Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 630
cha ajabu nini
siku hizi watu wanagawana rushwa gesti kukwepa kukamatwa!
siku hizi watu wanagawana rushwa gesti kukwepa kukamatwa!

MMMMH umepatia hapo hao balaaaaaaaaaaa yaani mpaka basi

Sio Sinza tu ni Dar nzima...
Mimi nilitaka kulala tu si unajua ugeni!! sasa wakaniambia chumba kimebakia kimoja, kwenda kukicheki nikabaini kimetumika ! nikawambia kama hakuna kingine wanisamehe, mara wakasema hebu subiri kuna mtu alifanya booking hapa, mara naona watu wanatoka halafu kila mmoja akatokea geti lake, then baadaye kama panya vile wanavyotoka shimoni, watu wanachomoka tu mara vyumba vyote kuna nafasi, baadaye kidogo zimejaaa

ila pazuri ila na we noma mh umepajua pale
Watu hawahofii kufa, Biashara ya short time naona imekuwa utaratibu wa kawaida manake jana katika kutafuta Mahala pa kulala nimeshuhudia mengi. Watu wametoka ofisi moja wanapitiliza guest then wanamalizana na kila mtu anarejea kwake kwa utetezi wa msongamano/foleni!
Jamani watu wanachakachua ndoa mpaka basi
cha ajabu nini
siku hizi watu wanagawana rushwa gesti kukwepa kukamatwa!
Hasa ile ya b/malapa ni noma pale.blue roz
Hasa ile ya b/malapa ni noma pale.
...Hii hoteli kwa jinsi ilivyojengwa mwaka juzi kuna jamaa alipeleka mzigo hapo akijua ameingia chaka la uhakika baada ya kutafuna mzigo wake anataka kuondoka anakutana na wife wake nae anaingia na jamaa kwenye harrier full tinted...Picha lake lilikuwa pana!!..Namnani iko full. Niko receoption hapa wananinyima chumba
Hapa home mshua kila leo anarudi usiku balaa....ngoja ni-intelegensia kwanza!!
ahahahahaaah!!! WA-SUASO bana!Hivi hili neno liko kwenye kamusi zetu kweli?????
Hebu wafafanulie watu ambao hawajui Gazza au Saigoon!!