Jamboleo na Kagame kuna nini?

Jamboleo na Kagame kuna nini?

Naamini wengine si watanzania. Anzeni kuhoji kinachoganywa na news of rwanda. Haiwezekani rais wetu na nchi yetu tutukanwe, halafu tukae kimya. Balozi wa rwanda kama kweli ni mkweli, alikemee gazeri lake kwanza. Press ya tanzania inachekwa sana kwa kutomshughulikia pk na wafuasi wake. Nawaunga mkono jambo leo.

Salaam sana Brother Jackton, baada ya salaam nipende tu kukuambia kuwa, kuwa mtanzania sio kushabikia propaganda za media zinazozidi kuleta tension miongoni mwa wananchi, tambua kuwa kuna kuwa mtanzania na kuwa mtanzania mzalendo, naamini kwa mzalendo yeyote hawezi kushabikia propaganda zozote za kivita endapo hakuna usalama wowote wa nchi unaotishiwa, kinachofanywa na Rais PK na baadhi ya media za Rwanda naweza kukiita kuwa ni hali ya mfa maji ambaye yuko tayari kushika chochote kwa matumaini ya kujiokoa, PK anakabiliwa na both internal and external conflicts ndani ya serikali yake hivyo majibizano kati ya media za Tanzania na Rwanda ni kupoteza muda tu. Naamini kwa watanzania wazalendo (citizens) endapo tuta-smell threats zozote toka serikali ya Kigali hatutasita kudeal na PK squarely. VIVA TANZANIA
 
Awa watusi lazima tuwachape ili tuwafunze adabu..wameua ndugu zao. wahutu,,wameenda kuua wakongoman..ni wakati wa kuwafunza Adabu.
 
Jambo ni gazeti kama ya udaku. Hata kwenye zogo la Zitto Kabwe kila siku walikuja na story hazina kichwa wala miguu. Mimi binafsi sijawahi kulinunua wala kulisoma kwa undani ladba kusikia vichwa vya Habari kwenye Radio. It is pure hogwash.
 
1. International community ipi? Weka hapa any article inayosema what RPF was trying to achieve was wrong..(facts only)

2. Nimekuambia hapo awali kuwa venue ya arusha sio kigezo cha kujivunia. Tulivyokuwa tumewashika pabaya hata kwenye moon wangeenda tu.

3. Naomba unijibu na vile vile wana JF wachangie...kama habyarimana alishakubali ku share power, why would RPF kill him? Matakwa yetu wameyakubali sasa kwa nini auawe. Kama asingekubali hapo nadhani ndio RPF ingekuwa na sababu za msingi za kumuondoa madarakani na kama angeng'angania kubaki rwanda basi hapo ndipo labda angekuwa casualty of war. Labda nikueleweshe mambo ya negotiations....katika pande zote mbili moja huwa inakwa na upper hand. Na mara nyingi serikali iliyopo madarakani ikiona imezidiwa, hapo ndipo hukubali kukaa mezani na wapinzani. So, kati ya RPF na serikali ya rwanda, aliyekuwa na upper hand ilikuwa RPF. Sitaki kukuambia nani waliitungua ndege hiyo kwa sababu unajua. Ila nia yangu ni kuwajaribu kuwaelezea watanzania ili wachambue kwa kina wajue ukweli uko wapi?

wewe mwenda.wazimu umeshindwa mjadala wetu unadandia ya wenzio, huu haukuhusu ni kati ya mimi na huyu mwenzio muungwana. Wewe ukishashindwa mwisho wako huwa kama ifuatavyo remember?

hahaha. labda nikuulize kwa lugha simple inayotosha akili yako wewe mbumbumbu usiye na akili. NIKITAKA KWENDA KWENYE HIYO HABARI NABONYEZA WAPI? hiyo ndio maana ya kuweka link pi.m.bi wewe! Unataka niamini habari imetoka the east african kwa sababu tu we umeipachika hapa?

Bonyeza kwenye nanihii yako the East Africa itafunguka.
 
Umetumwa Na kageme? Wanyarwanda Bwana maneno mengi eti tembo kama wanachafua nao wachafuliwe. Wametimuliwa kivu mashariki sasa wanashusha matusi Kwa watanzania nyambafu. Huwezi Kujenga uchumi wako Kwa kutegemea wizi wa Maliasili za nchi jirani
 
wewe mwenda.wazimu umeshindwa mjadala wetu unadandia ya wenzio, huu haukuhusu ni kati ya mimi na huyu mwenzio muungwana. Wewe ukishashindwa mwisho wako huwa kama ifuatavyo remember?

