Jamani wanaume wachaga ni hatari...!

Jamani wanaume wachaga ni hatari...!

Huyo hajakulia kwao au ana kasoro zinazomfanya anaogopa kupigwa kibuti. Au, au, au ana ile kazi maarufu ya wachagga.

Watumbatu na Wangazija ni waaminifu sana na wana maadili;Faiza tuweke kando tofauti zetu ndogo za kiitikadi za vyama!

Tuanze kubadilishana mawazo kwenye PM zetu if possible ahahahaha!
 
maakubwa hayo!! ila kiukweli wanajali ila kwa mambo flan big ZERO
 
ukisogea kidogo mbele zaidi ya hapo utapatia, ila kwa hilo la Msukuma umekosea.

lol...mbele upande upi best, magharibi au mashariki ya ziwa victoria?
 
Yaan nimeanza nae 4yrz nw hajawah omba sex yeye ni huduma 2, mengne mpaka ndoa
Hilo ndilo jibu hata kina Dada wa kiPwani wageshakukimbia maana bila hiyo huduma huyo Mchagga wako sio rijali hata kina FaizaFoxy wakielewa ni kukulia kwa wazazi wangeshakujibu.
Makabila km Wahaya wanaotaka kitanda na magodoro yachakae kila mwaka hawaolewagi na Wachagga kabisa
 
Last edited by a moderator:
naona SHIRIMA kashapata mzigo. mke yuko ROMBO anakata migomba.
 
Kwanza wakikupenda wanahudumia mpaka unasema POOO yaan kuanzia matumizi, mavazi en everything! wanaosema wabahil waongo!

we unafanya mchezo na hawa watu,uyo c mchaga hakika kakudanganya,km angekua mchaga kwel we ndie ungeomba POO kwa matukio yake makubwa na magumu
 
wachaga hawa hawa au kuna wengine.
 
Kwa kweli exkidumu nakubaliana na wewe. Kusingekuwa na hili kabila nadhani ningekuwa single maisha yote! Mungu Onyesha Sehemu Hela Ilipo ndo mpango wa ndani na wa nje.
Jamani siye hatuna shida muulizeni exkidumu wangu King'asti atawaambia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom