Jamani Tatizo ni nini hasa?

cjambo kabisa hofu kwako kipenzi, hivi lengo la ndoa ni kuanzisha familia? au cjakuelewa luv, hebu nidadavulie.

Nikikuona u mzima na mi lazima niwe mzima....
Kuanzisha familia yaweza kuwa lengo mojawapo......(ofkoz its a must kwa jamii zetu)..
Kama lengo (mojawapo) ni kuanzisha familia....umri ni muhimu sana......
 
hapo nimekupata,bac kila mtu ana lengo lake na ndoa....
 
hapo nimekupata,bac kila mtu ana lengo lake na ndoa....

kwani mimi na wewe tuna malengo yapi ya ndoa mpenzi....hapa biya zinafanya nishindwe kukumbuka....
Btw: Malengo ya ndoa sio universal....japo la kuanzisha familia ni the oldest and most common....
 
kwani mimi na wewe tuna malengo yapi ya ndoa mpenzi....hapa biya zinafanya nishindwe kukumbuka....
Btw: Malengo ya ndoa sio universal....japo la kuanzisha familia ni the oldest and most common....

cc tulioana kwa mapenzi/mapendo ya kuishi pa1 mpaka kifo kitutenganishe, baada ya hapo tukamtanguliza Mungu atuwezeshe kuanzisha familia bora na akatuwezesha ndio mana bado tunafurahia mapenzi yetu.....swir punguza biyakama unaanza kupoteza kumbukumbu sasa.
 
  • Thanks
Reactions: RR
Na wewe ndo unaconfirm kabisa kwamba hakuna waolewaji..
Naona hili ni tatizo Tunakoelekea nadhani kutakuwa na mikataba ya ndoa lol

Kweli kabisa..Ningependa tufike hapo ili kila mtu ajue haki, wajibu na makumu yake katika ndoa badala ya kwenda kichwa kichwa kama kondoo.

Kwa sababu ya utandawazi hawa vijana wa dot com wanaichukulia ndoa kama uwanja wa kufanyia ngono tu na kusahau mazagazaga mengine ya ndoa. Wakikutana na masahibu kibao wanaishia kuweka mpira kwapani...Tukiwaruhusu kufunga mikataba labda akili zitarudi kwenye mstari na wanasheria watapata kipato cha kututesea mitaani!
 
cc tulioana kwa mapenzi/mapendo ya kuishi pa1 mpaka kifo kitutenganishe, baada ya hapo tukamtanguliza Mungu atuwezeshe kuanzisha familia bora na akatuwezesha ndio mana bado tunafurahia mapenzi yetu.....swir punguza biyakama unaanza kupoteza kumbukumbu sasa.

Napeleka mjengoni idodomya hoja....
Hoja ya kufungwa TBL/SBL.....wakifunga tu...mi naacha......
 
wakaka wanadai at any time t kila anachokitaka anakipata wat next hamna jipya, lamsingi ni kuwaelimisha dada zetu kuwa kauzo kwenye suala lazima la kusex hadi kieleweke kwa wazazi, wadada ndo chanzo cha kuinfluence hiyo misemo kwa kushindwa kuwa wavumilivu, siku zote anayekupenda atakuwa mvumilivu kwako!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tatizo siku hizi vijana wamekuwa wakichagua mtu kwa kigezo sura,umbo na pia mnaangalia ana nini.
 
Kwani wanaoendekeza ngono za nje nje (cheap sex) siku hizi ni wakaka tu?
 
Ni visingizio tu! Kwa wanaume maisha ni magumu sana, Wanawake wetu wa kiafrika akiolewa anategemea kwa mume tu! na kama anacho basi wengi wako hivi - Chake chake chako chenu! si ndo hapo watu wanapoogopa?
 
bora kuoa wazee kuliko maisha ya puchupuchu, mie nimeamua kuchukua maamuzi magumu, nimeoa kwa njia ya shortcut, ninayofaidi refer wimbo wa babu aliomjibu mwanaFA.
ANGALIENI UKIMWI USIJE UKAPIGA HODI KWENYE MIILI YENU.
 
Tatizo siku hizi vijana wamekuwa wakichagua mtu kwa kigezo sura,umbo na pia mnaangalia ana nini.

hilo lilishapitwa na wkt siku nyingi. siku hizi wachina wanamsaidia GOD kuyaweka maumbile sawa. wanadhani GOD yupo likizo.
 
Kwa sababu wote wanakula STAREHE kwanza..... Muda wa kuoa/kuolewa ukifika, ndio wanahaha kutafuta wenzi...

Halafu wakiwakosa ndo wanaolewa kuondoa mkosi, baadae wanajilaumu kwa kugundua walikurupuka. Wanaongeza idadi ya ndoa ndoano
 
hiyo ni sababu nyingine inayowafanya watu wanaingia kwenye ndoa ili mradi ndoa esp wanawake, kwa kuhofia"umri" hakuna umri sahihi wa kuoa/lkuolewa, jamii yetu inatakiwa ibadilike sana juu ya hili coz ni mojawapo ya sababu zinazopelekea ndoa kuwa ndoano, mtu aliolewa coz ya kuhofia umri.

umeona eeh love,

hilo hasa wka wasichana wengi ni TATIZO hasa wengi nimewaona wanaolewa oo 'umri umeenda' so ukitazama kwa undani utagundua kuwa kigezo ni umri na sio kuwa kampenda muoaji... na hilo linaleta matatizo sana...ndoa inakaa mwaka mmoja tu tayari choko choko

Ninavyoona, na kama ulivosema inabidi kubaidli mitizamo ya kifikra ya kuwa kuna umri sahihi wa kuoa au kuanza maisha, maisha ni jinsi uishivyo. Tena basi, kama mkianza maisha wote kama alivosema Husninyo apo juu, inakuwa nzuri zaidi maana tabia ya kina dada kutaka wanaume walio tayari 'safi' kimaisha inaleta matatizo sana...mtu anapata sababu ya kukunyanyasa,, mwishoni mtu analia ametendwa na huku yeye hataki kujishughulisha. Siku hizi ni kuoana na sio kuolewa/kuoa
 
Kuna hii issue ya mahusiano yaliyopo sasa....
Ukijaribu kuuliza mabinti issue ya kuoa na kuolewa utasikia majibu yao waoaji hawapo siku hizi
Ukiuliza wanaume nao jibu utasikia ni lile lile siku hizi waolewaji hawapo
Inakuwaje wakati idadi ya single wakike na single wa kiume ni wengi sana
Kwanini jibu linakuwa waoaji waolewaji hawapo?

Dada unavyosema ni kweli lakini mimi binafsi naona:

Haya mambo yalikuwepo toka zamani lakini siku hizi utandawazi umeongeza kuweka mambo mengi hadharani. Siku hizi kuna mapararazi wengi hivyo siri nyingi zinasomwa na wengi kupitia magazeti ya udaku uwazi..mitandao, internet etc.. Jinsi siri za ndani ya nyumba zinavyowekwa hadharani ndivyo imani kati ya wanawake na wanaume zinavyopungua na kusababisha wale ambao hawajaoa au kuolewa kuogopa kuingia kwenye ligi. Zamani hakukua na utandawazi hivyo siri na weakness nyingi zilibaki ndani.

Pia, Kutokana na kuingiliwa na utamaduni wa kidhungu..tunapoteza kwa kasi washauri binafsi.. vijana wengi hawajui ni kwanini inabidi mtu awe na familia. Wengine wanafikiri familia ni maisha mazuri hivyo wakiona wengine wanashindwa wanakata tamaa. Wengine wanafikiri familia ni uzee..hivyo wakifikiri kuacha fiesta na pub..wanachoka. Wengine wanafikiri familia ni kifungo hivyo wakifiri uhuru walionao wanaogopa..ni fikira binafsi tu .. na ukikosa mtu wa kukushauri basi utabaki na fikra hizo daima hadi umri utakapokulazimisha kuolewa..wakati mambo yameshakwenda mrama.

Halafu, Mtandao imechangamsha damu za vijana wengi kupasha moto mapema kutokana na mshwashwa unatokana na utandawazi. Kuonja onja huku kunafanya vijana wakinai mapema bila hata kujua utamu wa chakula. Vijana wengi wanadhani utamu wa maisha ni kufanya mapenzi na kuita dia..wanasahau kuna kitu kinaitwa watoto ambao wanaweza ku-compensate machungu ya kutoitwa dia na siku zikaenda..Experience hii huwezi kuipata kwenye mtandao inabidi uingie kwenye game..
 
Back
Top Bottom