Jambo pekee ninaloweza kumpongeza Emmanuel Nchimbi.

Jambo pekee ninaloweza kumpongeza Emmanuel Nchimbi.

……ni [mpaka sasa] kutokutamka kuunga mkono mauaji ya Oktoba 29.

Kama keshatoa kauli kuunga mkono, basi nasimama kusahihishwa.

Kitendo cha yeye kutokusema chochote kuunga mkono mauaji hayo, labda ni dalili kwamba hakukubaliana nayo.

Lakini pia, kama hakukubaliana na hayo mauaji, kwa nini alikubali kuapishwa kiharamu na kufanya kazi na genge la wauaji wasio na mandate yoyote ile ya kuongoza?

Tanzania kwa sasa hatuna Rais wala makamu wa Rais.

Tuna mtawala tu aliyeng’ang’ania kubaki madarakani kiharamu na kwa kupitia damu za watoto na raia wengine wasiokuwa na hatia.

Narudia tena, Samia siyo Rais. Ni mtawala muuaji.
Nchimbi alikuwa na uhusiano mzuri na aliyekuwa Waziri wa Afya anaemalizia muda wake kipindi mauaji ya October 29, 2025 na siku kadhaa mbele yake yalipotokea. Huenda alipata data sahihi juu ya idadi ya vifo na pengine hata majeruhi.

Kutokuunga hadharani yale yaliyotokea ndiyo yalipelekea kuonekana anakwepa "collective responsibility" na kujiweka pembeni ili mzigo wote umuelemee bosi wake.

Kujiuzuru kwake kunampa heshima kwa kuonyesha kuwa hakubaliani na jambo hilo. Matamko yake ya mara kwa mara yamemfanya aweze kujisafisha, hata kama alikuwa ni sehemu ya uozo wa CCM pale waliposhiriki udhalimu ule wa kupora uchaguzi.
 
Samia siyo Rais ni Malaya lililojipachika urais kwa kumwaga damu za watu
Mkuu kweli bibi kama yule unamuita malaya?
She is too old kwa hilo tusi.
Hata kumuita mama ni kumkosea heshima tunatakiwa kumu adress kama bibi.
 
……ni [mpaka sasa] kutokutamka kuunga mkono mauaji ya Oktoba 29. Kama keshatoa kauli kuunga mkono, basi nasimama kusahihishwa. Kitendo cha yeye kutokusema chochote kuunga mkono mauaji hayo, labda ni dalili kwamba hakukubaliana nayo. Lakini pia, kama hakukubaliana na hayo mauaji, kwa nini alikubali kuapishwa kiharamu na kufanya kazi na genge la wauaji wasio na mandate yoyote ile ya kuongoza? Tanzania kwa sasa hatuna Rais wala makamu wa Rais. Tuna mtawala tu aliyeng’ang’ania kubaki madarakani kiharamu na kwa kupitia damu za watoto na raia wengine wasiokuwa na hatia. Narudia tena, Samia siyo Rais. Ni mtawala muuaji.
 
Back
Top Bottom