Jamani wapendwa msaada hii simu siielewi

Af hawa google wana kichaa sana yani, sahivi simu yako ukijiroga kui reset tu na kama ulinunulia mkononi kwa mtu lazima ile kwako maana wengi email huwa wanafunguliwaga madukani wao wanaanza tumia tu sio rahisi mtu wa hivyo kuja kukumbuka akuambie na wewe.
 
Ni kweli kabisa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo simu ina lock ya FRP-Factory reset protectio .

Ilifanyiwa reset kwa mfumo wa hardware keys(hard reset)

Njia zipo tatu
Moja ufanye kugoogle/youtube
ujue njia ya quick shortcut maker kwa sim za mtk

Mbili. Mtafute aliyekuuzia aingize email yake hapo na password alaf baadae ndio ufanye reset ya kawaida

Tatu. Peleka kwa fundi(si chini ya 10000)

Nne: hii ni njia hatari(usijaribu kmaa ni muoga au kama hujui vizur mambo ya simu)

Weka crack ya nck , miracle au eagle eye. Read firmware yote including partition ya frp.
Alaf hiyo simu ifanyie format full system except bootloader(ukiformat bootloader shauri yaki)

Baada ya hapo iflash tena na file lile lile ulioread mwanzo ila untick partition ya frp. Very simple.

Kama upo mkoa wa tanga itakua zari lako.. Mana utakula msaada wa haraka for jus 5000 tu

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile app
 
Maelezo marefu mno utamchanganya bure, bora aende kwa fundi tu akatolewe.
 
Hio tabia wameianza Google wameanzia android version 6.0. Kwa madai ya kukomesha wizi wa simu iliookotwa ila mi naona haijakaa poa.
Bora simu ingekuwa inakudai namba za watu wa 5 uliowasiliana nao mara kwa mara.
 
Hahahahaha hii ingekuwa komesha, ila software zipo kibao sana, wakiwaza kukomesha na sisi mafundi tunawaza kutatua[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapana mkuu frp imeanza kwenye android 5,0

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile app
 
Hahahahaha hii ingekuwa komesha, ila software zipo kibao sana, wakiwaza kukomesha na sisi mafundi tunawaza kutatua[emoji23][emoji23][emoji23]
Mi pia naona kuna fursa ya ki icloud ya google hapo. Tupeane uzoefu mkuu kama unajua software ya ku crack hio kitu
 
Hapana mkuu frp imeanza kwenye android 5,0

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile app
Wajinga sana hao jamaa, sema naona ni kwa vendors ambao hawaja customize os zao. Nina sony C3 hapa nilishai reset zaidi ya mara moja ila halikunijia hilo tatizo
 
Ukifanya soft reset yaan reset ile ya kwenye setting haileti hii shida ila ukifanya hard reset ile ya volume keys combination ndio shida

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile app
 
Ku crack nn??
Yani ku by-pass hio hatua ya kuweka first email. Kuna mchizi wangu nae ana huawei yenye huo upuuzi. Mpya kabisa ila aliireset ndio kwishney hapo anawaza ataitoaje hio!
 
Ukifanya soft reset yaan reset ile ya kwenye setting haileti hii shida ila ukifanya hard reset ile ya volume keys combination ndio shida

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile app
Ah kumbe walifanya hard reset, sasa kote kwanini huko kujitaftia mabalaa
 
Mi pia naona kuna fursa ya ki icloud ya google hapo. Tupeane uzoefu mkuu kama unajua software ya ku crack hio kitu
Njia zinatofuatiana kutegemea na simu(pia simu aina moja zinatofautiana kutoka a na security patch level)
na android version.

Ila ni simple kwa otg, quick shortcut maker, realterm (kwa samsung),
Sidesync(samsung) na gsm boxes kama z3x, nck

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile app
 
Njia zinatofuatiana kutegemea na simu(pia simu aina moja zinatofautiana kutoka a na security patch level)
na android version.

Ila ni simple kwa otg, quick shortcut maker, realterm (kwa samsung),
Sidesync(samsung) na gsm boxes kama z3x, nck

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile app
Ah so hakuna universal software ya hivyo
 
Back
Top Bottom