Jamani si tumemchagua wenyewe au?

Hii thread imeanzishwa na mtu anaitwa matope! Sina uhakika kama hayo matope yanamaanisha ubongo au nini. But Kikwete amechaguliwa na watanzania 5,000,000 out of 20,000,000 waliojiandikisha kupiga kura. Its no wonder kura 12000000 zilifutwa na nec ili kumpa ushindi Kikwete. Huhitaji elimu ya PhD kujua kwamba kura zilizompa madaraka kikwete si representative ya tanzanian majority.

Una uhakika kwamba kura 12 ml zilifutwa weka ushahidi hapa!which means waliopiga kula ni 17 ml,wacha mambo yako bana rudi kwenye web ya Nec kaangalie vzr data!
 
Kuwa rais haimaanishi kuwa muda wote uwe serious. Kuna muda wa kurelax na kuinjoi na familia. siyo kila saa ni muda wa kazi.
Mwangalie Obama hapa akiwa ndani ya PS3
View attachment 43325

anachokifanya Obama na alichofanya zuumbukuku wala haviendani..hapo jk si alikua jamaica anakula bata za kumbembea kama zuzu kwa kodi zetu..we ulimuona lini obama au bush ameenda ku slide wet n wild kunduchi water park? shame shame rejao mpua

hahahaha....hapo imebidi tu nicheke!! nakushangaa na vituko vyako wakati Tbag nauemfahamu wa PB ni serious guy na ni mtu wa action
 
Bila Usalama wa Taifa (Soma: Uhasama wa Taifa) asingepita. Nani asiyejua kwamba CHICHIEMU bila kuiba kura Uchaguzi Mkuu hawapiti?
 
Hii thread imeanzishwa na mtu anaitwa matope! Sina uhakika kama hayo matope yanamaanisha ubongo au nini. But Kikwete amechaguliwa na watanzania 5,000,000 out of 20,000,000 waliojiandikisha kupiga kura. Its no wonder kura 12000000 zilifutwa na nec ili kumpa ushindi Kikwete. Huhitaji elimu ya PhD kujua kwamba kura zilizompa madaraka kikwete si representative ya tanzanian majority.

Una uhakika kwamba kura 12 ml zilifutwa weka ushahidi hapa!which means waliopiga kula ni 17 ml,wacha mambo yako bana rudi kwenye web ya Nec kaangalie vzr data!
 
Hoja hizi zinapaswa kuchangiwa na Rejao,Malaria sugu,Ritz,Njiwa,Faizadog.........na wenginewo!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom