Jamani, plz hili nna shida nalo haswa

Andrew Jr

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
330
117
Wana Jf hongereni kwa ushauri wenu.
Naomba mnisaidie natamani sana nikafanyie kazi botswana. Mwezi wa 6 mwaka huu namalizia digrii ya ualimu.(bachelor of education in arts)
please nambieni mfumo wa elimu na kama nataka nifanikiwe nifanyeje
 
wewe vp,yan umesoma kwa pesa za wavuja jasho wa bongo afu unataka kutoroka kabla hata hujatoa mchango wako kwa jamii husika.ebu katufundishie wadogo zetu kwanza kabla hujaamua kutorokea huko botswana.
 
Kuna Proffesinal ambazo ziko in demend Botswana, kwa kesi yako ya uhalimu ni ngumu sana kupata kazi huko, kama ni medical doctor mwenye experience ama Civil eng mwenye experience pia unaweza kubahatisha kibarua
 
asikudanganye mtu botswana sasa hivi hapakaliki, miaka michache iliyopita walikuwa na uhaba mkubwa sana wa wataalamu lakini walianzisha program moja kabambe ya kuwasomesha watu wao, kuanzia 2005 mpaka leo hii wameshasomesha watu zaidi ya 100,000 na wengi wamemaliza mwaka jana na wengine wengi zaidi wanamaliza mwaka huu. Waliomaliza mwaka jana wengi bado hawajarudi kwao c'se wanapenda sana starehe za nje. govt yao imewasomesha kwenye vyuo bora duniani europe, america na asia kwahiyo wewe ukienda na degree yako ya udsm watakushangaa
kwakifupi botswana imeanza kuwa na tatizo la ajira c'se wasomi ni wengi halafu nchi yenyewe population yake haizidi milioni 2
 
Back
Top Bottom