Jamani nitafutieni wateja hizi ko****

Mimi huwa naangalia sana zile series zinazohusu crime and investigation na kwenye hizo utaona vituko kila aina. Moja ya vituko hivyo ni ya rapists na sometimes serial killers kuchukuwa hizo kufuli kama makumbusho ya vitendo vyao.

Mimi nilidhani mambo haya huwa yanafanywa na wazungu tu kumbe hata hapa petu yapo jamani. Inawezekana hujatwambia ukweli kamili na unachukua hivyo viwalo kwa nguvu, labda baada ya kuwapiga picha kwa siri!

Mungu atuepushe na watu kama nyinyi.
 
Inawezekana hujatwambia ukweli kamili na unachukua hivyo viwalo kwa nguvu, labda baada ya kuwapiga picha kwa siri!

Mungu atuepushe na watu kama nyinyi.

Soma post yangu ya kwanza utapata majibu ya maswali yako.
 
Kawape ndugu zako nahisi ndio itakuwa kumbukumbu nzuri zaidi
 
Ulipozaliwa ulinyonya ziwa ukaacha,ulijinyea ukaacha,ulitambaa ukaacha,umewapiga picha girls naked,utaacha,umekusanya chupi za girls utaacha,utamuoa huyo dada utamuacha au utaachwa!hata bila msaada wa jf.unaendelea kukua
 
Sijui hii tabia nilitoa wapi,
kwa kila mdada ambaye nikuwa napata fursa ya kujirusha naye ikuwa nilazima nimuombe aniachie kitu ambacho kitani kumbusha kuhusu yeye, moja wapo ya vitu hivyo ni kumpiga picha naked or kuniachia kofuli, na nashukuru baadhi wali kubali picha na wengi ndio waliniachia kofuli.

Sasa nimekamatwa na mdada huyo ambaye mwezi ujao ndio tunafunga ndoa, sasa nikifikiria zile kofuli za hao wadada niliowai kushare nao faragha na shindwa kuelewa nizipeleke wapi maana ni nyingi kwa kweli, nafikiria kufungua gulio la kuziuza ila naogopa, kama kuna wadada wajf mtapenda kununua karibuni sana.

Wala usihangaike Mganyizi maana mkeo nae atakuja na furushi la boxers so itakuwa ngoma droo.
 
mganyizi, kwenye kuongea tukikosea huwa tunaomba samahani kwamba
ulimi umeteleza, hapa naona bora uandike kwamba "thread imeteleza".
 
solution ziweke then unakuja kumpa moja moja huyo mdada baada ya kumuoa, utamuambia nimekununulia hii. Na kila atakapozivaa huyo mtarajiwa utawakumbuka na hao viche*** wenza. Jiwe 1 kwa ndege wa2
 
Sijui hii tabia nilitoa wapi,
kwa kila mdada ambaye nikuwa napata fursa ya kujirusha naye ikuwa nilazima nimuombe aniachie kitu ambacho kitani kumbusha kuhusu yeye, moja wapo ya vitu hivyo ni kumpiga picha naked or kuniachia kofuli, na nashukuru baadhi wali kubali picha na wengi ndio waliniachia kofuli.

ANGALIA NYEKUNDU: Hapa umetukosea sote, wanaume na wanawake. Wanaume kwa sababu hilo la kumpiga picha msichana si tabia ya wanaume wastaarabu. Linaweza kuwa hata kosa la jinai. Wanawake kwa sababu wanawake wa JF wana heshima zao, hawastahiki dharau kama hii.
Hapa umevuka mipaka. Ikiwa unataka uendelee kuheshimiwa ninakuomba kwa upole sana uombe radhi kwa wana JF wote.
Ninachemka kwa hasira.
 
hahahahaha lol
nimecheka sijui kwa nini lol ...
mmhhhh kuna raha kwenye mmu jamani lol
 
hahahahaha lol
nimecheka sijui kwa nini lol ...
mmhhhh kuna raha kwenye mmu jamani lol

Bora yako umecheka... Inaonyesha ni jinsi gani kichwani zilivyo timia, et kuna wadada humu wame ninunia na wanataka kuandamana hadi kwa MODS, et wanadai nimewakosea sana kutangaza biashara yangu hapa...
 
usihangaike kaka yangu.Huyo dada hatashangaa kukukuta nazo manake na yeye anafanana na wewe.

Mungu hukupa wakufanana naye, mwizi hupewa mwenza mwizi,fisadi,kwa hiyo kama mnafanana ya nini kuhofia

Excellent answer...
 
Wadada mmekasirika nini,kilichoongelewa ni uongo au kwa kuwa kasema anataka kuzileta hapa?
 
Sijui hii tabia nilitoa wapi,
kwa kila mdada ambaye nikuwa napata fursa ya kujirusha naye ikuwa nilazima nimuombe aniachie kitu ambacho kitani kumbusha kuhusu yeye, moja wapo ya vitu hivyo ni kumpiga picha naked or kuniachia kofuli, na nashukuru baadhi wali kubali picha na wengi ndio waliniachia kofuli.

Sasa nimekamatwa na mdada huyo ambaye mwezi ujao ndio tunafunga ndoa, sasa nikifikiria zile kofuli za hao wadada niliowai kushare nao faragha na shindwa kuelewa nizipeleke wapi maana ni nyingi kwa kweli, nafikiria kufungua gulio la kuziuza ila naogopa, kama kuna wadada wajf mtapenda kununua karibuni sana.

Collection inayo kofuli aina ngapi? Unajua mademu wa leo daring kweli siyo tu thongs ,hata cycling type shorts and believe me wengine wanavaa boxers? Just curious.
 
We kaka, umeona alichokwambia Martina eeh!!
Haya, tunajua sana kusema lakini hatutaki tu kwa sababu tunajiheshimu, tengenezea mto uwe unaziwekea kichwa chako!!!

ha ha haaaaaaaaaaaaaaaa h aha haaaaaaaaaaaa - sipati picha huo mto - lazima ataota ndoto za ajabu ajabu!!!!!:wink2::wink2::wink2:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom