Jamani Tanzania Na Watanzania Kweli Mumelala

Macos

JF-Expert Member
May 12, 2008
1,979
1,416
[B][/B]Wakati Waziri katika nchi jirani akijiuzulu kwa kuuza Hotel ya kitalii ya REGENY INTERNATIONAL kwa bei "poa" ya DOLLAR 45,000,000.00( MILLION AROBAINI DOLLARI) sisi kwa pamoja tuliuza benki ya NATIONAL BANK OF COMMERCE -NBC na HOTEL YA KILIMANJARO kwa DOLLAR 21,000,000.00 ( MILLIONI ISHIRINI NA MOJA DOLLARI) mhhhhh
Yaani hata bank iliyo na majengo na assets kwa mtamdao wa nchi nzima na Hotel kubwa ya kisasa lakini kwa pamoja hatukupata hata nusu ya bei walouza Wakenya Hotel moja tuuuuu!!!!!!!!!!!!! na wenzetu Waziri amejiuzulu . sisi mhhhhhhhh USINGIZI WA NUSU KAPUTI WA CCM KIGUMU BADO UMETULEVYA
 
Je, Wewe siyo Mtanzania? Kama ndiyo..umefanya nini maana we all have a stake
 
Back
Top Bottom