Jamani wanaume heshimuni sana wake zenu

Jamani wanaume heshimuni sana wake zenu

Kuna mbaba hapa kapiga mkewe nusu kufa kisa tu mkewe kamfatilia mumewe na kumkuta yupo na kidumu. Mkewe akaanza kumshambulia hiko kidumu cha mumewe weeee mwanaume alimtukana tukana mkewe dhalilisha piga piga vua nguo zote mwanamke baki na chupi tu na mbele za watu jamani na ni mkewe wa ndoa.

Wanawake tuna Kazi kubwa kwakweli hebu jaribuni basi. Pamoja na shida ghadhabu mateso kuzaa kwa uchungu kubeba mimba miezi 9 kulala upande upande kufua mikojo kufua mavi usiku kuamka kubadilisha mtoto madaso sijui pampas and all the carings needed for a baby.

Hapo bado kukupikia kukufulia kukuandalia nguo navitu fulani fulani vyote hivi mtu unafanyiwa lakini bado. Wanaume mnatakiwa kutubembeleza sanaaaaa kutuangalia kwa jicho la Tatu kutudekeza mnooooooooo kutujali kupita maelezo kutunyenyekea kutusujudu kutuheshimu sana tena sanaaaa mtupakate ikiwezekana mtubebeee Kila mahali na si kutufanyia ndivo sivo.

ukiachiwa mtoto mdogo hakika atakufa siku hiohio kama si kumpeleka kwa bibi yake sijui Shangazi yake mamdogo ambae nae ni mwanamke kwanini usimpeleke kwa baba yako babu yako kaka yako mjomba wako????.

Pamoja na hayo yooooote mwanaume akukosee bado umbembelezee umnyenyekee ilhali yeye ndo mwenye kosa kisa tu eti ndoa ni uvumilivu na mwanamke anatakiwa kuheshimu mwanaume!!!! Inshallah Umemzalia watoto jamani bado tu uishi roho juu na maisha ya wasiwasi.

Alaaniwe mwanaume anayethubutu kunyanyua kinywa chake kumtusi mkewe. Alaaniwe mwanaume anayethubutu kunyanyua mkono wake kumpiga mkewe na Mungu baba akarehemu wanaume wa hivyo wasiojua thamani ya mwanamke.
Sisi tungekua na roho ngumu kiasi hiko kuwaua ni dakika sifuri.
Kwani ungebakia kwa babaako mpaka ufe ungepata hasara gani! Kuliko kumfuata mtu aliyefanya ugombane hata na wazazi wako mwenyewe kisa bae, ukakatisha hata masomo kisa bae sasa leo unalalama kana kwamba ulishikwa mkono kupelekwa, kama anazingua rudi kwenu au kapange uanze maisha yako binafsi kuliko hizo laana za kuku hazimpati mwewe japo anakula vifaranga vyake..
 
Kuna mbaba hapa kapiga mkewe nusu kufa kisa tu mkewe kamfatilia mumewe na kumkuta yupo na kidumu. Mkewe akaanza kumshambulia hiko kidumu cha mumewe weeee mwanaume alimtukana tukana mkewe dhalilisha piga piga vua nguo zote mwanamke baki na chupi tu na mbele za watu jamani na ni mkewe wa ndoa.

Wanawake tuna Kazi kubwa kwakweli hebu jaribuni basi. Pamoja na shida ghadhabu mateso kuzaa kwa uchungu kubeba mimba miezi 9 kulala upande upande kufua mikojo kufua mavi usiku kuamka kubadilisha mtoto madaso sijui pampas and all the carings needed for a baby.

