Jamani wanaume wasomi mna nini?

Dah
I feel sorry for the lady.....arudi shule tu.hapo bado watu watamshauri avumilie. ..
Mie sipendi dharau
 
PHD ndo nn?nan alomwambia kwenye mapenzi kuna hayo masuala,nina wasiwasi na uwezo wake wa kufikiri hapo anachanganya maisha ya ndoa na elimu,kama ameamua kuoa tena alijua kiwango cha elimu cha aliyemuoa huo ni ulimbukeni akasome sociology huko!
 
huyo tu mshenzi hata asingesoma kuna waliosoma maprofesa na hawako hvyooo
tabia ni km ngozi haibadiliki kwa msomi na asiye msomi
ila pole yake huyo dada cha msingi asimame ktk maombi
kingine ajiangalie sana may be anajisahau sana ktk mambo yake
 
Sio kweli,kaka zangu wakubwa wawili wana phd na ndugu zangu wengine kadhaa wana master na wake zao ni form four lakini wanaishi nao vizuri. Hiyo case study yako isikupelekee kutoa hukumu kwa wanaume wasomi wote. Hiyo ni tabia ya hao uliokutana nao sio wanaume wote wasomi wako hivyo.
 
Hebu kwanza twende trtibu, kwo huyo jamaa ni wapi, ni kule tunaendaga kwa kuvuka maji baridi?!! maana msikae mnasingizia watu wenye elimu za juu kwa sample ya wajinga wawili! btw, hivi kwa nini wanawake wengi wenye elimu kubwa wameolewa na kuachika?..na wengine wameachika kimyakimya bado wanatumia majina ya waume zao?!
 
Yaani we acha hapa nilipo me mwenyewe natamani nikimbie nifeee....

Wahivi wapooooo



kuna wakina dada wanabahati mbaya wanakutana na wanaume ambao 'selfish' hiyo ni shida mnao...yaani mtu mimi, mimi, hela zangu, mimi nimesoma, magari yangu, mimi utaniambia nini nimesoma..ukidate na mtu wa mmimi, mimi, mimi,mimi kimbia ufe...
 
Aise pole ya huyo dada. Huyo jamaa atakuwa yeye intellectual yake ndio iko low kupita maelezo. Tena nahisi ni mhaya. Ptuu!!
 
yaani kama namuona vile...Hii mbaya sana...wanaume wa hivi wapo wengi, wabinafsi, wanajiona wao ndio wao...Hiyo Elimu yako itakupeleka wapi bila kuwa na upendo kwa mkeo? Jifikirie utaondoka duniani elimu yako haitakusaidia kukuzuia uendelee kuishi....

Unakuta mwanamke kila unachokifanya unaonekana hakifai, ukiongea unaonekana huna point hata kama ni jambo linalohitaji busara lakifamilia...

F--k-- yuuuu...nahasira sana na hawa MANG'AA





 

Pole sana.sasa wewe unamudu vipi hiyo hali.ushauri wako kwa huyu msociologist
 
junior . Cux mwanamke hapigwi wewe jamani
sa kama amekosea asiambiwe, umeleta hasara kwenye biashara unataka nikubembeleze tena.... hiyo kitu haipo, tusipokuwa wakali mtatupanda kichwani, lazima upige biti ata kidogo!!! Ilitakiwa ampe na vibao hata viwili kabisa sio maneno matupu
 
Last edited by a moderator:
Ndo inavokuwaga msomi akae na msomi mwenzie vinginevy umeliwa! Kuna my ex mmoja ilikuwa nikienda kwao mama yake anamuongelesha ki FRENCH! Makubwaaaaaaa! Basi nangaaaje sharubu! Mpaka nikajifunza cha kiombea maji! Japo kuongea siwezi ila wakinisema naelewa! Loooooooh! Sasa ukute mumeo anawasiliana na mchepuko wake ki English au French wewe umekaa hapo hapo! Hawasemi I love you! Ili ustuke? Thubutuuuuu! Wanasema i adore you! Hahaaaa!
 
Hapo kuna mashaka na hiyo hasara isikute kahonga, ndiyo tatizo la wadada miaka 22 anaolewa na mbaba 39/43 wakat yeye damu inachemka!
 

Utakuwa hujaeleimika kama utataka kuongea mambo ya bond cleaving na mtu wa historia au utake kumuambia mambo ya meli kuelea mtu wa anthropology by the way hujaoa mke ili uzungumze naye ma GDP na vitu kama hivyo!!!!

Tukiamua kuoa basi tukubali hizo tofauti zetu, hivi we ukiwa na PhD mkeo mpishi kila uchao akuletee stori za recipes mpya utaona sawa!!!

Tuzungumze yenye kuhusu familia zetu na hao tuliowaoa italeta amani na upendo na penzi shirikishi!!!
 
kuna kitu hamjajua ni bora uoe mwanamke asiyesoma kabisaaaaaaaaaaa!!!!! kuliko aliyefika digrii huwa wana maudhi sana kidigrii chake anataka ukanyenyekeee hata mimi nakunyanyasa sasa wewe una degree halafu unaongea utumbo peleka kuleeeee!!!!!!!!!
 


Huyo jamaa sijui kama sio akina Ruta, na sio usomi unaomfanya awe na dharau ni tabia yake na upumbavu wake, wasomi wangapi hawana dharau za aina hiyo, wasomi sasahivi wanaongoza kucheza na watoto wao jioni, mwanaume anaeongelea elimu kutwa kucha sio mwanaume ila mwalimu wa shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…