FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
Nyamayao! Nakubaliana na wewe kabisa kwa post zako zote. Big Up yourself! Huyu mama anayejali kazi kuliko mtoto wake si wa kuendekeza hata kidogo! Kwani hiyo kazi anakwenda kufanya kwa ajili ya nani? Ikiwa ni kwa ijili ya mtoto akae hapa na baba mtu amsaidie si kasema yupo tayari! What a stupid argument kumshawishi huyu amlete mtoto nyumbani. Uporoto utaharibu ndoa yako. Mkeo kajitoa sana kuelewa kona uliyowekwa please do not ask her to give up your marriage! Wala tusiseme huyu mkewe hataki kulea ila hapaswi kumlea huyu mtoto. The deal was closed walipogawiana mbegu sasa limeanza upya linamhusuje huyu Mama wa watu...guys do not use this innocent kid to punish this innocent wife.
Nyamayao! Nakubaliana na wewe kabisa kwa post zako zote. Big Up yourself! Huyu mama anayejali kazi kuliko mtoto wake si wa kuendekeza hata kidogo! Kwani hiyo kazi anakwenda kufanya kwa ajili ya nani? Ikiwa ni kwa ijili ya mtoto akae hapa na baba mtu amsaidie si kasema yupo tayari! What a stupid argument kumshawishi huyu amlete mtoto nyumbani. Uporoto utaharibu ndoa yako. Mkeo kajitoa sana kuelewa kona uliyowekwa please do not ask her to give up your marriage! Wala tusiseme huyu mkewe hataki kulea ila hapaswi kumlea huyu mtoto. The deal was closed walipogawiana mbegu sasa limeanza upya linamhusuje huyu Mama wa watu...guys do not use this innocent kid to punish this innocent wife.
Pole kaka. Kwanza shukuru mkeo kukuelewa maana ingekuwa uswahilini ndo angechapa lapa kwa kuwa umeuza timu nje tena kavu kavu.
guys do not use this innocent kid to punish this innocent wife.
hivi mie ndio namiss kitu hapa au?...akae nae wapi ilihali mke kakata?....FL na wewe upo ndoani hebu niambie sema kabisa ukweli kutoka moyoni mwako na Mungu anakuona, ingekuwa ni wewe mume kaingia mkataba feki kama huu, mama wa mtoto yupo, baba mtoto kakubali kumtunza mtoto, kwanini huyo mwanamke atake wewe umtunzie yeye akale bata na manyoya yake zambia? kwanini asiende na mtoto wake wa makubaliano yao baba atafanya maarifa kumfikishia pesa za matuzo huko ili mradi ameshakubali kumtunza kwa kila kitu, huyu mwanamke ana lake jambo na tena kapata mwanamke mwenzie wa kumchezea! ebo walee mtoto wao kivyapo bwana mamake c yupo.
U-sperm donor ni huko Ughaibuni, bongo you are a sole father muzee. Nazungumzia from moral point of view, kisheria sijui. Nachojaribu kuelewa hapa ni wewe kama unasubiri kuambiwa kutimiza wajibu wako, yaani unasubiri uambiwe kuchukua uamuzi. Uamuzi wa kuchukua upo mikononi mwako, u can't compromise maisha ya hicho kiumbe kwa sababu yeyote ile, kama wife hataki kuachiwa huyo mtoto amtunze tafuta slot yeyote iliyo wazi, kama upo na dada au akina bibi shangazi etc, wewe mwenyewe unajua utafanya vipi..ikishindiakana sana itabidi uforce kingi mbanane hapohapo na wife.
sio tu coz kavaa shanga zakichina bac mnayasahau yote.
Well well well.....
Nadhani hapa in the first place haya maagano siyo kitu cha kawaida kwa maisha yetu......Uporoto angetuambia kama ni Fiction kama anavohisi mkulu DC kwanza
that aside,
Nakubali kwamba dhambi ni yake mwenyewe, sawa, lakini suala la kumshirikisha mke hilo haliapply kwa sababu angemshirikisha in the first place yasingetokea haya labda.
SO kosa/makosa anayo uporoto lakini hawezi KUKWEPA kwamba mtoto ni wake na ana JUKUMU la kumlea sawa na mama yake.
Ninachozungumzia mimi ni kwamba kwa hali ilivyo, kwa maana ya mazingira pamoja na afya ya mtoto ni dhahiri huyo mama yake hawezi kumlea....na kama hawezi kumlea hatuna haja ya mahakama kusema hivyo ni kuchukua hatua maadamu mzazi mwingine yupo na ana UWEZO wa kumlea.
