Jamani Tatizo ni nini hasa?

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,375
Salama iko wana JF?

Nina jambo kidogo linanitatiza katika karne hii ya utandawazi..

Kuna hii issue ya mahusiano yaliyopo sasa....
Ukijaribu kuuliza mabinti issue ya kuoa na kuolewa utasikia majibu yao waoaji hawapo siku hizi
Ukiuliza wanaume nao jibu utasikia ni lile lile siku hizi waolewaji hawapo
Inakuwaje wakati idadi ya single wakike na single wa kiume ni wengi sana
Kwanini jibu linakuwa waoaji waolewaji hawapo?

Hivi kama kila mtu ana majibu ya dizaini hii nini hatima yake??

Kulikoni?
 
ukiangalia mwenendo mzima wa ndoa za siku hizi ni taabu tupu....watu wanaoana bora ndoa......wengine wanasena kuondoa mikosi.....upendo wa dhati umetoweka imebaki kutamaniana....mwisho wa tamaa ndoa inageuka ndoano....bora kuishi kimjini mjini siku zinasonga
 
Tabia za kila mmoja zinatisha dada, acha tu!
Hata mimi ningekujibu hivyohivyo tu...
WAKE HAMNA, KUNA WANAWAKE TU!

Na wewe ndo unaconfirm kabisa kwamba hakuna waolewaji..
Naona hili ni tatizo Tunakoelekea nadhani kutakuwa na mikataba ya ndoa lol
 
ukiangalia mwenendo mzima wa ndoa za siku hizi ni taabu tupu....watu wanaoana bora ndoa......wengine wanasena kuondoa mikosi.....upendo wa dhati umetoweka imebaki kutamaniana....mwisho wa tamaa ndoa inageuka ndoano....bora kuishi kimjini mjini siku zinasonga

Kwa jibu lako hili Blackwoman inaonyesha tumeshakata tamaa ya maisha??
 
Naona umewaza mbali...
Maisha ya sasa yamebadilika FL .no love no trust tunakwenda mdogo mdogo tu...
Ndio majibu yenyewe hayo
 
Salama iko wana JF?

Nina jambo kidogo linanitatiza katika karne hii ya utandawazi..

Kuna hii issue ya mahusiano yaliyopo sasa....
Ukijaribu kuuliza mabinti issue ya kuoa na kuolewa utasikia majibu yao waoaji hawapo siku hizi
Ukiuliza wanaume nao jibu utasikia ni lile lile siku hizi waolewaji hawapo
Inakuwaje wakati idadi ya single wakike na single wa kiume ni wengi sana
Kwanini jibu linakuwa waoaji waolewaji hawapo?

Hivi kama kila mtu ana majibu ya dizaini hii nini hatima yake??

Kulikoni?
inategemea na uliowqauliza wengi.
kama uliwauliza wa miaka kwanzia 24-26 hawa wengi bado hawajarealize haja ya kua namke.
ila kwa wengi wenye 27 and above wankua washamake sense ya kua na mke.
Pia inategemea namtu,kuna watu washakutwa sana na mikasa ya kimapenzi au kuisikia,
au kushuhudia live kwa watu wao wa karibu jamaa na marafiki. inapofikia hatua ya kuoa au kuolewa
inakua kazi sana kufikia maamuzi.

Ila kiukkweli suala la tabia nalo linachagia no kwa siku hizi.
Jamani watu wamebadilika mnoo,uthubut wa ajab wa kufanya mambo yasiyofaa
hasa kwa muolewa/muoaji. Tunatishana kiukweli.
 
ukitaka kuujua ukweli angalia the comedy show kipengele cha ndoa ndoano, yale wanayoigiza ni kweli yapo katika ndoa, sasa tunaona ni bora tujiweke pembeni tu.
 
Siku hizi hata ule umri kuoa/kuolewa - kuna watoto wa kiume badala wa wanaume vivyo hivyo kuna watoto wa kike badala ya wanawake!
 
Si kweli, mimi toka nihamie DSM miaka tisa iliyopita karibu kila jmosi nahudhuria kula mpunga wa harusi, wakati mwingine nakuwa na kadi zaidi ya moja kwa tarehe hiyo. Sasa kama hizo ndoa zinadumu au la hapo sie wahudhuriaji haituhusu.
 
Technology imewabadili sana watu, watu hawathamini tena kujenga mahusiano na kuhitimisha through ndoa. It is fine, nature ita-balance yenyewe. Ukikutana na vijana wa siku hizi utashangaa.... kila mtu anakwambia bado yupo yupo hata yale mambo ya girl/boy-friend nayo yanapotea. Watu waka chimbuana tu kila kukicha si wasichana si wavulana wanakula tunda kwa kuchanganya changanya. Mahusiano hakuna...hii ni hatari lakini ndo technologia imetupeleka hapa na ita-shape jamii na tutakubali tu baada ya kuzoea.
 
Kama ulipata muda wa kuwauliza na wakakujibu kwanini hukuwauliza sababu??
Sometimes mnatuchosha tu ubongo!!!
salama iko wana jf?

Nina jambo kidogo linanitatiza katika karne hii ya utandawazi..

Kuna hii issue ya mahusiano yaliyopo sasa....
Ukijaribu kuuliza mabinti issue ya kuoa na kuolewa utasikia majibu yao waoaji hawapo siku hizi
ukiuliza wanaume nao jibu utasikia ni lile lile siku hizi waolewaji hawapo
inakuwaje wakati idadi ya single wakike na single wa kiume ni wengi sana
kwanini jibu linakuwa waoaji waolewaji hawapo?

Hivi kama kila mtu ana majibu ya dizaini hii nini hatima yake??

Kulikoni?
 
majibu ndo hayohayo uliyopata ndo utaendelea kupata kwani maisha ya ndoa za sasa yanakatisha tamaa zaidi ndo maana wanasema hamna waoaji au waolewaji mfano dhahiri tunaona ktk kipindi cha comedy cha tbc one sehemu ya ndoa ndoano ni mambo ambayo yapo na yanatokea ktk jamii zetu na yanakatisha tamaa ndo maana unasikia majibu kama hayo na mwingine anaweza kukujibu kuwa hana mpango wa kuolewa labda atafute mwanaume atayempenda kwa dhati azae nae mtoto na si kuolewa nae
 
Back
Top Bottom