Jamboleo na Kagame kuna nini?

Jamboleo na Kagame kuna nini?

- Kaka maneno yako yanajisema wazi kwamba una agenda yako ya siri dhidi ya Jambo leo unasema Tanzania Daima halikukeri kabisa na wewe unajua sheria za uandishi ila unakerwa na Jambo Leo ambalo linaweka mambo yote wazi na kuachia wananchi kufanya uamuzi?

- Kaka agenda yako nzito sana maana maneno uliyoyatumia ni mazito sana una agenda gani kaka?

Le Mutuz

sumu ya kummaliza paka mla vifaranga hapo kigali inaelekea kupatikana na amani eneo la maziwa makuu itasimama
 
Jukwaa hili yawezekana likawa na watu wapumbavu kuliko jukwaa lolote tofauti na tunavyotaka kujifariji. Na tatizo letu kubwa ni kukabiliwa na ulemavu wa kujadili kila jambo kwa mtazamo wa kichama. Kwamba kila anaetoa maoni tofauti na kundi fulani basi katumwa na kundi jingine.

Inashangaza kwa mtu fulani kuamua kupofusha macho na uwezo wake wa kufikiri hata kwa jambo lililodhahiri na dhihaka aliyoifanya Paul Kagame kwa nchi yetu na Rais wetu halafu kuna jitu linakurupuka eti Kagame hana tatizo na sisi.
 
Waambie waanze sasa mburula wewe,ushajitabanaisha wewe upo upande upi na ndo maana na sisi tunajitabainisha tunaitetea Tz kwa uwezo wetu wote.Jiulize waliokuwa mstari wa mbele kwenye hyo vita ni wa akina na mpka tukawapoteza wapendwa wetu.Ungekuwa karibu yngu ningekufumua bonge la ngumi la chembe.

mweleze huyo mfuasi wa PAKA
 
Hivi ni kwanini Tanzania tunaleta chokochoko kwa Rwanda? Ushauri alioutoa Rais Kikwete kwa Rais Kagame ulikataliwa kwa kuwa haukuwa na mashiko. Sasa kwa nini mnalazimisha mtu akubaliane na "ushauri"?? Mjiulize silaha wanazotumia FDLR zinatoka wapi na kupitia bandari gani? Hivi mnataka Kagame akae anawachekea tu wakati mko pamoja na waasi wanaotaka kuipindua serikali halali ya Rwanda? Je, ni kweli ama si kweli kuwa Twagiramungu and other genocidaires walikuwa hosted na serikali ya Tanzania? Hapa tuache hisia, tujadili masuala kama wasomi. Patriotism does not mean you blindly defend the indefensible.

Mtu akihoji huu ushirika na wahutu wenye mrengo mkali, mnamuita M-tutsi hata akiwa mkurya kama mimi. Ukweli utabaki pale pale kuwa Rais Kagame ana kila haki ya kutetea na kuilinda nchi yake dhidi ya wauaji ambao mpaka leo wanaona mauaji waliyoyatekeleza yalikuwa halali na bado wangali na mpango wa kuwamaliza watutsi wote na wahutu waliostaarabika. Tanzania has no business propping up the DRC and their FDLR genocidaire surrogates. Nauliza mandate ya MONUSCO kushambulia waasi wa FDLR itatekelezwa lini? Mlikuwa wepesi kushambulia majeshi disciplined ya M23 ambayo yalikuwa yakilinda raia na minorities in Eastern DRC against pillaging, rapes, looting and murders in the hands of the ragtag FARDC. Kuna makundi zaidi ya 17 Eastern DRC ila mkaona ni M23 tu wa kushambulia. Mbona hao wengine hasa hasa FDLR hamuwashambulii? Acheni unafiki, nia yenu ni kumpindua Rais Kagame ili muwaweke wauaji wa FDLR madarakani.
 
Tukishampindua huyo Kagame, faida ya Tz ni nini kwenye hayo mapinduzi?Je Kigali ina ushawishi gani Dar,mpka Dar wawe na jambo hilo lakumtoa huyo jamaa.
 
GENTAMYCINE Toa uozo huko, jk na familia yake wana kisa gani hadi kumchukia pk. Pk mpenda ukuu ndio kidudumtu eneo la maziwa makuu akiambiwa awe mtu wa amani anapandisha mashetani. Pk anatafuta umashuhuri bandia wakati jk ni mashuhuri kihalisia kutokana na kuheshimu utu na demokrasia.
 
Last edited by a moderator:
Lazima utakuwa unakichaa mkuu siyo bure na lazima ubongo wako una hitilafu
 
Sasa mbona Tunabaki tu Kutishia Nyau? Twendeni Kigali Tuone Balaa Lake.
..."Tunabaki...."Twendeni...Tu one"......unataka kujifanya Mzalendo wa Tanzania na wewe??.. ungesema "Mnabaki......"Nendeni......." Muone"....!....Sisi hatujasema twataka vita, nyie ndio mlianzisha chokochoko zote hizi kwa sababu mna hamu na damu za watu. Damu mnazomwaga huko DRC haziwatoshi tu?!
 
Tukishampindua huyo Kagame, faida ya Tz ni nini kwenye hayo mapinduzi?Je Kigali ina ushawishi gani Dar,mpka Dar wawe na jambo hilo lakumtoa huyo jamaa.

Mkuu Robert, hilo ndio swali la kujiuliza? Ni kwa nini Tanzania ishikie bango masuala ya ndani ya Rwanda? Kwa nini tulazimishe Rwanda ikubali ushauri wa kukaa meza moja kwa serikali ya Rwanda na waasi wa FDLR? Kwa nini Tanzania iwakirimu Twagiramungu, FDLR na kina Rudasingwa? Maswali ya msingi.
 
Ebu jikumbushe....nilichomjibu Manyerere Jackton mwezi Julai, 2013....

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-awaombe-radhi-wanyarwanda-2.html#post6966053

baadaya hapo ikawa hivi...

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-awaombe-radhi-wanyarwanda-2.html#post6966199

na nadhani tulifunga mjadala na Manyerere kuhusu hili hivi...

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-awaombe-radhi-wanyarwanda-3.html#post6966888

Ni katika hitimisho hili kati yangu na Manyerere...nashukuru serikali yangu imepokea ushauri wangu na kuufanyia kazi...kwani ni hivi majuzi Serikali yetu imetuma "envoy" ikiongozwa na Waziri M. Mwandosya huko Rwanda pengine kuhusu suala hili.

Nijambo la kushangaza...Gazeti la Jambo Leo kuendelea kuhujumu juhudi za Rais na serikali yetu kumaliza hitilafu yetu na Rwanda. Kwa haraka inabidi Jambo Leo wakanywe kuhusu hujuma zao dhidi ya mpango wa kuleta utengemano mzuri na majirani zetu.
 
Hivi ni kwanini Tanzania tunaleta chokochoko kwa Rwanda? Ushauri alioutoa Rais Kikwete kwa Rais Kagame ulikataliwa kwa kuwa haukuwa na mashiko. Sasa kwa nini mnalazimisha mtu akubaliane na "ushauri"?? Mjiulize silaha wanazotumia FDLR zinatoka wapi na kupitia bandari gani? Hivi mnataka Kagame akae anawachekea tu wakati mko pamoja na waasi wanaotaka kuipindua serikali halali ya Rwanda? Je, ni kweli ama si kweli kuwa Twagiramungu and other genocidaires walikuwa hosted na serikali ya Tanzania? Hapa tuache hisia, tujadili masuala kama wasomi. Patriotism does not mean you blindly defend the indefensible.

Mtu akihoji huu ushirika na wahutu wenye mrengo mkali, mnamuita M-tutsi hata akiwa mkurya kama mimi. Ukweli utabaki pale pale kuwa Rais Kagame ana kila haki ya kutetea na kuilinda nchi yake dhidi ya wauaji ambao mpaka leo wanaona mauaji waliyoyatekeleza yalikuwa halali na bado wangali na mpango wa kuwamaliza watutsi wote na wahutu waliostaarabika. Tanzania has no business propping up the DRC and their FDLR genocidaire surrogates. Nauliza mandate ya MONUSCO kushambulia waasi wa FDLR itatekelezwa lini? Mlikuwa wepesi kushambulia majeshi disciplined ya M23 ambayo yalikuwa yakilinda raia na minorities in Eastern DRC against pillaging, rapes, looting and murders in the hands of the ragtag FARDC. Kuna makundi zaidi ya 17 Eastern DRC ila mkaona ni M23 tu wa kushambulia. Mbona hao wengine hasa hasa FDLR hamuwashambulii? Acheni unafiki, nia yenu ni kumpindua Rais Kagame ili muwaweke wauaji wa FDLR madarakani.
..and you call yourself a Kurya!...I bet you are a tutsi, because you all have wore the tribal names of Tanzania like Ha, Hangaza etc.... and if you are truly a Tanzanian, then you don't what really is going on in the Great Lakes Region!....
 
Binafsi kuna magazeti hata kama yapo kwenye mtandao niliisha yawekea vikwazo vya kiuchumi, hua sisomi, hili ni moja wapo!
 
Mkuu Robert, hilo ndio swali la kujiuliza? Ni kwa nini Tanzania ishikie bango masuala ya ndani ya Rwanda? Kwa nini tulazimishe Rwanda ikubali ushauri wa kukaa meza moja kwa serikali ya Rwanda na waasi wa FDLR? Kwa nini Tanzania iwakirimu Twagiramungu, FDLR na kina Rudasingwa? Maswali ya msingi.
Sasa wewe naona itabidi uvisaidie vyombo husika vya hapa nchini kutoa ushahidi kama hao akina Twagiramungu na Rudasingwa walikaribishwa hapa nchini kwa malengo gani? Kwanza itabidi ujibu ni wapi Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ILIILAZIMISHA rwanda kukaa na hao FDRL zaidi ya kupewa tu ushauri? Na pili itabidi ujibu ni wapi Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania imeingilia mambo ya ndani ya Rwanda? Nyie watutsi mwaka huu mtaijua Tanzania vizuri; NEVER THINK YOUR DREAMS OF EXPANSIONISM WILL COME TRUE TO TANZANIA as you are doing in DRC!... kwa sababu hizo chokochoko zote ni ili mwisho mvamie mikoa mnayopakana nayo kwa kisingizio cha "kuwatetea minorities" kisingizio mnachotumia huko DRC ili mchukue upande wa Mashariki wa nchi hiyo!....GREEDY and BLOOD THIRSTY ETHNIC GROUP, tutsis!
 
JAMBO LEO WAMEAMKA NA HABARI HIYO TENA JAMANI JAMANI , TUACHE CHOKO CHOKO KWA SABABU WATAKAOUMIA NI SISI HUKU TUNAOPANDA DALADALA ,NA BODABODA WAO HUKO KWENYE MA BMW NA NDEGE WATASEPA.
NI VEMA KUWA MAKINI NA HABARI ZIANDIKWAZO KWANZA HAKUNA GAZETI LIITWALO "NEWS OF RWANDA"Hiyo ni social media kama hii yetu hapa jamii forums kila mwenye wazo lake hutoa.
Pili jamani Mh;Rais wetu amakwisha tuma ujumbe kwa mwenzake kupitia Mh Mwandosya , kwa nini tuendelee na haya, kweli hilo gazeti halina kingine cha kuandika ni hilo tu liletalo harufu ya kutokuwa na amani kati ya majirani, jirani yako ndio wakwanza kumlilia hata likitokea la kutokea mpaka wazazi wetu watoke kijijini wa kwanza ni JIRANI HATA POLISI AMA FIRE WANAFIKA BAADA YA MAJIRANI KUANZA FIRST AID.
Tusidharau hayo tutumie lugha laini na MEDIA WAWE MBELE KUONGOZA NA KUTOA HABARI ZA KUJENGA.
TWENDE DODOMA SAA NANE KUANGALIA YANAYOJILI BUNGE LETU LA KATIBA SIO UMBEA NA UCHOCHEZI WA MAGAZETI.
HONGERA MTANZANIA KUANZA KUWA WASIKIVU.
 
