Jamani tunamtafuta Rejao, Ritz... Wako wapi leo?

Sasa naona mnakubali kuwa hakuna wizi wa kura na hata wafadhili wameona hivyo, sasa tunasubiri uchaguzi mdogo arusha urudiwe halafu mtatambua ccm ndio nani.
 
Lakini kumbuka viongoI karibu wote wakuu wa CCM walishiriki kampeni hiyo...sasa subiri 2015 kila mtu kivyake


Hilo litakuwa anguko la Tsunami

NB: Kumbuka tambo za CCM kupata ushindi wa Tsumani hazipo tena. Hakuna mwenye jeuri ya kupanda jukwani akaleta hizo tambo
 
wamezia ni mshituko wa matokeo ya arumeru wako mwaisela- muhimbili wadi namba 32672 wakipona watarejea kwa kishindo
 
Hakuna alie kimbia, wengine wako kifungoni,tunasubiri ban inyanyuliwe turudi kwenye mpambano, naona mlishasahau kuwa juzi juzi tu tulichukua majimbo mawili na wala hatukujisifu kama nyie.

Anyways,hongera cdm kwa kuongeza mpiga kelele mwingine bungeni

bora wa kwetu anafanya necessary noises,huyo wa kwenu lusinde punguani je?
 
mbwembwe zina mwisho.Nchemba alisema hata kama Slaa atakuwa mwenyekiti wa Nec CCM ingeshinda,kavuna dharau yake !!!@@@$$4%%66 zake kabisa!
 
Walitumia pesa nyingi saana kununua kura, wakiamini watapata ushindi na hivo kusingekuwa na haja ya kuwasilisha mahesabu. Lakini sasa kwa matokeo yalivotoka lazima wawasilishe mahesabu, kwa hiyo watakuwa wapo chimbo wanabalance mahesabu. MWISHO WA UBAYA AIBU
 
Basi sasa chadema inatosha,mmeshinda ubunge wa arumeru tu sio wa nchi nzima......!
Kaibuka huyu hapa, Mkuu hawa watu tuliwaambia Watanzania wamechoka kuibiwa na longo longo, sasa bado 2015 tunawagalagaza wote na maghamba yao!!!!!

 
Always Kwa Nguvu na Uwepo wa Mungu Watashindwa!! Kwani Hata Ukifuatilia Hoja zao Huwezi Jua Wamesimamia Wapi? Axis of Devil or Axis of God!! Naomba Wajiulize Sana Hawa Jamaa na wajijue wamesimamia Wapi?
 
Sasa naona mnakubali kuwa hakuna wizi wa kura na hata wafadhili wameona hivyo, sasa tunasubiri uchaguzi mdogo arusha urudiwe halafu mtatambua ccm ndio nani.
Uchaguzi mdogo Arusha unarudiwa lini wewe, wacha ndoto za mchana kumtakia Mheshimiwa Lema mabaya wewe sio hakimu!!!!!!

 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom