Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,133
- 122,589
Halafu mnapendaga kurahisisha mambo mjueMimi nilifikiri mumewe anafanya umalaya kumbe anafatilia kadada kamoja tu ? Hapa shida iko wapi ?
Halafu mnapendaga kurahisisha mambo mjueMimi nilifikiri mumewe anafanya umalaya kumbe anafatilia kadada kamoja tu ? Hapa shida iko wapi ?
Huwa nawashangaa sana nyie wanaume kila mnapokuwa na vidumu sababu zinakuwa za mwanamke inamana nyie mmkekamilika kwa 100% mbona wenzenu wanatulizana.Mnajua chanzo cha huyo jamaa kuwa na kidumu ni tabia mbaya za mkewe baada ya kuzoena ndani adabu inapungua jamaa akaamua kutafuta mchepuko ili kumpa wife muda alee watoto ndio busara aliotumia,msije hapa na conclusion zenu eti kisa ndoa tu,hawezi kupigwa tu bila 7bu.
Hawayajui hayo. Wao waulize michepuko.Wanaume wengine bana sijui wapoje, mwanamke hupigwa na kanga jamani![]()
Mimi nafikiri alipigwa kwa sababu alipiga! !Kuna mbaba hapa kapiga mkewe nusu kufa kisa tu mkewe kamfatilia mumewe na kumkuta yupo na kidumu. Mkewe akaanza kumshambulia hiko kidumu cha mumewe weeee mwanaume alimtukana tukana mkewe dhalilisha piga piga vua nguo zote mwanamke baki na chupi tu na mbele za watu jamani na ni mkewe wa ndoa.
Wanawake tuna Kazi kubwa kwakweli hebu jaribuni basi. Pamoja na shida ghadhabu mateso kuzaa kwa uchungu kubeba mimba miezi 9 kulala upande upande kufua mikojo kufua mavi usiku kuamka kubadilisha mtoto madaso sijui pampas and all the carings needed for a baby.
Hapo bado kukupikia kukufulia kukuandalia nguo navitu fulani fulani vyote hivi mtu unafanyiwa lakini bado. Wanaume mnatakiwa kutubembeleza sanaaaaa kutuangalia kwa jicho la Tatu kutudekeza mnooooooooo kutujali kupita maelezo kutunyenyekea kutusujudu kutuheshimu sana tena sanaaaa mtupakate ikiwezekana mtubebeee Kila mahali na si kutufanyia ndivo sivo.
ukiachiwa mtoto mdogo hakika atakufa siku hiohio kama si kumpeleka kwa bibi yake sijui Shangazi yake mamdogo ambae nae ni mwanamke kwanini usimpeleke kwa baba yako babu yako kaka yako mjomba wako????.
Pamoja na hayo yooooote mwanaume akukosee bado umbembelezee umnyenyekee ilhali yeye ndo mwenye kosa kisa tu eti ndoa ni uvumilivu na mwanamke anatakiwa kuheshimu mwanaume!!!! Inshallah Umemzalia watoto jamani bado tu uishi roho juu na maisha ya wasiwasi.
Alaaniwe mwanaume anayethubutu kunyanyua kinywa chake kumtusi mkewe. Alaaniwe mwanaume anayethubutu kunyanyua mkono wake kumpiga mkewe na Mungu baba akarehemu wanaume wa hivyo wasiojua thamani ya mwanamke.
Sisi tungekua na roho ngumu kiasi hiko kuwaua ni dakika sifuri.
Sawa. Lakini hizo laana ni balaa.Hahahaahhahahaahahahahaha... Mtuhurumie kwakweli
Mara nyingi ni hivyo..mfano kwetu ndugu zako wakimkuta mumeo kwa kibajaji wala hawana neno naye ila wananeno na wewe.utajieleza mbele ya shangazi na bibi kama ulisikiliza walichokuelekeza au ulienda fanya yako,wanaume ni watoto wakubwa ujue hawana ujanja ki viiiile tunawakweza tu.Huwa nawashangaa sana nyie wanaume kila mnapokuwa na vidumu sababu zinakuwa za mwanamke inamana nyie mmkekamilika kwa 100% mbona wenzenu wanatulizana.
Nadhani ni hulka zenu tu na hamjajizowesha kutulia kwenye ndoa zenu.Inatakiwa mfikie kipindi na nyie wanaume mtambue thamani na umuhimu wa wake zenu na sio kuwadhalilisha. Lait angejua thamani ya mke wake asingefikia hadi anamvua nguo
Inaelekea huyo kidumu hajajua kuwa "kila muosha huoshwa" leo kwa mwenzie kesho itakuwa kwake na huenda akapata aibu mara mbili ya hiyo aliyofanyiwa mwenzake.
Mana wanaume sio viumbe vinavyoridhika hata umbebe mgongoni jua atachana mbeleko tu na pia huyo mke ajifunze ikiwa mume anajali familia hayo mengine aachane nayo.
Ndio mnachokijua tu ichoNdo aache kumfuatilia mwanaume! Kwani haachi kodi ya meza? Ebooo
Kuna mbaba hapa kapiga mkewe nusu kufa kisa tu mkewe kamfatilia mumewe na kumkuta yupo na kidumu. Mkewe akaanza kumshambulia hiko kidumu cha mumewe weeee mwanaume alimtukana tukana mkewe dhalilisha piga piga vua nguo zote mwanamke baki na chupi tu na mbele za watu jamani na ni mkewe wa ndoa.
Wanawake tuna Kazi kubwa kwakweli hebu jaribuni basi. Pamoja na shida ghadhabu mateso kuzaa kwa uchungu kubeba mimba miezi 9 kulala upande upande kufua mikojo kufua mavi usiku kuamka kubadilisha mtoto madaso sijui pampas and all the carings needed for a baby.
Hapo bado kukupikia kukufulia kukuandalia nguo navitu fulani fulani vyote hivi mtu unafanyiwa lakini bado. Wanaume mnatakiwa kutubembeleza sanaaaaa kutuangalia kwa jicho la Tatu kutudekeza mnooooooooo kutujali kupita maelezo kutunyenyekea kutusujudu kutuheshimu sana tena sanaaaa mtupakate ikiwezekana mtubebeee Kila mahali na si kutufanyia ndivo sivo.
ukiachiwa mtoto mdogo hakika atakufa siku hiohio kama si kumpeleka kwa bibi yake sijui Shangazi yake mamdogo ambae nae ni mwanamke kwanini usimpeleke kwa baba yako babu yako kaka yako mjomba wako????.
Pamoja na hayo yooooote mwanaume akukosee bado umbembelezee umnyenyekee ilhali yeye ndo mwenye kosa kisa tu eti ndoa ni uvumilivu na mwanamke anatakiwa kuheshimu mwanaume!!!! Inshallah Umemzalia watoto jamani bado tu uishi roho juu na maisha ya wasiwasi.
Alaaniwe mwanaume anayethubutu kunyanyua kinywa chake kumtusi mkewe. Alaaniwe mwanaume anayethubutu kunyanyua mkono wake kumpiga mkewe na Mungu baba akarehemu wanaume wa hivyo wasiojua thamani ya mwanamke.
Sisi tungekua na roho ngumu kiasi hiko kuwaua ni dakika sifuri.
Ikiwa huyo mwanamke mpaka kafikia hatua anavuliwa nguo kisa fumanizi sidhani kama hakuwahi kumkemea hizo tabia za ajabu ajabu , pia zinapozidi ni bora zaidi kuangalia mambo mengine ya msingi.Mwisho wa siku atarudi na maradhi sijui utusemaje na hukumkemea
Hakika ingekuwa hatari sana.Na Laiti kama zingekua zinafanya Kazi...