Ikulu ilishatoa taarifa ya kukerwa na uandishi ule inatosha tuachane na hayo mambo tujenge nchi,JK hana tatizo na Rwanda wala sisi Watz hatuna tatizo na Rwanda ila vyombo vya habari vinataka kukuza tatizo.Mbona hamuulizi gazeti la news of rwanda linavyomkashifu Mh Rais wetu na familia yake?
Hivi ni gazeti la Rizwani ama nimeconfuse na jamuhuri?
angalieni sana watanzania wenzenu kabisa mnaanza kutubagua na kutuita wanyarwanda kwa sababu tunaongea ukweli.dhambi ya ubaguzi itawatesa sana
Yaani ulipoanza nilidhani una hoja za msingi lakini baadae nikagundua huna lolote!!Masterlegendary na Kituru Nawashukuruni Kwa Kuliona Hilo Kwani Kwa Muda Mrefu Sana Nimekuwa Nikikemea Juu Ya Uandishi wa Gazeti hilo Pamoja na Haya Mawili Mtanzania na Jamhuri ila Nashukuru Yawezekana Ushauri Wangu Ulisaidia Kwani Siku Hizi Mtanzania na Jamhuri Hawaandiki tena Habari za Chuki na Kichochezi baina Yetu na Rwanda.
Ulikiona ambacho kiliandikiwa na gazeti la serikali ya Rwanda; News of Rwanda wakati hao akina Mwandosya tayari wameshatumwa kwenda huko?!My Take kama Mh Rais wetu katuma ujumbe kupitia kwa Mh Waziri Prof Mwandosya sioni kwa nini kuendelea na huu uchochezi wa magazeti. Jambo Leo na Mtanzania ni vema waonywe jamani choko choko hizo ndio hizaa vita chonde chonde.
Masterlegendary na Kituru Nawashukuruni Kwa Kuliona Hilo Kwani Kwa Muda Mrefu Sana Nimekuwa Nikikemea Juu Ya Uandishi wa Gazeti hilo Pamoja na Haya Mawili Mtanzania na Jamhuri ila Nashukuru Yawezekana Ushauri Wangu Ulisaidia Kwani Siku Hizi Mtanzania na Jamhuri Hawaandiki tena Habari za Chuki na Kichochezi baina Yetu na Rwanda.
Ni kweli sisi hatuna tatizo na Rwanda, lakini huwezi kusema kuwa wao hawana tatizo na sisi. Uliona wapi Ubalozi wa rwanda hapa nchini ukikanusha hizo habari zilizoandikwa na gazeti la nchini kwao?Ikulu ilishatoa taarifa ya kukerwa na uandishi ule inatosha tuachane na hayo mambo tujenge nchi,JK hana tatizo na Rwanda wala sisi Watz hatuna tatizo na Rwanda ila vyombo vya habari vinataka kukuza tatizo.