Yaan nimeanza nae 4yrz nw hajawah omba sex yeye ni huduma 2, mengne mpaka ndoa
UUUuuuuuuuuuuuuh!!! umenichosha mbaya!!!!!! ninapata wasiwasi na huyo Mangi ni mzima kweli??????? Au ????? Mshumaaa anawamulika wenzie wakati yeye anakwisha.Yaan nimeanza nae 4yrz nw hajawah omba sex yeye ni huduma 2, mengne mpaka ndoa
Huyo hajakulia kwao au ana kasoro zinazomfanya anaogopa kupigwa kibuti. Au, au, au ana ile kazi maarufu ya wachagga.
Hata siku moja huyo hatokuwa Mangi nimjuaye mimi, na kama anakupa mapesa yake yote hayo anamalengo ya kuyarudisha zaidi ya hayo kupitia wewe, wenzio wakati wanatoa wanapiga hesabu ndefuuuuu!!! So be care!!!
Yaan nimeanza nae 4yrz nw hajawah omba sex yeye ni huduma 2, mengne mpaka ndoa
Huyo hajakulia kwao au ana kasoro zinazomfanya anaogopa kupigwa kibuti. Au, au, au ana ile kazi maarufu ya wachagga.
ahk!
hapa mimi ndo ningeanza kuomba POOH!
sa ndio nini?
Yaan nimeanza nae 4yrz nw hajawah omba sex yeye ni huduma 2, mengne mpaka ndoa
Yewomiiiiii! Yesu na Maaaria aisee...yani miaka 4 hajaonja! atakuwa mchaga pori Arawa!
Hongera zako, kamatilia sana hapo ulipo maana si kawaidaYaan nimeanza nae 4yrz nw hajawah omba sex yeye ni huduma 2, mengne mpaka ndoa
Kwanza wakikupenda wanahudumia mpaka unasema POOO yaan kuanzia matumizi, mavazi en everything! wanaosema wabahil waongo!