Kabla Ya Kunihisi Mimi ni Mnyarwanda na Mtutsi Nadhani Ungeanza Kwanza Kumshutumu Baba Wa Taifa Wako ambaye Amekuletea Uhuru na Kukufanya Leo Uwe Hivyo Ulivyo ambae hata Yeye Pia Mlimuhisi Kuwa ni Mnyarwanda na Mtutsi. Watanzania Acheni Uwoga hakuna Mwenye Uhalali wa Nchi Hii Isipokuwa Wagogo tu Peke Yao. Ukitaka Nikupe Historia Ya Makabila Yote Niambie au Pitia Upya baadhi Ya Post Zangu Kuna Siku Niliziandika. Kifupi Mimi Siyo Mtanzania au Mnyarwanda bali Mimi ni Mwana Afrika na Afrika Yote ni Moja na Hii Mipaka Iliwekwa tu na Wakoloni Kwa Gharama Ya Ignorance Ya Baba Zetu na Chiefs. Najua Jambo Leo na Jamhuri Ambayo hata Leo Pia Imekuja Na Habari Ya Kichochezi Yanamilikiwa na Mwana hivyo Anatekeleza tu Maslahi Ya Mzee Mzima Kwa Agenda Yao Binafsi Ambayo Nina Imani Hawatafanikiwa na Hata Wakifanikiwa Tanzania Hatuna Uwezo Wa Kupambana Kijeshi na Kivita na RPF na Msijidanganye Kuwa Jeshi Letu Ndilo Limewaondoa M23 DRC bali Ni Mjumuisho tu Wa Majeshi Ya Kigeni Ya South Africa, Malawi na Tanzania na Cha Kushangaza Sijaona Malawi au Afrika Ya Kusini Wakijisifu na Sisi Kinachotusumbua ni Ushamba, Ujinga na Ulimbukeni wa Kujua Mambo Unaosababishwa na Uwezo Mdogo wa Akili Unaozidi hata Kidonge Cha Piriton................! Narudia Tena Kwa Kujiamini Tanzania hata Battle Strength Ya Kupambana Na Rwanda Ya Sasa Ninayoijua na Tuthubutu halafu Tuone Kiama Chetu. Tujenge Nchi na Uchumi Wetu Jamani Kwani Wenzetu na Haswa Majirani Wanatucheka na Tunadharaurika Mno na Tuache Politics ktk Sensitive Issues.