Jamani wanapendeza!!yalaah!!!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,149


wapendwa mkisehrekea sikukuu ya mmungwana napenda niwape pongezi zenu mnavyojitahidi kupigana na maisha kwa upendo na kushirikiana huku mkizitunza siri zenu moyni ...mnapendeza naomba tuwapongeze jamani nyc pic br
 
mungu walinde wamedumu kwa muda mrefu na hawasikilizi maneno ya watu, hongera kwa jide zaidi kwa kuwa mbunifu na kufanya kazi kwa bidii.
 
all the best,make ur wife to be ur best friend na utaona utamu wa ndoa
 
piga kazi sista jaydee ....!! ila pumzika uzae katoto plzz...! pesa unazo nyingi kwa sasa..!

NI USHAURI TU..!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom