Baba Matatizo
JF-Expert Member
- May 5, 2011
- 334
- 64
Naomba msaada wa mawazo toka JF.Nina BABU yangu ambaye ni mstaafu wa idara ya maji Tabora toka tarehe 1april 2009.Mwaka 2010 april ndio alipata rasmi Barua ya kustaafu.Tayari ameshawapa vielelezo vyote kilichobakia ni kumpa HAKI yake tu.Lakini kinachotatiza wanamwambia faili limepote!je NINI afanye?Naomba msaada jamani.