Jamani wanaume wachaga ni hatari...!

Jamani wanaume wachaga ni hatari...!

Kwanza wakikupenda wanahudumia mpaka unasema POOO yaan kuanzia matumizi, mavazi en everything! wanaosema wabahil waongo!

Mwanamke wa kwangu nikimkuta anasema maneno haya NAMUACHA on the spot. Kwasababu;
1. Hanipendi ila anapenda mshiko ninaompa
2. Siku nikikosa na akapata anayempa zaidi hatajiuliza mara mbili kuhamisha kambi.
3. Huyu ni simply "BODY ENTREPRENEUR"
 
hahaaaaaaaaaaaaaaa 4 years. kama ni mtoto keshaenda nursery. duh ama kweli ni mvumilivu kama hajagegeda. maana wanaume type hizo huenda wapo sayari yajupiter. teh teh teh
 
Back
Top Bottom