ni kweli kabisa mtu mchafu huolewa na mchafu mwenzieusihangaike kaka yangu.Huyo dada hatashangaa kukukuta nazo manake na yeye anafanana na wewe.
Mungu hukupa wakufanana naye, mwizi hupewa mwenza mwizi,fisadi,kwa hiyo kama mnafanana ya nini kuhofia
Sijui hii tabia nilitoa wapi,
kwa kila mdada ambaye nikuwa napata fursa ya kujirusha naye ikuwa nilazima nimuombe aniachie kitu ambacho kitani kumbusha kuhusu yeye, moja wapo ya vitu hivyo ni kumpiga picha naked or kuniachia kofuli, na nashukuru baadhi wali kubali picha na wengi ndio waliniachia kofuli.
Sasa nimekamatwa na mdada huyo ambaye mwezi ujao ndio tunafunga ndoa, sasa nikifikiria zile kofuli za hao wadada niliowai kushare nao faragha na shindwa kuelewa nizipeleke wapi maana ni nyingi kwa kweli, nafikiria kufungua gulio la kuziuza ila naogepa, kama kuna wadada wajf mtapenda kununua karibuni sana.
Siyo kweli, Ingekuwa hivyo basi ndoa nyingi zisinge dumu kamwe, ukichunguza ndoa nyingi utaona tofauti kubwa kati ya wanaonda hao wawili. Mungu ni wa ajabu sana tofauti na wewe unavyo vifikiri. Kwenye ndoa unaweza kukuta baba ni kicheche sana wakati mama nimtu waheshima na anajiheshimu sana tu na hivyo hivyo unakuta mama anatabia mbaya wakati baba ametulia sana tu...usihangaike kaka yangu.Huyo dada hatashangaa kukukuta nazo manake na yeye anafanana na wewe.
Mungu hukupa wakufanana naye, mwizi hupewa mwenza mwizi,fisadi,kwa hiyo kama mnafanana ya nini kuhofia
Hapana siyo dharau bali fikra zako ndizo za kuonesha hivyo.Mkuu kwani zilekuwa zinatumika na mnyama? ni salama na zimefuliwa vizuri na kupuliziwa dawa maalumu ya kuua bacteria na fungus na ziko tayari kwa biashara, wakati nazifua machozi yalikuwa yana nitiririka mithihili ya mtoto na sijui ni kwa nn nilifikwa na hali hiyo.acha dharau kwa wanawake Mganyizi,
unajuaje kama hizo ziko salama kwa matumizi ya binadamu especially fungus free?
mmmhh! nimekuudhi na kitu gani tena jamani? pole hilo halikuwa lengo langu kukuudhi.mi ameniuzi.....sijui ametuonaje.........
Nakushauri uzivae mwenyewe maana zitakufaa sana na umbo lako la kwenye avatar. Au gawia ndugu zako wa kike
mi ameniuzi.....sijui ametuonaje.........
ama kweli akutukanae hakuchagulii tusi!!!!!!
yaani ww utuuzie sisi makufuli ya hao hawara zako!! kawauzie sis*** zako!!
Si kuwa na maana hiyo mkuu.... kwani nilisema nawapa bure si nawauzia?Mshikaji umewaona kina dada wa JF wamechoka mpaka kofuli wanashindwa kununua?
Bora uwarudishie wenyewe tu . Na wasiwasi sijui kama ulikumbuka kuziwekea label.
Mmhh huo ukicheche wangu umeupima kwa kipimo kipi? mimi kutunza kumbukumbu ndio unaniita kicheche jamani? hujui kuwa wewe unaweza kuwa zaidi yangu sema tu huna kumbukumbu!TZJAMANI, mweleze mwanaume mwenzio, tena inaelekea ni kicheche sana!! hata huyo binti uliyempata kala hasara.
Hasi kukatishe tamaa mkuu hayo ni mawazo yake Mungu hayuko kama anavyo dhania.Jamani mbona mimi wanikatisha tamaa.....!
:A S 13:Natamani ningekua anaweza kukutukana!!!!Ondoa dharau zako hapa.....au kama unaona ni za maana sana mpe huyo mpenzi wako wa sasa hivi kama zawadi!!!
Swadata mkuu... Wewe ndiye uliye comment jambo la maana kuliko wote, nitafanya hivyo mkuu, nilikuwa na fikiria kuzi scan sema nyingine zina size kubwa hivyo hazitatosha kwenye scanner.zipige picha uziweke jukwaa la wakubwa< tuwaombe mods waanzishe mnada on line!