Treyclindah
Member
- Jul 28, 2013
- 6
- 12
Kwanza wakikupenda wanahudumia mpaka unasema POOO yaan kuanzia matumizi, mavazi en everything! wanaosema wabahil waongo!
Mmh wewe tuulize sisi unaowasema ndio baba zetu na kaka zetu hao tunawajua fika hapo ulipo angalia vizuriKwanza wakikupenda wanahudumia mpaka unasema POOO yaan kuanzia matumizi, mavazi en everything! wanaosema wabahil waongo!
Kwanza wakikupenda wanahudumia mpaka unasema POOO yaan kuanzia matumizi, mavazi en everything! wanaosema wabahil waongo!
vip una udumiwa na mangi nini?.
wanaokota magari pale kwa LUSEKELO kama nyanya...
Cjui kuna siri gani kati?!
Angalizo tu ..usije ukapata watoto misyuka..
Huyo hajakulia kwao au ana kasoro zinazomfanya anaogopa kupigwa kibuti. Au, au, au ana ile kazi maarufu ya wachagga.
Yaan nimeanza nae 4yrz nw hajawah omba sex yeye ni huduma 2, mengne mpaka ndoa
Hata siku moja huyo hatokuwa Mangi nimjuaye mimi, na kama anakupa mapesa yake yote hayo anamalengo ya kuyarudisha zaidi ya hayo kupitia wewe, wenzio wakati wanatoa wanapiga hesabu ndefuuuuu!!! So be care!!!
Yaan nimeanza nae 4yrz nw hajawah omba sex yeye ni huduma 2, mengne mpaka ndoa