lazima tuwape kipigo kitakatifu,,maana mnapenda sana uchokozi...hampendi amani sisi tutawafunza amani.

Mwl. Nyerere alishasema ya kuwa "dhambi ya ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu". Leo hii mnatuita "watutsi" wale tunaotofautiana mawazo na ninyi mlioamua kuunga mkono wauaji wa FDLR kana kwamba hamjui walichokifanya mwaka 1994. Upofu huu kwa mambo yaliyowazi unatokana na nini? Huo u-tutsi au u-hutu aliyeuanzisha ni nani na kwa misingi gani? Kama hao mnaowaita "watutsi" ni wabaya je Rudasingwa na Nyamwasa ni nani?
 
Ukweli ni kwamba nasikitishwa sana na habari za kuchochea raia ama majeshi ya Rwanda na Tanzania. Eleweni Rwanda siyo Kagame na wala Tanzania siyo Kikwete, ni zaidi ya hapo. Gazeti hili la Jambo Leo linamilikiwa na Ridhiwani, Malegesi wa EPA na Mkurugenzi ni Juma Pinto. Wakati tunalalamikia gazeti la Rwanda kwamba ni la serikali na hivyo kinachoandikwa ni kauli ya serikali hiyo, Je, na Rwanda wakidai gazeti la Jambo Leo linamilikiwa na mtoto wa Kikwete kwa hiyo linachoandika linakuwa limetumwa na Kikwete, mtasemaje? Wote Rwanda na Tanzania wametumia vyombo vya habari vibaya na vinaweza kutupeleka vitani. Ujinga mtupu. Hotuba ya Mwl Nyerere aliyotoa mwaka 1964 anasema" hakuna kazi nyepesi na rahisi duniani kama kuchochea chuki ama watu kufanya uhalifu." Kuandika habari za kuchochea vita, si uzalendo ni uchochezi wa wazi kabisa. This is purely irresponsible journalism!!! MCT mko wapi?
Watanzania hatujasema tunataka vita na nchi yoyote ile, lakini pia hatutakaa kimya iwapo tutachokozwa. haijalishi gazeti la Jambo Leo linamilikiwa na nani, ili mradi tu linamilikiwa na Mtanzania anayejaribu kutetea maslahi ya nchi yake. Sidhani kama Jambo Leo ndio walioanzisha hizo chokochoko? Ni PaKa mwenyewe alipoanza kumtishia Rais wetu na kufuatiwa na hilo gazeti lao ambalo limekuja na maneno machafu kibao hadi kumsingizia Mh Rais kuwa ni mhutu na pia mama Salma Kikwete!.....wewe haya yote ulitaka wa Tanzania tukae tu kimya tusiseme kitu? Huo utakuwa upole wa kipumbavu. Na hizi habari hao watutsi walizoziandika kuwa Mh Rais haelewani na Chief wa Usalama wa Taifa wewe uliziona ni RAHA kwako sio?.....
 
Kiongozi Robert nakubaliana na wewe kuwa kutoa ushauri wa mazungumzo kwenye conflict resolution ni njia moja ya kuleta mapatano. Lakini ushauri lazima uwe genuine. Usinipe ushauri wa kuongea na adui yangu wakati unampa support ya hali na mali huyo huyo adui yangu. Nikilijua hili ni lazima nikasirishwe kwa kuwa ushauri utakuwa wa kinafiki. Pili, waasi wa FDLR hawana nia ya kuzungumza, wao wanataka revenge na continuation of the genocide. Sioni hatia juu ya Rais Kagame kwenye hili. Nadhani yeye si mjinga kwa kuwa anawajua vema maadui zake hawa.

Mkuu tatizo langu ni hili je kuna ushahidi gani JK anawasapoti hawa FDLR .Hata kama kuna ushahidi wa Twagiramungu alikuwepo hatujui mazungumzo yalikuwa ni ya nini mpka tuseme jamaa anasapoti uendelevu wa uvunjifu wa amani labda alikuja kupata msaada wa mazungumzo kama walovyopata wa akina Kagame wakati huo.Tz hatupo hvyo Rais wetu si dikteta mpka atake kuwapa msaada wa kijeshi wa FDLR bila kupata approval ya bunge.
 
