johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,524
- 142,796
Mwenye taarifa atujuze tafadhali maana mh Kadogosa alisisitiza mwezi Huu lazima Treni ya SGR Dar hadi Moro ianze safari
Nasubiria
Nasubiria
Nyie tungeni sheria za kikatili kama nchi hii hamjaitumbukiza SudanMwenye taarifa atujuze tafadhali maana mh Kadogosa alisisitiza mwezi Huu lazima Treni ya SGR Dar hadi Moro ianze safari
Nasubiria
Tayari imeshaanza safari, ila inatumia umbo la wireless haionekani kwa machoMwenye taarifa atujuze tafadhali maana mh Kadogosa alisisitiza mwezi Huu lazima Treni ya SGR Dar hadi Moro ianze safari
Nasubiria
Ni May 2024.Mwenye taarifa atujuze tafadhali maana mh Kadogosa alisisitiza mwezi Huu lazima Treni ya SGR Dar hadi Moro ianze safari
Nasubiria
We nawe shidaaaa!!! Mwezi huu ndiyo ni kweli lakini mwaka gani???Mwenye taarifa atujuze tafadhali maana mh Kadogosa alisisitiza mwezi Huu lazima Treni ya SGR Dar hadi Moro ianze safari
Nasubiria
Miaka saba reli haijakamilika kufika Morogoro ilhali Wajerumani walifika Kigoma kwa kutumia mikono kwa miaka mitatu .Mwenye taarifa atujuze tafadhali maana mh Kadogosa alisisitiza mwezi Huu lazima Treni ya SGR Dar hadi Moro ianze safari
Nasubiria
Kwani unataka kwenda Ruvu au Soga?Mwenye taarifa atujuze tafadhali maana mh Kadogosa alisisitiza mwezi Huu lazima Treni ya SGR Dar hadi Moro ianze safari
Nasubiria
ChalinzeKwani unataka kwenda Ruvu au Soga?
hapo chukua kilikuu , SGR ni maalum kwa ajili ya kina zito zuberi kabwe .Chalinze
Mwenye taarifa atujuze tafadhali maana mh Kadogosa alisisitiza mwezi Huu lazima Treni ya SGR Dar hadi Moro ianze safari
Nasubiria