Jamani wanaume heshimuni sana wake zenu

Mnajua chanzo cha huyo jamaa kuwa na kidumu ni tabia mbaya za mkewe baada ya kuzoena ndani adabu inapungua jamaa akaamua kutafuta mchepuko ili kumpa wife muda alee watoto ndio busara aliotumia,msije hapa na conclusion zenu eti kisa ndoa tu,hawezi kupigwa tu bila 7bu.
 
Mwanaume ndie kiumbe pekee anaweza kufanya mapenzi huku akiwa na hasira,,,unaweza kuta wanatibuanaaaa we akipiga hatua mbili anakamata kidumu anaenda kukikojoza,,msimchezee mwanaume bhanaa, hatuwez kua sawa asilani
 
Siyo vizuri kutoa malaana yote hayo.
 
Wanaume wengine wajinga na wapumbavu

Unampiga mkeo kisha unarudi kula chakula chake na kulala nae kitanda kimoja....

Huo ni ujinga wa mwendokasi


Huyo.mwanamke kama hamamripoti huyo.mwanaume polisi nae kiazi.....inabidi alambe jela angalau hata miezi 6
 
kufua mikojo kufua mavi usiku kuamka kubadilisha mtoto madaso sijui pampas and all the carings needed for a baby.

Hivi vitu huwa twasaidiana, hafanyi mwenyewe

Ubarikiwe kwahilo ni wachache sana
 

Ndoivo nyie mmekuwa wanawake sijui yan
 
U sound like a best wife material in town...
 
Pole!lakini na wewe jamani huyo si ni kuku wako,mbona wamshikia manati?ungemngojea tu jioni akiingia umchinje.By the way unajua huko mchepukoni alisema nini!mke wangu ashafariki kitambo...hivyo natafuta mwengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…