Jamani wapendwa msaada hii simu siielewi

Ah so hakuna universal software ya hivyo
Hakuna kwa maana android kila kampuni inaweka security ze way inataka mfano frp ya s7 huwez weka sana na phantom6 ya tecno. Frp ya simu za kichina ni ganda la ndizi tu.

Mziki upo kwa simu za qualcom

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile app
 
Njia zinatofuatiana kutegemea na simu(pia simu aina moja zinatofautiana kutoka a na security patch level)
na android version.

Ila ni simple kwa otg, quick shortcut maker, realterm (kwa samsung),
Sidesync(samsung) na gsm boxes kama z3x, nck

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile app

Mkuu kuna simu jana ilinitoa jasho ku bypass ilikuwa j2, nikichomeka hata sidesync haileti kwenye simu. nikajua kumbe hizi j2 zinatofautiana. Kuna zingine zinaleta zingine hazileti
 
Hiyo simu ina lock ya FRP-Factory reset protectio .

Ilifanyiwa reset kwa mfumo wa hardware keys(hard reset)

Njia zipo tatu
Moja ufanye kugoogle/youtube
ujue njia ya quick shortcut maker kwa sim za mtk

Mbili. Mtafute aliyekuuzia aingize email yake hapo na password alaf baadae ndio ufanye reset ya kawaida

Tatu. Peleka kwa fundi(si chini ya 10000)

Nne: hii ni njia hatari(usijaribu kmaa ni muoga au kama hujui vizur mambo ya simu)

Weka crack ya nck , miracle au eagle eye. Read firmware yote including partition ya frp.
Alaf hiyo simu ifanyie format full system except bootloader(ukiformat bootloader shauri yaki)

Baada ya hapo iflash tena na file lile lile ulioread mwanzo ila untick partition ya frp. Very simple.

Kama upo mkoa wa tanga itakua zari lako.. Mana utakula msaada wa haraka for jus 5000 tu

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile app
Nimefatilia njia ya kubypassy lakin nimefail sababu hij simu hata hizo language hazikubali kudownload ukiclick inakua bado haisense na kuanza kudownload ..kuna tutorial nyingne imeonesha hyo keybord unasweep ili upate shortcut ya setting lakin keyboard niliyonayo nimefail kupata shortcut ya setting pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nenda kwa fundi tu wakutolee hiyo process ya ku bypass ni ndefu sana huiwezi.
 
Hakuna kwa maana android kila kampuni inaweka security ze way inataka mfano frp ya s7 huwez weka sana na phantom6 ya tecno. Frp ya simu za kichina ni ganda la ndizi tu.

Mziki upo kwa simu za qualcom

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile app
Duh balaa maana mwanangu anawaza kuiflash simu, sasa je kuiflash simu itasaidia kitu kwani?
 
Hakuna kwa maana android kila kampuni inaweka security ze way inataka mfano frp ya s7 huwez weka sana na phantom6 ya tecno. Frp ya simu za kichina ni ganda la ndizi tu.

Mziki upo kwa simu za qualcom

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile app

Qualcom zinatoka fresh tu bila shida
 
Mkuu kuna simu jana ilinitoa jasho ku bypass ilikuwa j2, nikichomeka hata sidesync haileti kwenye simu. nikajua kumbe hizi j2 zinatofautiana. Kuna zingine zinaleta zingine hazileti
Ungetumia realterm. Fasta tu

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile app
 
Rejea kichwa cha uzi hapo juu kuna hii simu aina ya tecno WX3 ..kuna dadaangu kainunua kwa mtu nimemwashia inaleta mlolongo huu wa setting tafadhali msaada kwa mwenye uelewa picha hizo hapo chini ..nimeattach kwa series toka ukiiwasha mpaka pale ninaposhindwa kufanya chochote
0482198deab7008017c9f264433074e0.jpg
9eb00fa2264ec994457b2887f768f00d.jpg
e83e8df2222d73a9e04b08322fd36818.jpg
12333a2fb0f68963ad5301fcc91fb136.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu mbona solution za hilo tatizzazipo nyingi huko youtube jaribu kucheki yenye reviews nzuri kisha ijaribu
 
Back
Top Bottom