Jamani nitafutieni wateja hizi ko****

Bora yako umecheka... Inaonyesha ni jinsi gani kichwani zilivyo timia, et kuna wadada humu wame ninunia na wanataka kuandamana hadi kwa MODS, et wanadai nimewakosea sana kutangaza biashara yangu hapa...

Hahaha mie mbavu sina Leo
yaani nilicheka hiyo avatar yako na ulicho
Andika..
my dear u just made my day thanx. .
 
Sijui hii tabia nilitoa wapi,
kwa kila mdada ambaye nikuwa napata fursa ya kujirusha naye ikuwa nilazima nimuombe aniachie kitu ambacho kitani kumbusha kuhusu yeye, moja wapo ya vitu hivyo ni kumpiga picha naked or kuniachia kofuli, na nashukuru baadhi wali kubali picha na wengi ndio waliniachia kofuli.

Sasa nimekamatwa na mdada huyo ambaye mwezi ujao ndio tunafunga ndoa, sasa nikifikiria zile kofuli za hao wadada niliowai kushare nao faragha na shindwa kuelewa nizipeleke wapi maana ni nyingi kwa kweli, nafikiria kufungua gulio la kuziuza ila naogopa, kama kuna wadada wajf mtapenda kununua karibuni sana.

huna nidhamu, na tutake radhi wadada wa jf
 
anzisha museum yako uziweke kama collection ya makumbusho yako ya ujana! ukiwa mzee uwahadithie na kuwasimulia wanao!
 
Wadada wa JF, ombeni mwongozo kwa invisible, kujua nini kifanyike ikitokea mtu kakutusi?
 
haH HAH hah hahahaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ngoja nilale mie maana hivi vituko kina dada mnakazi ya kumsaidia
 
si kila anayecheka kafurahishwa na maongezi yako ....
Bora yako umecheka... Inaonyesha ni jinsi gani kichwani zilivyo timia, et kuna wadada humu wame ninunia na wanataka kuandamana hadi kwa MODS, et wanadai nimewakosea sana kutangaza biashara yangu hapa...
 
Umeenda kwa babu lakini? Nina wasi wasi kama the big five hawajakunyatia. Wahi kabla hujachelewa!
 
Mmh, hii sasa imepitiliza yani kufuli za mademu zako wavae wengine???
Kama vipi watafute wenyewe uwarudishie sio unawadhihaki wadada bomba wa hapa JF. Aaaagrrrrr.
 
Sio unawadhihaki wadada bomba wa hapa JF. Aaaagrrrrr.

Ndugu, nakupa siku tano uthibitishe kauli yako... ''wadada bomba waJF'' mkuu una wafananisha wadada wa JF na mabomba ya Dawasco? Kweli ume wakosea heshima....
 
Leo umenichekesha sana,wakati kuna akinadada wamevaa kufuli za mtumba/zimeshatumika.
Ila kwakuwa ww umetangaza hadharani wamekununia!Mwe mwe mweeee,teh teh teh teh ,haa haa ha ha ha.kwh kwh khw khw,
 
Kweli mtakua mmeishiwa vya kuwachekesha kama hiki nacho kinawachekesha, guys really? seriously????? mmmmhhhhh.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom