Jambo gani ulikuwa ukikatazwa utotoni na mzazi/mlezi ukahisi sio sawa ila huku ukubwani unashukuru sana kuwa yale makatazo yamekusaidia kuwa mtu bora?

Kuendesha piki piki mzee alikua ananikataza lkn nlikuwa simuelewi nlikuwa nakimbiza kama Sina akili vle saivi nimeshafunga nadhiri sitakaa nipande pikipiki ...na zaidi ya miaka mitatu sijapanda
Daaah mkuu ilikua bado hivi an ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Jua likiwa linazama nawewe uzame nalo ndani, hakuna kutoka bila ruhusa na ukitoka lazima uage.

Kumiliki Simu na matumizi yake kwa ujumla, katika kitu nilikuwa nachukia ni kuambiwa habari za simu ila sasa nawashukuru wazazi waliniepushia mengi.

Mapenzi, mama alikuwa akiniimbia kila siku kuhusu kujihusisha na mahusiano, alikuwa akiniambia soma mwanangu hayo mambo utayakuta mpaka utayakimbia. Nilikuwa namind lakini nmekuwa nimeyaona.

Hakuna mazoea ndugu wakike, mama alikuwa hataki kabisa nizoeane na ndugu wa kike(mabinamu) pindi watutembeleapo nyumbani kipindi cha likizo. Hakutaka ukaribu uliopitiliza alikuwa ananiambia we ni mwanaume na hawa ni dada zako usijethubutu kufanya ujinga wowote. Nadhani alikuwa akinihusia hayo kutokana na tabia za hao mabinamu. Nilikuwa naona kama anaongea mambo ambayo hayapo kabisa ila kadri nilivyozidi kukuwa nilimuelewa sana.
Dah we ulikuwa mfungwa๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Anhaa yani ndo unalounch hiki chuma??
Sema we dogo ni tajiri afu unajiita jobles sijui mganga wako ndo kakwambia ujidogodishe ili usirogwe.
Kaka mi jobless pro max, na hicho Chuma Mungu aki jalia mwakani kina Anza ndani ndani huko ๐Ÿ˜†.

Mi jobless pro max naombaga deiwaka tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜†
 
Nilikuwa pale Las Vegas Upanga.
Wazazi wakasema hii kazi sio, wakanipeleka chuo cha ualimu Mhonda kuendelea na maisha mengine, japo nilifanya kazi na kuendelea na mambo ya serikali na nchi huko mbeleni.
Nawashukuru wazazi wangu maana bila hivyo, na hii akili yangu sahv na nilivyo pisi kipindi kile๐Ÿ˜„ nahisi ningeishia jela au kunyongwa kule Thailand...au China๐Ÿคง
 
Back
Top Bottom