Hapo bado kukupikia kukufulia kukuandalia nguo navitu fulani fulani vyote hivi mtu unafanyiwa lakini bado. Wanaume mnatakiwa kutubembeleza sanaaaaa kutuangalia kwa jicho la Tatu kutudekeza mnooooooooo kutujali kupita maelezo kutunyenyekea kutusujudu kutuheshimu sana tena sanaaaa mtupakate ikiwezekana mtubebeee Kila mahali na si kutufanyia ndivo sivo.

ukiachiwa mtoto mdogo hakika atakufa siku hiohio kama si kumpeleka kwa bibi yake sijui Shangazi yake mamdogo ambae nae ni mwanamke kwanini usimpeleke kwa baba yako babu yako kaka yako mjomba wako????.

Pamoja na hayo yooooote mwanaume akukosee bado umbembelezee umnyenyekee ilhali yeye ndo mwenye kosa kisa tu eti ndoa ni uvumilivu na mwanamke anatakiwa kuheshimu mwanaume!!!! Inshallah Umemzalia watoto jamani bado tu uishi roho juu na maisha ya wasiwasi.

Alaaniwe mwanaume anayethubutu kunyanyua kinywa chake kumtusi mkewe. Alaaniwe mwanaume anayethubutu kunyanyua mkono wake kumpiga mkewe na Mungu baba akarehemu wanaume wa hivyo wasiojua thamani ya mwanamke.
Sisi tungekua na roho ngumu kiasi hiko kuwaua ni dakika sifuri.
Mrembo wa ukweli,acha kunipa like tu mamii,unijibu ili nipate usingizi,kumbuka wakati ule ulinipa vyote,na mpaka ukawa hulali bila kupata dondoo za mahaba ili upate usingizi baby,eti leo ni like,like,like, au tuliagana kwa ugomvi?mbona ni wewe tu ndo uliingia mitini bila kuaga au vipi?
 
Kwahiyo unapingana na Mungu? Kama hayo ndio mawazo yenu then basi hata usiwalaumu.
Bora hao waloomba ushauri kuhusu kuishi na mama mkwe kuliko nyie mlojazana kuelezana namna za kuchepuka na kupiga wake zenu.
Ndo kizazi chenu hicho! Kutwa kucha kulishana ujinga humu jf. Yaani mpaka unaingia kwenye ndoa(maana siku hizi hakuna kuolewa bali kuna kuoana) hujui majukumu "basic" kabisaa!! Kichwa boksi.
 
Na kama ni kupingana na Mungu, ninyi kina haki sawa jitazameni upya. Huyo aliyeenda kumshambulia mumewe hadharani katumia Mungu yupi? Labda Mungu wa Beijing
 
I see!!! Sio bure!!
Na kama ni kupingana na Mungu, ninyi kina haki sawa jitazameni upya. Huyo aliyeenda kumshambulia mumewe hadharani katumia Mungu yupi? Labda Mungu wa Beijing
Huwa najiuliza zile akili mnazitumiaga wapi!! Au zilisahaulika kuwekwa kabisa!!!
 
kufatana hadi bar? hata mm nisingekubali hyo.Mwanamke hakutumia njia sahih kusolve tatizo.Nahisi kichapo kimemfundisha adabu.
ukiwa unadeal na mtu hata kama n mtoto unatakiwa uheshimu tolerance zone.
 
Yoote haya uliyoyaandika either yawe kweli au si kweli ila tambua jibu lake umeliweka kwenye signature yako hapo chini "common sense".... which is not common among common people ndo chanzo kikubwa...
 
Mi nikilinganisha kati ya kuwa mke na kuwa hawara naona bora ukiwa hawara mwanaume anakujali. Mwanaume akisaini cheti cha ndoa tu hapohapo anaingiliwa na pepo la zarau.
Eti? Kwahiyo unaamini unaweza kuwa hawara wa kudumu?
Nina umri wa kutosha kuthibitisha kwa niliyokwisha kuona hadi sasa, kuwa hakuna hawara wa kudumu.
 
Mwanaume wakunivua nguo mbele za watu hata kama nimezaa naye watoto 50 siku hiyo polisi na ndoa hapo ndiyo mwisho wake
 
Back
Top Bottom