Jamani wanaume tuwe makini na meseji kama hizi...

Jamani wanaume tuwe makini na meseji kama hizi...

First Born

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
5,317
Reaction score
1,485
Mwone huyu...
 
Attachments

  • 1433093188436.jpg
    1433093188436.jpg
    21.1 KB · Views: 6,198
Niko nae hapa baa Moja mwan nimemwomba nimpige picha akauza nyago
 
Nikiwa na rafiki yangu miaka ya nyuma wenyewe tumetoka jkt kwa mujibu wa sheria tukiwa tunatrott maeneo ya Posta Dar alivaa T-shirt imeandikwa "Im too Horny". Tukakutana na kaka mmoja aksem "Oh too Horny?" Mwenzangu hakushtuka lakini mimi nikaona kuna kitu. Baada ya kuachana mimi nikiwa mkoa nikatafuta maana ya lile neno, nilivyolipata nilitamani kuingia chini ya meza. Mbaya zaidi sikuweza kumjulisha mapema wakati huo hakuna mobile phone. Tulivyoonana baadaye nilivyomweleza akasema aliivaa tena na tena.......na ameigawa....
 
haahaaa... kuna mzee moja hapa kijijini kwetu ana jaketi lake kwa nyuma limeandikwa "I WAS A PLAYBOY SINCE 1925" na analipiga kila siku bila wasiwasi
 
Sura yenyew hailewi imevaa nn na kilicho valiwa kina maanisha nini
 
hahahaaa aiseee mbavu zangu jamani "IM A PLAYBOY SINCE 1925' hii kali
 
Hivi huko viwandani huwa zinatengenezwa moja ama
 
mmmh mkuu hayo maeneo yanavofanana kuna uwepo wa baa ya maana kweli au ulienda ndan ndan kutafuta machoz ya simba?
 
Zipo bhana nyingi hizi nguo. . . . Wakati kadeti ndio zinatamba kuna jamaa alivaa ya light blue kali sana double pocket ya vifuniko. . . . . . .Ina jina na namba ya simu chini imeandikwa jina la kampuni ya mazishi (yaani ile ni uniform) . . . . Na jamaa aliitinga kama kawa
 
Back
Top Bottom