Mkuu Robert sijawahi na simtuhumu Rais wangu Kikwete ya kuwa anawasaidia FDLR, la hasha. Inawezekana kabisa kuwa alitoa ushauri kwa nia njema tu ya kuona amani katika maziwa makuu. Ila nina shaka kuwa kuna viashiria ndani ya serikali ya awamu ya nne ambao wanawaunga mkono waasi wa FDLR. Kama kweli Twagiramungu na viongozi wa FDLR wamekuwa hosted na serikali ya Tanzania basi hapo kuna tatizo kubwa sana. Kama wangetaka mazungumzo wangefuata taratibu zinazokubalika. Ni kwanini kufanya siri?
 
Watz wenzangu ebu tujiulize madhara ya kiuchumi tuliyoyapata baada ya vita ya Uganda?
Hawa wenzetu vurugu, vita,mauaji ya kikabila na mambomengi ya taswira hiyo I sehem ya utamduni wao ktika maisha ya kla siku

Tutumieni busara za kidiplomasia kumaliza kadhia hii mama zetu hawajazoea kutembea na watoto migongoni
 
Mkuu Robert sijawahi na simtuhumu Rais wangu Kikwete ya kuwa anawasaidia FDLR, la hasha. Inawezekana kabisa kuwa alitoa ushauri kwa nia njema tu ya kuona amani katika maziwa makuu. Ila nina shaka kuwa kuna viashiria ndani ya serikali ya awamu ya nne ambao wanawaunga mkono waasi wa FDLR. Kama kweli Twagiramungu na viongozi wa FDLR wamekuwa hosted na serikali ya Tanzania basi hapo kuna tatizo kubwa sana. Kama wangetaka mazungumzo wangefuata taratibu zinazokubalika. Ni kwanini kufanya siri?

Ndo maana na mimi mkuu nikasisitiza serikali ya Kigali kupitia ubalozi wao hapa nchini ungeomba maelezo kutoka serikali ya Dar kama taarifa hzo zilikuwa ni za kweli
japo ujasusi ni kosa kumfanyia mwenzio ila kuna exceptional kwenye suala hilo.
 
Naamini wengine si watanzania. Anzeni kuhoji kinachoganywa na news of rwanda. Haiwezekani rais wetu na nchi yetu tutukanwe, halafu tukae kimya. Balozi wa rwanda kama kweli ni mkweli, alikemee gazeri lake kwanza. Press ya tanzania inachekwa sana kwa kutomshughulikia pk na wafuasi wake. Nawaunga mkono jambo leo.
Manyerere Hapa na mimi nakuunga mkono!!
Tunatukanwa sisi kupitia kwa Kikwete!!
Sasa Udhaifu wa Kikwete unafanya kagame atutukane sisi na yeye hapa lipitishwe azimio!!
 
Jambo Leo leo tena wameendelea na kampeni ya kumchafua Rais Kagame. Very reminiscent of Kangura. Haya tusubiri "Tanzania manifesto" all over again. Aibu, aibu.
 
Ha ha ha genocidaire mna mambo sana. Naona umeamua kufunguka. Hivi wewe ndugu yangu unafikiri unaweza kuniyumbisha mimi na vitisho vya kitoto namna hii.Haya, kila la kheri. Watanzania hatuko tayari kutumia kodi zetu kuwabeba wauaji wa FDLR. On this I plead guilty, send me to the guillotine! hell, I'll unhinge the blade myself to my gory demise. I'd rather go out swinging for what's right than live a lie.
Am not a genocidaire, na wala sishangazwi na hiyo kauli yako! Na pia hakuna mahali nilipokutisha, I don't have that power. By the way, waanzilishi wa hiyo genocide ni nyie watutsi kwa kuwaua marais wawili mlivyoipindua ndege yao wakati huo wanatokea TZ kwa ajili ya mazungumzo ya amani. Pia ujue kuwa si watutsi pekee waliokufa katika mauaji yale, inawezekana waadhirika wakubwa walikuwa wahutu kwani by then idadi ya watutsi rwanda ilikuwa ndogo. Anyway, let me not go back there. LAKINI ukae ukijua kuwa, hakuna mTanzania anayependa kuona vita au mauaji au mavurugu yoyote; na vilevile hatutakaa kimya mkituletea chokochoko!....ulisema kuhusu dhambi ya ubaguzi somewhere, hivi kuna watu wabaguzi kama watutsi? hata chanzo cha hiyo genecide na chuki zisizoisha kati ya wahutu na watutsi ni ubaguzi na dharau watutsi wanazowafanyia wahutu. Hata leo ukifika Uganda na Rwanda, watutsi ndio wanashikilia nafasi kubwa na nyeti serikalini. Angalia Buyoya alichomfanyia Ndadaye huko Burundi? .... Sasa sisi kwa sababu tushawajua watutsi na nia zao mbaya, ni bora tuitwe wabaguzi kwa kulinda amani ya nchi yetu badala ya kumkumbatia adui alafu mwisho tuwe kama DRC au Uganda!......Msilete (kama na wewe ni mtutsi,kama sio am sorry, read it "wasilete") "cover" ya ubaguzi ili kuendeleza vurugu za kichinichini hapa kwetu..
 
Kwahiyo nyie mnafurahia nchi yetu kuandamwa na habari za kupikwa na propaganda za rwanda bila kujibiwa na vyombo vyetu vya habari sio? Mnawazimu

Vyetu! Vyetu na nani?Kwani kila gazeti ni chombo chetu? Au kila TV ni chombo chetu?

Soma maelezo na utaelewa kihelehele cha hilo gazeti ni kwa nini.
 
Am not a genocidaire, na wala sishangazwi na hiyo kauli yako! Na pia hakuna mahali nilipokutisha, I don't have that power. By the way, waanzilishi wa hiyo genocide ni nyie watutsi kwa kuwaua marais wawili mlivyoipindua ndege yao wakati huo wanatokea TZ kwa ajili ya mazungumzo ya amani. Pia ujue kuwa si watutsi pekee waliokufa katika mauaji yale, inawezekana waadhirika wakubwa walikuwa wahutu kwani by then idadi ya watutsi rwanda ilikuwa ndogo. Anyway, let me not go back there. LAKINI ukae ukijua kuwa, hakuna mTanzania anayependa kuona vita au mauaji au mavurugu yoyote; na vilevile hatutakaa kimya mkituletea chokochoko!....ulisema kuhusu dhambi ya ubaguzi somewhere, hivi kuna watu wabaguzi kama watutsi? hata chanzo cha hiyo genecide na chuki zisizoisha kati ya wahutu na watutsi ni ubaguzi na dharau watutsi wanazowafanyia wahutu. Hata leo ukifika Uganda na Rwanda, watutsi ndio wanashikilia nafasi kubwa na nyeti serikalini. Angalia Buyoya alichomfanyia Ndadaye huko Burundi? .... Sasa sisi kwa sababu tushawajua watutsi na nia zao mbaya, ni bora tuitwe wabaguzi kwa kulinda amani ya nchi yetu badala ya kumkumbatia adui alafu mwisho tuwe kama DRC au Uganda!......Msilete (kama na wewe ni mtutsi,kama sio am sorry, read it "wasilete") "cover" ya ubaguzi ili kuendeleza vurugu za kichinichini hapa kwetu..

Mkuu yaani ukisoma text in red utaona kabisa wewe ni genocidaire. Kauli zako hazitofautiani kabisa na kina Ingabire. Wao hunena kauli zizo hizo. Naomba nikurekebishe kuwa ndege ya Rais Habyarimana ilitunguliwa na FAR from their base next to the airport, using one of twenty S.A.M's given to FAR by the French. Wakina Bagosora na wahutu wenzi wake wenye mrengo mkali hawakupendezwa na power sharing agreement kati ya Habyarimana na RPF kwani ingetibua nia yao ya kuwamaliza "watutsi". Pili, ni kweli kuna "wahutu" wastaarabu waliuawa lakini wengi wa waliouawa walikuwa ni "watutsi". You have to understand that this hutu/tutsi designation is mainly superficial or as some used to call it "nose politics". There is not a scientific method to tell who is "hutu" and who is "tutsi". Rwanda inaheshimu sana Tanzania. Burundi is completely another ball game. Naomba uniambie Buyoya alimfanya nini Ndadaye na ukimaliza uniambie Ntibantunganya aliwafanya nini "watutsi"?
 
Jambo Leo leo tena wameendelea na kampeni ya kumchafua Rais Kagame. Very reminiscent of Kangura. Haya tusubiri "Tanzania manifesto" all over again. Aibu, aibu.

Mimi mara kwanza mambo haya yanaanza niliwaambia diplomasia inatakiwa Tz ikatumia diplomasia bado Rwanda kwa kutumia gazeti lake wakarudia tena jambo lilelile.
Nikasema humu humu vyombo vya habari vya Tz wakianza propaganda hapatakalika maana hii nchi kuna watu wamefuzu kwa propaganda rejea vita vya kagera,wareno,makaburu.
 
Ulikiona ambacho kiliandikiwa na gazeti la serikali ya Rwanda; News of Rwanda wakati hao akina Mwandosya tayari wameshatumwa kwenda huko?!