Mkuu Robert, hilo ndio swali la kujiuliza? Ni kwa nini Tanzania ishikie bango masuala ya ndani ya Rwanda? Kwa nini tulazimishe Rwanda ikubali ushauri wa kukaa meza moja kwa serikali ya Rwanda na waasi wa FDLR? Kwa nini Tanzania iwakirimu Twagiramungu, FDLR na kina Rudasingwa? Maswali ya msingi.
We ni mgeni Tanzania wewe, machafuko yanayotokea/yatakayotokea Rwanda, Congo, Burundi, Kenya, Uganda, Malawi, Zambia na Msumbuji ni shida kwetu Tanzania; Inawezekana tukawa hatufanyi nao biashara (hasa Bandari yetu ya Dar) lakini mzigo wa wakimbizi toka kwenye hizo nchi atakaye beba ni Tanzania, utake usitake. Kikwete alitoa ushauri ule and to me, he was right, tumekua tunajikuta tunabeba mizigo isiyotuhusu hata kidogo na kusema ukweli, bado sijaona watu wasiokua na shukurani kama Watutsi, msaada wote tuliowafanyia still wanatudharau, watu wa Kigoma wanawakumbuka vizuri sana hawa watu.
 
..and you call yourself a Kurya!...I bet you are a tutsi, because you all have wore the tribal names of Tanzania like Ha, Hangaza etc.... and if you are truly a Tanzanian, then you don't what really is going on in the Great Lakes Region!....

There you go again with the name-calling. Rushasha dude I'm Tanzanian to the core. And contrary to your patronizing statements, I do know a great deal about the Great Lakes. I simply refuse to jump into the anti-Kagame bandwagon that seems to have garnered speed lately. Penye ukweli lazima tuseme. President Kagame is no saint but he sure as heck has done wonders for all Rwandese regardless of "tribal" affiliations that have for some many decades resulted in untold bloodletting. Leo hii wanyarwanda wanafaidi matunda ya uongozi thabiti wa Baba Kagame. His is a disciplinarian approach to a people formerly and still to some extent divided along ethnic lines (thanks to the Belgians and French masters).

If you follow the rules, you are safe. But if you want to incite and promote genocidal ideologies, you must be dealt with. Mbona former FDLR wengi tu wamerudi Rwanda once they decided to renounce that hateful ideology. Wako wanajenga nchi na wengine wana nafasi nyeti sana serikalini. Ukweli utabaki pale pale kuwa Rais Kagame ameweza kuisimamia Rwanda kutoka kwenye mauaji ya kimbari na mpaka kufikia kupiga hatua kubwa sana kimaendeleo katika Africa. Usalama wa Rwanda ni jukumu nambari moja kwa Rais Kagame na kiongozi yeyote makini duniani.
 
Mkuu Robert, hilo ndio swali la kujiuliza? Ni kwa nini Tanzania ishikie bango masuala ya ndani ya Rwanda? Kwa nini tulazimishe Rwanda ikubali ushauri wa kukaa meza moja kwa serikali ya Rwanda na waasi wa FDLR? Kwa nini Tanzania iwakirimu Twagiramungu, FDLR na kina Rudasingwa? Maswali ya msingi.

Kwa suala ka Twagiramungu Dar walishalisema nadhani unakumbuka taarifa ya ikulu ila kwa mimi navyohisi hata kama walikuja hapa ni swali la Kigali kuuliza Tz kupitia ubalozi wao iliopo hapa Dar.
Tanzania nahisi siku zote wanapenda mazungumzo kwanza ndo maana hata Kagame alivyokuwa muasi Tz ilikuwa mediator wakati huo na tulofanya vivyo hvyo kwa wenzetu wa Bujumbura.
M23 kulikuwepo na mazungumzo nadhani yalikuwa chini ya Rais Museveni ,yaliposhindikana UN ikaamua watumike vikosi vyake na vikosi vyake vimetoka kwa wanachama SADC ambapo DRC ni mwanachama pia.
 
Back
Top Bottom