Umeshapata nae mtoto?Na kama bado unasubiri nini hapo kwa huyo mtu,huoni hutakiwi?Na ninavyojua kwa sisi wanaume ukikaa muda mrefu na mwanamke bila kumuoa na ukishajua mapungufu yake huwa ni ngumu sana kumuoa hapo baadae,na bora jamaa kakueleza hivyo kuliko angekuoa kwa sababau eti mmekaa pamoja muda mrefu,huwa ndoa hailazimishwi na haifungwi kwa kuoneana huruma.Acha nature iamue.
Habari wana MMU,mimi ni msichana mwenye kazi yangu ya kuniingizia kipato kidogo, na elimu ya kawaida.Kikubwa ambacho kinaniuma sana mpaka naandika huku nalia,Nina BF wangu ambaye aliamishwa kikazi mkoa mwingine na baaadae akanitafutia kazi huko aliko na kuanza kuishi nae(kwa kweli sikuwa napenda kuishi nae bila ndoa).Miaka mitatu sasa imepita,ila jamaa sijawahi kumsikia hata siku moja kudokezea jambo la kwenda kujitambulisha kwetu.Chakushangaza sasa nikimwambia kuhusu swala la kwenda kwetu daaaah!anachonijibu sidhani kama ntakuja kukuoa wewe na ukae ukijua kwamba ukiamua ondoka au ubaki nikufuje tu,ila swala la mimi kwenda kwenu sahau.
nashindwa kuendele jamani,
wala si manyoya; umeambiwa black and white halafu unauliza ufanyaje. No wonder ameamua kukuacha kama unashindwa kufanya maamuzi kwa kitu straight kama hiki then hata familia huwezi endesha.
Kifupi kwa kukaa na wewe hiyo miaka 3 amegundua mapungufu yako ya kuzidi ambayo ni pamoja na akili za kushikiwa. Endelea ku'fujwa' kama alivyokuambia.
Ukiona manyoya????...
Kashaliwa huyo, yatupe mayoya kutokukumbusha machungu
Pole sana mwanangu! Una bahati kwamba umeambiwa hayo bado ukiwa ni msichana, wengine huambiwa hivyo wakishafikia 30's or even 40's. Mimi nakushauri kama hadi leo hii hujakunja kunja vitu vyako ufanye hivyo urudi ulikotokea haraka, huo mkoa haukufai hata kama kazi yako inalipa..! huyo si mtu wa kuishi nae hata kwa dakika moja.. nakutakia kila la kheri, Mungu akupatie kazi nzuri, pia upate mchumba mwengine wa kukufariji, kukuoa na kupata familia..Habari wana MMU,mimi ni msichana mwenye kazi yangu ya kuniingizia kipato kidogo, na elimu ya kawaida.Kikubwa ambacho kinaniuma sana mpaka naandika huku nalia,Nina BF wangu ambaye aliamishwa kikazi mkoa mwingine na baaadae akanitafutia kazi huko aliko na kuanza kuishi nae(kwa kweli sikuwa napenda kuishi nae bila ndoa).Miaka mitatu sasa imepita,ila jamaa sijawahi kumsikia hata siku moja kudokezea jambo la kwenda kujitambulisha kwetu.Chakushangaza sasa nikimwambia kuhusu swala la kwenda kwetu daaaah!anachonijibu sidhani kama ntakuja kukuoa wewe na ukae ukijua kwamba ukiamua ondoka au ubaki nikufuje tu,ila swala la mimi kwenda kwenu sahau.
nashindwa kuendele jamani,
kwa mujibu wa sheria mkiishi pamoja kwa muda wa miezi 3 nyie ni mume na mke,ila ndoa hailazimishi ukilazimisha utateseka.na sio wanaume ndio tulivyo co wote ila usilazimishe tulia utapata atakae kuja kujitambulisha.
You sound exactly like lara 1.