Uliona jinsi ambavyo News of Rwanda lilipoandika kwamba kisa cha JK kupeleka majeshi Congo ilikuwa ni kwa ajili maslahi binafsi...kutetea biashara ya mke wake Salma na dada wa Kabila?

Uliona waliposema kiongozi pekee Tanzania ambae alim-support JK ni Membe peke yake kwavile Membe na JK ni mashemeji?!! Ya nini kuhangaika na private newspapers wakati Rwandan Government owned news paper ndiyo inayoongoza kwa kuandika upumbavu?

Hivi gazeti la serikali linapoandika kwamba JK katuma majeshi DRC kwa ajili ya kulinda biashara za mke wake habari hiyo ina maana gani kama si kutaka kumfitinisha Rais na wananchi anaowaongoza? Hivi assume wale Watanzania JWTZ waliouawa kule DRC mmoja wapo awe ni ndugu yako wa damu; kisha gazeti la serikali ya Rwanda likuambie ingawaje ndugu yako ameuawa, lakini alienda huko kulinda maslahi ya Salma Kikwete na shoga ake....will it sound good to you?!

Mbaya zaidi, gazeti liliandika habari hiyo wakati tayari akina Mwandosya ama wameshaingia nchini Rwanda au wakiwa njiani....

Mkuu ktk yote hayo uliyoyaandika hapo juu ni lipi la uongo na lipi la ukweli. Au yote yaliyoandikwa na gazeti la Rwanda ni uongo? Tatizo letu wa-TZ tunapenda sana kufahamu utakatifu wa serikali yetu.

Binafsi sihitaji kuitetea serikali hii bila sababu. Ni bila sababu kwa sababu serikali hii haijawahi kunieleza ukweli. Kuna wakati vyombo vya nje ya Rwanda (UN?) iliandika juu ya kujihusisha kwa Wa-TZ kuuza siraha Kongo. Tena hawa walikuwa watu binafsi na hata siyo serikali. kwa nini sasa huamini kwamba mke wa Rais anaweza kujihusisha na biashara zake.

Tunaweza kujikuta vitani ili mke wa rais afaidike. Kwa nini hatutaki kumuhoji rais wetu badala yake eti tunahoji ukweli wa gazeti la Rwanda. Mbona ni hawa marais wetu wanaotuibia bila aibu? Halafu eti unaniuliza kama nitafurahi kusikia mke wa rais akitajwa kwenye mambo hayo ya vita. Kwangu ni ggod news kama zile za pembe za ndovu.

Hapa hapa vyombo vyetu vinaogopåa kuiandika familia ya Rais, leo hii unasaidiwa kuijua kupitia Rwanda eti wewe unachukia! kwa nini?

Nina marafiki Rwanda, lakini siwatetei hawa wapangaji wa ikulu.

Nasema tena, sitatetea mambo ya kama haya wakati sijawahi kuhusisha ktk shughuli za serikali.
 
kwahyo navyo vilivyoandikwa na jambo leo ni sahihi,kwahyo tuache mnyukano huu uendelee.
 
Mkuu yaani ukisoma text in red utaona kabisa wewe ni genocidaire. Kauli zako hazitofautiani kabisa na kina Ingabire. Wao hunena kauli zizo hizo. Naomba nikurekebishe kuwa ndege ya Rais Habyarimana ilitunguliwa na FAR from their base next to the airport, using one of twenty S.A.M's given to FAR by the French. Wakina Bagosora na wahutu wenzi wake wenye mrengo mkali hawakupendezwa na power sharing agreement kati ya Habyarimana na RPF kwani ingetibua nia yao ya kuwamaliza "watutsi". Pili, ni kweli kuna "wahutu" wastaarabu waliuawa lakini wengi wa waliouawa walikuwa ni "watutsi". You have to understand that this hutu/tutsi designation is mainly superficial or as some used to call it "nose politics". There is not a scientific method to tell who is "hutu" and who is "tutsi". Rwanda inaheshimu sana Tanzania. Burundi is completely another ball game. Naomba uniambie Buyoya alimfanya nini Ndadaye na ukimaliza uniambie Ntibantunganya aliwafanya nini "watutsi"?
UTAKAVYOONA, you are just a human being and you can't see my heart. Call me all the names you can. Those are defenses tutsis use when they are told the truth. Ukweli utabakia ukweli!....I have been in Rwanda, I have been in Burundi, I lived for several years in a region bordering Burundi, I have experienced a bad relation existing between the two ethnic groups. So my arguments are not based on "google" information. Kila la kheri, kazi njema!
 
Back
Top Bottom