Rose Kamili unamjua vizuri? Ukiona mtu kaachana na mkewe wakati mwingine analazimika tu sio kwa kupenda. Josephine Mushumbusi ndo alisababisha CHADEMA walaanike kwa kutojali damu yake aliyoimwaga kwenye vurugu za tarehe 05/01/2011 kule Arusha wakati akitetea chama. Kitendo cha CHADEMA kumtukana hawara wa Josephine kiliiimaliza CHADEMA hadi leo.Jamani huyu Mama ,nimeshangaa sijamuona katika kipindi hiki mme wake alipata misukosuko.
Somo:Nyie wababa msiache wake wa ujana wenu.Mjue fainali uzeeni.
Ninakumbuka kipindi kile Mama Rose Kamili na watoto wake.
hahaahaa...! ngoja nikaushe nlchotaka kucommentHali ya Sasa yamzee na Josephine wapi nawapi ,Mzee wetu kabaki na akili TU
Kwa umri wake, amerudi kwenye upadri wa kweli
Kuna wakati wanaume tunawaacha ma wife matetial tunaanza kuhangaika na ma gold d...mashankupe ya mjini.Jamani huyu Mama ,nimeshangaa sijamuona katika kipindi hiki mme wake alipata misukosuko.
Somo: Nyie wababa msiache wake wa ujana wenu. Mjue fainali uzeeni.
Ninakumbuka kipindi kile Mama Rose Kamili na watoto wake.
Hii akili matopeRose Kamili unamjua vizuri? Ukiona mtu kaachana na mkewe wakati mwingine analazimika tu sio kwa kupenda. Josephine Mushumbusi ndo alisababisha CHADEMA walaanike kwa kutojali damu yake aliyoimwaga kwenye vurugu za tarehe 05/01/2011 kule Arusha wakati akitetea chama. Kitendo cha CHADEMA kumtukana hawara wa Josephine kiliiimaliza CHADEMA hadi leo.
Mimi zamani nilikuwa siamini kama laana ya hawara wa mtu inaweza kukupata ila kwa jinsi CHADEMA ilivyovurugwa nimekuja kuamini laana ya hawara wa Slaa inafanya kazi kwa CHADEMA.
Muulize Nape.Jamani huyu Mama ,nimeshangaa sijamuona katika kipindi hiki mme wake alipata misukosuko.
Somo: Nyie wababa msiache wake wa ujana wenu. Mjue fainali uzeeni.
Ninakumbuka kipindi kile Mama Rose Kamili na watoto wake.
Haiwezi kutusaidia kama Taifa., wew mmeo yuko wapi, mbona hatujamuona mkibebishana mda mrefu.Jamani huyu Mama ,nimeshangaa sijamuona katika kipindi hiki mme wake alipata misukosuko.
Somo: Nyie wababa msiache wake wa ujana wenu. Mjue fainali uzeeni.
Ninakumbuka kipindi kile Mama Rose Kamili na watoto wake.
Mimi sina mme.Haiwezi kutusaidia kama Taifa., wew mmeo yuko wapi, mbona hatujamuona mkibebishana mda mrefu.
Mimi ni mjane,jibu swali.Yupo wapi first Lady wenu?tafuta mme acha kufatilia maisha ya watu
Duh sasa mzee atazeeka peke yake na misuko suko hii?Alienda naye ulaya? Sema kurudi bongo yataka moyo wa uzalendo haswaa. Lissu mwenyewe amejivutavuta kweli, na sidhani kama familia yake itarudi.
Jamani ,Josephine huko ulipo njoo bwana .Jamani au ndo ulimpenda mzee kipindi unaamini atakuwa Rais?Muulize Nape.
Sisi tuko kwenye bandari kwanza
hayo ni mambo personal hivi nikikuuliza yupo wapi mme wa Samia unaweza kusema yupo wapi.Mimi ni mjane,jibu swali.Yupo wapi first Lady wenu?
Kwa hiyo Josephine kaenda tafuta wenye nguvu?Hali ya Sasa yamzee na Josephine wapi nawapi ,Mzee wetu kabaki na akili TU
Kwa umri wake, amerudi kwenye upadri wa kweli
Personal wapi?Huyu ni First Lady mjue?hayo ni mambo personal hivi nikikuuliza yupo wapi mme wa Samia unaweza kusema yupo wapi.