Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
- Thread starter
- #41
naona nimeshindwa kula kwa hasira!! hili ni tusi kubwa sana huyu mganyizi alilotutusi!!
Dah! umenikosesha raha ghafla, hivi ni tusi gani hilo nilolo watusi? kwa kutangaza kuuza kofuli used? kwa ina maana huwa hamvai used jamani? mbona hakina Rihanna wanauza kofuli zao na mnazipigania ile mbaya,
kisa tu Mganyizi anauza kofuli. haya bana hatufiki kokote kama tuna wekeana wivu kwenye biashara zetu namna hii tutaendelea kweli?