Jibu maswali? Au na wewe umeshikwa pabaya
 
Mkuu Rushasha sasa mbona unajihami? Aliyesema una google information ni nani? By definition genocidaire ni yeyote anayekataa or he/she who waters down the genocide in that took place in Rwanda in 1994. Kauli zako zina-fit hii description. Hata mimi nimeenda Rwanda na Burundi na Uganda na Kagera na Kigoma mpakani kabisa na Rwanda na Burundi. Hapa suala si matembezi bali ni uungwaji mkono wa hawa wauaji wa FDLR na baadhi ya watanzania wenzi wangu. Hili linasikitisha kwani pindi watanzania watakapoujua ukweli watajutia nafsi zao.
Hear me again; hakuna mtu anayeunga mauji mkono. Na hakuna sehemu mimi niliunga mauaji mkono; kama ipo show me! My argument is, who caused the genocide in rwanda? and why did it happen?.. kwanini watutsi wa rpa walivamia rwanda wakitokea uganda? Nasema walivamia coz wengi wao hasa viongozi wa PaKa na Fredy Rwigyema walikuwa na uraia wa uganda. Kingine ninachopingana na watutsi ni hizo tabia zao za kujiona wao they are superior to other races in africa, especially wahutu!.. na tabia zao za kujiona wao ndio wanaweza kuwatawala wengine hata kwa kumwaga damu just as they did in uganda, rwanda and now what they are trying to do in DRC? Hizi chokochoko zao kwa Tanzania wanakotaka kuelekea ni huko huko kama walivyofanya uganda na rwanda na huko DRC!....
 
:Cry::Cry::Cry: you can't see my heart. What a wuss. Sijawahi kuona mtu emotional kama wewe. Wewe ni dume au jike?
..you i.di.ot are you back again?....sina muda wa kubishana na wewe M.SE.NG.E wa KIKE.. kaongee na malaya wenzako; hapa sio size yako!...
 
..you i.di.ot are you back again?....sina muda wa kubishana na wewe M.SE.NG.E wa KIKE.. kaongee na malaya wenzako; hapa sio size yako!...

Nani mwanamke hapa sasa....my heart, mara my feelings, inabidi moderators wafungue forum ya akina mama manake hizo estrogens zako zinafaa huko. Dimwit
 
WanaJF,

Nimekuwa nafuatilia muda mrefu ufyukunuku wa hili Gazeti juu ya Kagame, kwa muda sasa limekuwa likiandika front page habari za Kagame zilizojaa fitna, majungu na story za hisiahisia tu.

Nimekuwa nikijiuliza Malengo ya hili Gazeti ni nini juu ya Diplomasia yetu na Rwanda au nani yuko nyuma ya hili Gazeti?

Tumeshuhudia Ikulu wakikerwa na Magazeti ya Rwanda yanayoandika hisiahisia zisizo na ukweli juu ya Rais Kikwete vipi kuhusu JamboLeo?


mkuu hujafanya utafiti,umekurupuka sana.yaache magazeti ya TZ yajibu propaganda za kagame mkuu.hii ni nchi,haiwezi kushambuliwa kwa maneno ovyo ovyo.wote tunajua kua TZ ina haki kuwasaidia DRC,kwani Rwanda inanini mpaka ituzuie tusisaidie DRC?ACHA UVIVU WA KUFIKIRI.TANZANIA HAIWEZI KUPANGIWA NA RWANDA JINSI YA KUISHI HAPA DUNIANI.Kama unaweza mwambie PK kuwa watz wanakerwa na tabia zake,nchi yetu imeumia sana ktk kuwahifadhi wanyarwanda wakati wa vita vyao sasa asituumize kwa maneno maneno.
 
jambo leo ni us.huzi tu,matatizo binafsi ya jk na kagame wanataka kutuingiza vitani,..siungi mkono ujambazi wa rwanda kule congo lakini jk anamuonea wivu kagame sababu anasifiwa kwa uchumi..jamba leo are drug kingpins,masogange ni punda wao mkuu .
 
Back
Top Bottom