Treyclindah
Member
- Jul 28, 2013
- 6
- 12
- Thread starter
- #41
Ndio ivo best mwanaume pesa na huduma, surual mavaz 2 na sura hata mbuz anayo
Yaan nimeanza nae 4yrz nw hajawah omba sex yeye ni huduma 2, mengne mpaka ndoa
Kwanza wakikupenda wanahudumia mpaka unasema POOO yaan kuanzia matumizi, mavazi en everything! wanaosema wabahil waongo!
Ndio ipi hiyo? Wachagga sio mapunda kama hao mapunda yenu
Kazi gani hiyo maarufu? Embu funguka
Inaonyesha jana ulikikosa ile kituNi kweli wanaume wa kichaga wanajua sana kuhudumia MKE na sio kimada na wanajali sana familia kwa ujumla. Tatizo la hawa kaka zetu ni moja tu, hawako romantic na libeneke hawaliwezi vizuri yani utasikia "wewe mama manka fridge imejaa chakula, mafuta nimekujazia kwenye gari, pesa imejaa huko ndani chochote nunua kwa nini hutosheki wewe mwanamke?" hapo mama manka kaomba haki yake... heheheheh mpo kaka zangu? haya mbadilike hatutaki matumizi tu, ile kitu muhimu zaidi bwana!
Yaan nimeanza nae 4yrz nw hajawah omba sex yeye ni huduma 2, mengne mpaka ndoa
Yaan nimeanza nae 4yrz nw hajawah omba sex yeye ni huduma 2, mengne mpaka ndoa
Kwanza wakikupenda wanahudumia mpaka unasema POOO yaan kuanzia matumizi, mavazi en everything! wanaosema wabahil waongo![/QUO
eti nanani? Mchagaaaaa Nyooooooo
Huyo labda kalasinga umempata
...na kama anakupa mapesa yake yote hayo anamalengo ya kuyarudisha zaidi ya hayo kupitia wewe...
we nahisi utakuwa Msukuma best...