Kinachogomba hapa ni methodology au niseme modality ya malezi. kwa mila na desturi zetu SIONI UBAYA wowote wa huyo mtoto kulelewa na mke wake Uporoto kama wakikubaliana. Sasa tumshauri Uporoto namna nzuri ya kumresque huyu mtoto na siyo namna ya kumuabandon kisa tu kwa vile mke hakushirikishwa and the like
sasa hapa mke wa uporoto kashakataa, na sioni sababu ya kumshawishi akubali,, na kwanini uanona mama mzazi hawezi kumtunza mtoto wake ipasavyo mpaka atunzwe na mke wa mporoto?...ishu sio kushirikishwa kwa mke wa mporoto ishu ni mama mtoto alee mtoto wake mwenyewe....leo hata unyumba ckupi haki ya nani vile.
mchukue tu kaka, haina kujali kuwa yu mgonjwa au mzima huyo mama yake ni mtu aliyekata tamaa yupo tayari kukimbia jukumu la kumlea huyo mtoto na hii ni jinsi walivyo wake zetu wasioweza kuwa na uvumilivu, we mwanaume be a man mchukue umsaidie kwa hali yeyote ile usiache akapotea kwa kushindwa kumsaidia utajuta maisha yote muombe mungu akuepushe na hili jambo liwe jepesi kwako umlee binti yako kwa uzuri wema na mapenzi yote ukitegemea baraka za mungu, ujue sisi binadamu hujafa hujaumbika.!
This would have been my final words to Uporoto and anybody with a different perspective!
Dada, unajua haya mambo yalitakiwa kuwa siri kiasi kwamba mke wa Uporoto asijue? Sasa mwanamke wa watu kawaonesha wema/huruma yake (very exceptional) wanataka kumtia vidole kwenye macho. Nadhani huyo mama hana adrenalin kabisa. Hivi unaweza kuanzia wapi kuongea upuuzi wa namna hiyo. Eti mama wa mtoto anaenda kutafuta pesa nyingi kwa hiyo hawezi kulea mtoto wake? Jamani watu waache utani, kila mtu anawajibika 100% kulea mtoto/watoto wake! Ila kitu kingine kinachinfanya nione hii ni fictious ni suala la kujaribu kuonesha kuwa mama hana uwezo wa kulea mtoto na wakati huo anaenda kupata green pasture Zambia. Ni vigumu kwangu kuamini kuwa hii hadithi ni ya kweli.
Huyu mama akiachiwa tu kwenda kula Bata Zambia atafanya tena uharibifu kwa familia nyingine. Very soon mke wa Uporoto mwingine atapelekewa mtoto wa kutunza!
ishu ilianza kwa baba kufariki wa ndoa(bandia kwa mtoto) akamfata baba waliekubaliana kukagana mbegu atoe matunzo, ikaja amepata kazi zambia so anataka mke wa mporoto ndio amtunzie mtoto, tukiuliza kwanini mke wa mporoto kwasasa wakati yeye ndio atajikimu vizuri kifedha na bado mporoto atatoa malezi?.....ngoja mporoto aje atueleze zaidi.
Kaka ukirejea maelezo yangu pale juu nilikuwa 'sperm donor' tu na bibie na mumewe walinihakikishia sitahusika tena,sawa yametokea matatizo namsifu wife kwa kunielewa nilipo mueleza na hata sasa anahusika kumpeleka mtoto hospitali na kukidhi mahitaji yao kwa kuwatembelea kila wiki.Uanamme gani unataka niutumie kwa mtu muelewa hivo?
Nitoe angalizo kuwa, Liz kasema 'do not use this innocent kid to punish this innocent wife"
na mi nasema do not use this innocent wife to punish this innocent kid.
kwa nini jamani mnakataa majadiliano? Tunamshauri uporoto akae chini na mkewe...hata kama amekataa mara ya kwanza, unadhani atakataa mara ya pili na ya tatu? haijaandikwa gongeni mlango nanyi mtafunguliwa?
kama ikishindikana basi ampeleke kwa ndugu zake kama dada au shangazi (mume), lakini mimi sio kwamba sijali hisia za wife wa uporoto...nazijua kabisa ila pia tuangalie uhalisia wa hii kitu. Kiapo cha ndoa cha Shida na Raha kimeisha expire siku hizi wajameni?
Ila wife hapo kwneye unyumba,,,,,,halafu Dark City unaniponza hapa mkuu unaona sasa....:mad2:
Liz, why are you so sure?
je, huoni kwamba anaweza akawa tu decent kwa maana ya kwamba amashajifunza kutokjana na haya yaliyotokea? For God's sake she is a human being..she can change in a positive way!
Bro, sperm donor una do kabisa!! Huo ulikuwa mtego mbaya sana,hatujafikia hapo maana kuna bank maalum kwa ajili ya kudonate sperms unaweza kuacha identification au la,ambapo huyo mama angekwenda huko akazipata!! Hata hivyo,mlikubaliana kuwa hutahusika na chochote,lakini katika hali halisi hilo haliwezekani! Kwani ndugu wa mume wa huyo mama wanajua kuwa mtoto alipatikana kwa njia hiyo? Tunza huyo mtoto pamoja na mama yake kwa namna unavyoweza
mporoto yupo tayari, huyo mama ndio hayupo tayari....hana lolote anataka tu kuvuruga nyumba ya mwenzie....alee mtoto wake akishirikiana na mporoto, wanaume wengine bwana, unawezajikuta unakuja kutolewa ndani ya nyumba baba kauza nyumba bila kujua, ndio hii mikataba feki.