Sasa naona mnakubali kuwa hakuna wizi wa kura na hata wafadhili wameona hivyo, sasa tunasubiri uchaguzi mdogo arusha urudiwe halafu mtatambua ccm ndio nani.
Lakini kumbuka viongoI karibu wote wakuu wa CCM walishiriki kampeni hiyo...sasa subiri 2015 kila mtu kivyake
Hakuna alie kimbia, wengine wako kifungoni,tunasubiri ban inyanyuliwe turudi kwenye mpambano, naona mlishasahau kuwa juzi juzi tu tulichukua majimbo mawili na wala hatukujisifu kama nyie.
Anyways,hongera cdm kwa kuongeza mpiga kelele mwingine bungeni
Kaibuka huyu hapa, Mkuu hawa watu tuliwaambia Watanzania wamechoka kuibiwa na longo longo, sasa bado 2015 tunawagalagaza wote na maghamba yao!!!!!Basi sasa chadema inatosha,mmeshinda ubunge wa arumeru tu sio wa nchi nzima......!
Uchaguzi mdogo Arusha unarudiwa lini wewe, wacha ndoto za mchana kumtakia Mheshimiwa Lema mabaya wewe sio hakimu!!!!!!Sasa naona mnakubali kuwa hakuna wizi wa kura na hata wafadhili wameona hivyo, sasa tunasubiri uchaguzi mdogo arusha urudiwe halafu mtatambua ccm ndio nani.