Jambo na vijambo komedi episod wamerudi tena

Jambo na vijambo komedi episod wamerudi tena

Akapiga tonge la kwanza..
Cha maneno akasema "heeee!!!!! Labda limemtoka tu, limemtoka hilo"

Tonge la pili..
Baba mtu akamuuliza "tukupe maji"

Cha uroho "maji ya nini wakati vitu vyenyewe lain km thponji, ingekuwa mihogo hapo thawa". Huku kapandisha vibega vyake juu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahhaha hawa jamaa ni hatari ..... Eti mjini kumechafuka watu waolewa na muda...hahaha
 
Hahahaha eti hata kuku hapendi kukaa uchi sema tuu upepo una mpiga.... Hahahaha maneno kumi noma...
 
Anakula bonge la tonge huku anasema "mimi naumwa mwenzenu"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee cha uroho ni habari nyingine.
Sahani iliyojaa wali anaifuta kwa matonge matatu tuu.
Tonge lake aisee ni hatari! Jamaa sijui ana tumbo la aina gani, sio kwa matonge yale aisee!!!
Nifah
 
Back
Top Bottom