Jamani nitafutieni wateja hizi ko****

Jamani nitafutieni wateja hizi ko****

Zitie kwenye fuko la
rambo... Halafu mgongee simu mtarajiwa walo mwambie switii mi ndio
natoka sagulasagula hapa karume yani nimekununulia bonge moja ya suprise
akuje achukue mgizo wake, akija unamtwika hilo fuko la vyupii/viepe
N:B hii itakuwa inakupa kumbukumbu ya mademu zako ulowashona kila mkeo
atakapokuwa anavaa moja kati ya vile viepe/vyupi

Siku akigundua hiyo kesi yake hata The Hague itawashinda kuiamua.
 
Sijui hii tabia nilitoa wapi,
kwa kila mdada ambaye nikuwa napata fursa ya kujirusha naye ikuwa nilazima nimuombe aniachie kitu ambacho kitani kumbusha kuhusu yeye, moja wapo ya vitu hivyo ni kumpiga picha naked or kuniachia kofuli, na nashukuru baadhi wali kubali picha na wengi ndio waliniachia kofuli.

Sasa nimekamatwa na mdada huyo ambaye mwezi ujao ndio tunafunga ndoa, sasa nikifikiria zile kofuli za hao wadada niliowai kushare nao faragha na shindwa kuelewa nizipeleke wapi maana ni nyingi kwa kweli, nafikiria kufungua gulio la kuziuza ila naogopa, kama kuna wadada wajf mtapenda kununua karibuni sana.

uncle Rukus!suti yako ya harusi ulinunua sh ngapi?na ktk kuuza hizo kufulis kwa mnada wastani moja uliuza sh ngapi?ulikusanya hivyo vyupi kwa miaka mingapi?
 
unauhakika walikuachia kufuli tu ?
Nina wasi wasi walikuachia na virusi pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom