Jana mida ya jioni nilipanda dala dala kutoka maeneo ya Mwenge nikielekea Mbagala. Kama tunavyojua, kuna umbali mrefu kati ya maeneo haya!
Nimezoea kuona Shutuma nyingi sana dhidi ya serikali hapa jamvini lakini hizi zilikuwa kiboko!
Hapa jamvini watu tumekuwa tukiilaumu serikali na maisha magumu kwa mtanzania lakini kwa niliyoyaona jana nimegundua kuwa watu wengi hapa tuna fake! Haturepresent true picture ya hali halisi! Mtu utasemaje una maisha magumu wakati una uwezo wa kutumia Internet kukoment hapa JF 24/7?
Kwenye dala dala walikuwa real, na walichoongea kilikuwa na mguso wa aina yake!
Nawashauri pandeni dala dala mkitaka kujua mengi! Ilinigarimu tu 500 kutoka Mwenge mpaka Mbagala
TUNAFAKE NIN?MI NADHAN WEWE ULIKUWWA UNAONA WANAOPANDA DALADALA HAWAPO CONCIOUS NA SIASA NA UCHUMI UNAVYOENDELEA SA ULIVYOONA WANADISCUS NA UKACOMPARE NA JINSI WALIVYO NDO UKAJISEMEA DUU..AWA KWELI WWANASHIDA..
1.AKUNA ANAYEFAKE CZ kila mtu anaface ugumu wa maisha kwa nafasi yake..wewe labda unanalaMika mafuta yamepanda bei yanakubana daily kutoka kibamba mpk posta lita ndo iyo inaelekea 2500..apo utalalamika serikali inabana/MAISHA MAGUMU...wakat yeye analalamika nauli ya 500 kubwa toka mwenge mpk mbagala, unga umepanda bei,sukari imepanda bei toka kipimo cha kikombe cha chai sh 500 mpk 700...yeye mafuta ayamgusi direct wakat wewe pia tatizo la unga /sukar kwako si issue cz unanunuaga kwa jumla supamaket so ata ikipanda unachukulia poa
yeye analalamika maisha magumu cz michango shulen imemzidi..daily mtoto inabd apeleke mia 300 shule wakat wewe watoto wako wapo kenya ,kampala,st marys wanasoma kwa raha na wakirud unamkod tcha aje kuwafundsha seblen kwako uku wakiwa na juic pemben..wewe lbda utalalamika ahh tsh imeshuka sana VS dola...lakin utawalipia wanao
wat i wan say iz UGUMU WA MAISHA UMETOFAUTIANA KUTOKANA NA MUDA NA KIPATO/ELIMU NA KAZI BINI KIPATO CHA MTU..
KM AMBAVYO MENG AAWEZ KUGOMBANA NA KAKOBE LAKIN
KAKOBE ATAGOMBANA NA RWAKATARE
MENG NA MANJ
SLAA NA KIKWETE
CHADEMA NA CCM
UWEZ KUKUTA CCM NA CHAUSTA MAENDELEO WAKAGOMBANA
UGOMV WA WEST N EAST COAST UWEZ KUTA EAST COAST WAKAGOMABANA NA MARIAH CAREY...
boby marley awez gombana na dolly parton lakin angeweza gombana na akina tosh,burning spear...
ahh naenda kula then nkapande daladala niende pugu mie!!!!!!!!