UKAWA kushinda kwa kishindo Oktoba 2015

mandago shululu

Senior Member
Mar 24, 2013
124
34
CCM INAPOJIANDAA KUKABIDHI NCHI TUJIAADAE KWA MAMBO YAFUATAYO

Ndugu watanzania, wana wa nchi na wapenda mabadiliko wote Itifaki imezingatiwa. Tukiwa tuko kwenye maandalizi ya kupokea utawala mpya kutoka chama kingine (UKAWA) ningependa kusema mambo yafuatayo.

Wanyonyaji siku zote huwa wanajiona wamefika,bila kupambana nao hatuwezi kukipata kile tunachokitaka,kama tutahurumia damu zetu katu hatuwezi kupata mabadilikotunayoyataka,najua wengi mnaogopa damu na kwa msingi huu tutasuburi sana kukikapa kile tunachokihitaji na tusikipate.

Tunaishi kwa ajiri ya kuumia kwa manufaa ya watu wengine ila mnakataa kuumia kwa manufaa yenu,yani mnavuja damu pale viongozi wa chama cha mapinduzi wanapowataka mvuje,manaumia pale ccm wanapotaka lakini hamuwezi kuumia kwa ajiri ya manufaa yenu ni hatari kubwa sana kwa binadamu yeyote mwenye mawazo kama hayo,fikiria wewe mwenyewe ulishaumia mala ngapi kwa ajiri ya viongozi waliopo madarakani na hakuna chochote kile ulichovuna,lakini wewe huyuhuyu unaogopa kuumia ukikesha shambani,ukifanya biashara,ukipigania haki yako kwa ajiri ya manufaa yako na watoto wako-Ni hatari sana.Tunaogopa kuvuja damu tukilinda kura zetu mala baada ya kupiga kura eti kwa kutishwa na polisi,polisi kitu gani,hakuna aliyekuja kuishi milele hapa duniani,wote tulitoka mavumbini na hakika kabisa tutarudi mavumbini-Ni hatari sana kuabudu CCM.inabidi tuwe tayari kujitoleauhai na usingizi wetu kwa ajiri ya manufaa ya watanzania wote no only few leaders from Chama cha Mapinduzi ( Petit Bourgeois).

Ni ujinga kupumbazwa na maneno kwamba ukombozi wa pili wa Mama Tanzania utapatikana bila kumwaga damu,sabau ni chama cha mapinduzi kujiamisha kwamba kitatawala milele nchi hii kitu ambacho ni ndoto,tumefanyiwa srakasi miaaka mingi sana,mara katiba inayopendekezwa,na nani?,mara BVR,NEC ilisema kuwepo na vifaa 2500,mkasema 800 vinatosha na matokeo yake vimekuja 250,Vile vile ikumbukwe kwamba hivi vifaa vinaweza vikachange dat kulingana na mazingira,kitu kingine kama majina yanafanana mfano Manoni Charles,akienda kuandikishwa tena mwenye jina kama hilo kifaa hiki kinafuta jina la awali na kubaki moja.Vilevile kinauwezo wa kuongeza majina na kupunguza pia-Ni hatari sana.Tumechoka na Maigizo haya.

Uhuru au haki tunayoitaka hatuwezi kuupata/kuipata kwa kupayuka tu midomoni ,kwenye kaunta za Hotel mala ongeza nyingine,chooni au barabarani.Mfano uchaguzi wa S/mitaa Wilaya yangu ya Kwimba tumepigana kwa vitendo,Kati ya mitaa yote 14 iliyopo ngudu mjini ilikuwa Chama cha Mapinduzi (Petit Bourgeois) Chadema tulichukua 7 na wao wakapoteza 7.Walishuka kutoka 100% hadi 50%,na Chadema tulipanda kutoka 0% hadi 50%.Hatukulala usiku wa kuamkia kupiga kura,tulidhibiti wale wote waliokuwa wanagawa chumvi usiku ikiwemo vipigo vikali sana,kesho yake siku ya kupiga kura tulikuwa na mikakati mitatu.

Wale waliopiga kura kuanzia asubuhi mpaka saa sita walienda nyumbani kura na kurudi,kundi jingine lilikuwa lile ambao walipiga kura kuaanzia saa sita mpaka mwisho,kundi hili lilikaa kusuburi matokeo na kuweza kuungana na kundi la asubuhi. Mkakati mwingine ulikuwa ni kwamba endapo matokeo yatawahi kutangazwa kituo X,kundi hilo linamove moja kwa moja kwenye kituo Y ambapo hawajatangaza matokeo huku wakiimba.Tunataka matokeo,tunataka matokeo,mbinu hii iliwachanganya cc kwani walitaka kuiba kwa nguvu mitaa miwili Ngudu mjini pamoja na Ngumo kituo kilikuwa Klinik tulita kuvunja fensi ndipo wakatangaza.(Nitaweka video yake).

Katika kituo cha Ilamba kulikuwa na kikosi cha watu wanne kama walinzi,baada ya kusimamia vizuri sana viongozi wa Chama cha Mapinduzi ilibidi wawasiliane na Policcm kwamba Chadema wanataka kufanya fujobaada ya dak5,polisi wakaja wakapiga mikwara yao harafu wakaondoka.Baada ya hapo ilibidi nipange vizuri tena vijana wangu,niliwaambia kwamba hakuna kulegeza kamba mwendo ni uleule lakini tujue kwambani lazima polisi waje tena.

Ikabidi tufanye kitu kimoja,niliwaambia makamanda kwamba mimi ndiye nibaki kwenye kituo hicho ilikusudi policcm wakija wanikamate ilikusudi ninyi mnarudi kuja kuzuia ujinga wa ccm,makamanda wakakataa wakasema wewe (mimi) ni kiongozi wetu unatakiwa usiwepo sababu kama watakuja policcm kutukamata uje kututoa,nikasema ni sawa,baada ya dak7 tena policcm wakaja tulipowaona wengine tukatoka akabaki mmoja akaja kukamatwa na polisi akapelekwa kituoni,baada hapo tukarudi tuliokuwa tumeondoka kuja kusimika usimamizi wetu,ilikuwa bado saa moja muda wa kupiga kura uishe,baada ya hapo wakahesabu kura huku karibia watu 200 walikuwa wanasubiri matokea kwa hamu,tulishinda kwa kishindo sana.( Mbinu hiyo niliyoambia makamanda wangu ni njia ambayo huwa inatumiwa na fisi wakati wa kuchukua kondoo kwenye zizi sehemu ambayo mbwa wakali wapo.

Fisi huwa wanafanya hivi,wakigundua sehemu hiyo kuna mbwa wakali,huwa wanajigawa makundi mawili,Kundi moja linapita maeneo hayo,likishapita mbwa wataona na kuanza kuwakimbiza huku fisi wakikimbia taratibutaratibu ili wafike mbali,kundi lililobaki nyuma baada ya kuona kundi la kwanza limekimbizwa na mbwa ndipo linakuja kwa amani na kuja kujichukulia kondoo wanaotaka,na kwenda kukutana mahali ambapo walipanga) Hivyo basi baada ya Polisi kumkamata kamanda tuliyekuwa tumememwandaa,wakaondoka kwa amani wakisema kwamba kituo hiki tumeshakosha,wakisahau kwamba ni mkakati uliosukwa kwamba mmoja lazima atolewe sadaka( One must be given as sacrifice to policcm to achieve our mission).

Wapi ulishaona haki inashindwa? Siku zote ushindi upo kwa yule anayetaka haki,na kwa kuwa ni sisi tunaotaka haki basi tuingie kupambana nakutoka damu wengine tukubari kujitoa sadka kama mfano wa fisi kuchukua kondoo sehemu ambayo mbwa wakali wapo tukifanya vile ushindi ni lazima uwe upande wetu.
Inabidi tufikiri na tupambane mambo kwa kina ikiwa kweli tunataka kukikapata kile tunachokihitaji.Tukiendelea kuwa hivi CCM katu hawawezi kushinda uchaguzi muu 2015,kila mtanzania Mwana UKAWA inabidi ajitambue na naaamue kujiinua popote pale alipo.Wote mliopo Ghetto muamue kufanya jambo jema lenye ustawi maisha yetu kwa maana hiyo ni moja kati ya mbinu za kujikomboa kiakiri na kiuchumi pia.

Kila anayevuta dawa za kulevya inabidi aache,kila anayefanya biashara ya kuuza mwili wake inabidi aache,kila anayejihusisha na biashara ya binadamu wenzake(Walemavu wa ngozi) aache halaka sana,huu si wakati wa kufanya ujinga kama huo,ni jukumu lako sasa wewe kubadirika na kupata heshima kutokana na ubadirifu wa fikra zako.
Tupo kwa ajiri ya kutumia nguvu na akiri zetu kupata na maana katika ardhi hii.Kama mbinu za kupigana zinaweza kutupa haki na kurudisha thamani yetu katika taifa hili,basi ni kheri na inafaakwetu kupigana kupata haki.

Kulingana na maelekezo hayo ni namana gani UKAWA tunaenda kuchukua nchi,bado ninatafakari ni adhabu gani ambayo itawafaa viongozi ambao walibainika kulihujumu Taifa letu pamoja na wafanyabiashara ambao walipitia mgongi wa serikali (wafanybiashara walio viongozi na wale wasio viongozi).Niliwaza tuangalie mikakati mbalimbali ambayo aliweza kuitumia kiongozi wa zamani wa China (MAO ZE DONG)

Kiongozi huyu baada ya kutawala china 1949 Mao alisuka sheria kali kwa ajili ya kulinda raslimali pamoja na kutoa adhabu kwa wote walioonekana kula pesa za wananchi katika njia zisizofaa.Katika hilo wafanyabiashara wabadhirifu wapatao Milioni 2 na laki tano walinyongwa huku mali na mashamba yao yakirudishwa serikalini na mengine kukabidhiwa kwa wanachina masikini.Pia maofisa wengine zaidi ya elfu nane wakihukumiwa kunyongwa kwani walionekana kuhujumu Taifa.

Baada ya huku hizo wafanyakazi wa sekta mbalimbali waliojihisi kulihujumu taifa walijiwajibisha wao wenyewe pasipo kusuburi hukumu ya Mh Rais,wengine walikimbia nchi(Natabiri Tanzania kuwa hivi).
Ukiangalia misimamo ya MAO kipindi kile sasa ni jukumu la viongozi wangu wakuu wa UKAWA kuwawajibisha viongozi ambao wataonekana kwenda kinyume na Taratibu za nchi,au wapendekeze njia nyingine nzuri ambazo zinaweza kuwa ni nzuri na kuweza kuwaaminisha watanzania kwamba mali zao zilizoliwa zaidi ya miaka 50 zinarudi mikononi mwao.
Pia baada ya kuchukua nchi ningependa kuishauri serikali yangu ijayo ya UKAWA kufanya yafuatalo:

· Kutenga mwaka mmoja wa kutoa adhabu na kutengeneza uzalendo kwa wafanyabiashara,wafanyakazi pamoja na wanchi kwa ujumla.
· Kutenga Miaka miwili kwa ajiri ya kupitia upya sera ya kutumia vizuri Raslimali za Taifa.

KITENDO AMBACHO KIMENICHUKIZA NA KUIBUI HASIRA ZANGU SIKU MBILI ZILIZOPITA. KIFO CHA MH JOHN KOMBA NA MAAFA YALIYOTOKANA NA MVUA KUBWA HUKO KAHAMA.

Katika maisha ya kila siku ya mwanadamu ni ukweli usiopingika kwamba Binadamu lazima azaliwe na vilevile ni lazima ayaonje mauti(kifo).Mwanzoni mwa wiki hii Taifa limepatwa na msiba mkuwa wa Kuondokewa na Kapt John Komba (mb) wa Mbinga,ni ukweli usiopingika kwamba taifa lilipata mshituko mkubwa sana .
Vyombo vyote vya habari pamoja n ausalama wa Taifa ulihamia pale,karibia viongozi wote wa kitaifa walienda,waliokuwa kwenye ziara walisitisha ziara zao (Nape na Kinana) ili kuweza kujumika na wanafamilia wa marehemu. Tunaishukuru serikali kwa kugharamia mazishi pamoja na Maziko ya Marehemu. (Mwenyezi Mungu mlaze mahali panapostahili) (Naweka video yake muone)
MVUA KUBWA KAHAMA.
Pia katikati ya wiki hii Tanzania imekumba na msiba mkubwa wa kitaifa huko kahama baada ya mvua ya ajabu kunyesha na kuua zaidi ya watu 40 na kua mifugo isiyoidadi,vilevile zaidi ya kaya 300 hazina mahala pa kukaa mpaka sasa baada ya nyumba zao kusombwa na mvua.

Kwa maoni yangu naweza nikasema kwamba haya ni maafa makubwa sana zaidi hata ya kifo cha Mh John Komba,nilitegemea serikali ingekuwa imehamia hapo zaidi ya msibu wa Komba,ziara zingesitishwa kama zilivyositishwa kwenye msiba wa Komba lakini cha kushangaza watu wanaendelea na ziara kama kawaida Nape na Kinana,watu wanazindua Big Results Now Bila kuja janga hilo la kitaifa,kwenye msiba wa Komba kulikuwa na wabunge zaidi ya 70 lakini Kahama hata wabunge kumi hawakufika,walikuwa wanaagiza tu kwamba ukifika kule nitumie Picha kwenye Whatsap niwaone. Nilitegemea bendera zingepepea nusu mlingoti japo kwa siku mbili lakini hakuna chochote kil


Tunajifunza nini juu ya matukio haya makubwa ya kitaifa na namna yalivyopokelewa na viongozi watu wa kitaifa

yNRgWgNapjqAAAAAElFTkSuQmCC


UHXv8HUdS Ai3uawgAAAAASUVORK5CYII=

Wilbert Pm’s Mandago(Mtiania ubunge jimbo la kwimba na udiwani kata ya Mwang’haranga)
Katibu chadema (W) kwimba
Bachelor of Philosophy With Education SAUT 2010-2013.
mshululu@yahoo.com
0765183733/0782270412
Karibuni Kwimba
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom