Jamani nisaidieni-huyu dada ananipa presha.

I wish ungekuwa na mke kama mimi. Mimi mume wangu akiniomba msamaha kwanza hapatakalika kwa muda. Ila waklahi tungeshirikiana kumwadabisha huyo mshenzi. Jamani nyie wadada wenzangu temeeni mate chini huko mitaani wadada wenzetu ni balaa yani wako kimawindo zaidi.

Mimi nimekuelewa kaka kwani nina uzoefu na haya mambo and will always be on my husband's side kwani najua mna majaribu mengi sana toka kwetu kaka zetu.

Nina similar experience sitaki kusimulia hapa na nimejifunza kuwa kusamehe ni kitu muhimu sana kwenye ndoa. Kama mkeo ni muelewa (kama mimi) mkalishe chini umwambie kwani nakuhakikishia kaka huyo kicheche lazima atajamtafuta mkeo na kumwambia yote na uongo juu ili akuharibie maana umesema mwenyewe ni kichaa. Tell your wife the truth; then muanze rasmi kumshughulikia huyo mshenzi.

Mume wangu kuna kicheche mmoja alitaka kublackmail kama huyo ila uzuri wa mume wangu si msiri so we worked things out together. Ameniuzia kesi kwa hiyo i am now dealing with this stupid lady!
Nyumba kubwa..... Avatar yako ilinihadaa.... kumbe wewe mmama?.........Khaaa!
 
this is crap, yaaani pamoja na makosa yooote hayo umefanya, bado tu unazidisha kosa la kutomwambia mkeo?au nayo unamficha asijue?ushauri wa kwanza unatakiwa kufanya bwa mdogo unatakiwa uende ukatubu kwa mkeo,wazazi wako na wakwezo...do that kwanza then we move ahead...cz sooner or later they wl know abt t, itakua kosa juu ya kosa
 
Ulaum ulikojikwa sio ulikoangukia.
Mwanaume kutongozwa ukakubali kirahhisi ni udhaifu wa hali ya juu na ujue kuwa akiamua anaweza kukufuatilia hadi akakuvunjia mji. Ukishajikomit kwa mkeo inabidi uwe makini na wanawake wengine. Vinginevyo unajitafutia matatizo.
Ushauri, muite mkae akiwepo mtu mwingine, naye ikibidi aje na mtu mwingine ina maana mkae mkiwa wanne. Kubali kosa kuwa ulimkosea Mungu wako na binti mwenyewe. Mwombe msamaha kwa yote ulomtendea, na mpe msimamo wako ili asiendelee kujisumbua. Kunyamaza ni kukuza tatizo. Kimya kingi kina mshindo mkali. Pole sana kwa kutotulia kwa mkeo.
 
hivi anakaa barabara ya ngapi huyu jamaa?lakini sishangai, wajasilia mali wanaume wa mlimani(lushoto) wanasifika sanakwa kuwa na nyumba ndogo. labda hapa anatangaza nafasi nyingine
Inawezekana kabisa akawa anatangaza biashara maana kasema kabisa mambo yake safi!!
 
Uzuri wa mtandao wa JF bwana ni ushauri mtu unaoweza kuupata.
Ushauri tu unaweza okoa maisha ya mtu.
Mimi ni mgeni sana JF lakini si mgeni wa maisha.
Nimepitia ukurasa huu ma mimi ninatizo linalo nisibu, tena tatizo linalonipa presha.

Mimi ni mjasiriamali mzuri tu kanda hii ya pwani.
Kuna dada ambaye kumbe ananifuatilia kwa karibu sana na kwa muda mrefu.Mwishowe akabisha hodi ofisini kwangu kama dada wa kutoka sehemu zetu huko milimani na akasema anasalimia tu.
Muda si mrefu simu zikaanza kuwa nyingi na hatimaye akaomba out.
Nisionekane mshamba masikini miye nikamtoa out. Kweli pombe mjumbe wa Ibilisi, muda si muda tukawa tunavunja amri ya sita na huyu dada akwa antaka sana kunimiliki.
Mimi nimeoa na yeye hajaolewa.
Mambo yakaendelea kwa muda kuidogo lakini nikakataa kabisa kujicommit na mabo yote ikawa kwa soksi ili isijetokea ajali ya mimba.
Nafikiri malengo ya dada yakawa hayajakamilika, na akazidi kuwa mkali kwangu kadri siku zilivyoendelea, ikiwa ni pamoja na vitisho kuwa ataniexpose kwa jamii kama nitamwacha.
Nikanwekea mtego siku moja , alipiga simu sikuipokea , lakini nikajidai mimi mke wa jamaa unyempigia.Nikamuuliza unashida gani na mume wangu maana nimesikia sauti ya kike.
Hapo yalianza matusi ya kuua mtu, matusi balaa-ati wewe ulicho nacho ndo mumeo anachofuata kwangu!
Hakika nilipigwa butwaa!
Siku ya pili nikamuuliza mbona ulibishana na mke wangu? naye akajibu, ati anajidai mjanja atanikoma mie!
Hapo ndo nikajua hapa kuna walakin na nika mwacha kwa muda mrefu.
Wanaume tuna matatizo sana, baada ya muda akanibembeleza na kulia sana, baadaye nikampeleka kinywaji tukanywa.
Punde si pundeikawa mechi tena isiyo na soksi safari hii.Bibie alifurahi sana siku hiyo, na akapotea zaidi ya mwezi.
Aliporudi akaja na stori kuwa yeye tayari.Nikamuuliz tayari nini, akaniambia mimba.
Nikachanganyikiwa kabisa lakini baada ya muda mrefu wa kufikiri nikamwambia nitamtafutia kiwanja ajenge ili mtoto asije pata taabu.
Lakini Mungu si Asumani, baada ya miezi minne kumbe mimba haikukaa na nikamuuliza vipi akaanza ukali tena ili mimba ikuzwe.Hapo nikakataa kabisa maana nikaona nimeponea tundu la sindano.
Kuona hivyo huyu bibi akawa kichaa na akaja ofsini nakutukana matusi ya mguoni , na nikaaibika sana.
Bibie akaahidi kunishitaki kanisani na kweli akaenda kumwona Mchungaji ,hata hivyo akapuuzwa kwa vile walimwona punguani.
Mambo yalipozidi kuwa mabaya akaanza kunisimamisha barabarani kwa nguvu, watu wantazama sinema na kushangaa!
Hapo ndo nikaenda fungua RB na kuwajulisha ndugu zake juu ya huyo mtoto wao.
Nilivyokuwa serious , aliwekwa ndani siku moja kwa kunibugidhi lakini ndugu zake wengine wakamwokoa na janga zaidi.

Wana JF hadithi ni ndefu lakini mwisho ndugu zake wakamkana kwa tabia yake na kusihi kutonisumbua na hii ni baada ya kuwalipa wazazi wake kifuta aibu cha kulala na binti wao(ana miaka 32).
Sijawasiliana naye(kwa maana ya kumpigia au kuongea naye) kwa zaidi ya mwaka sasa.

Lakini ka muda huo woote hadi leo ananipigia simu karibu mara kumi wiki na meseji kama kumi hadi ishirini kwa wiki ambazo sizijibu kamwe.
Kwenye simu yangu kama ushahidi nina meseji zilizofikia 831
Meseji ya mwisho imeingia kwangu kama nusu saa iliyopita.
Kwa hakika zinanichefua rohoni kupita kiasi.
Nsaidieni ndugu zangu huyu bibie anamapepo? na mnaweza nishauri nini?[/QUOTE

leo ndo unaona ana mapepo?
wakat unamdufura ilikuwa kicheko enh?

fatilia mtoto wako isije ikawa mtoto akawa vctim wa mahoka yenu....

kamwombe msamahas mkeo
mwambie /iblok namba yake
 
Sasa kamanda Majoja unajuaje huo ujauzito ni wako?

Usije ukawa unahudumia mimba ya The Boss ukajua wewe ndo umepanda mbegu.

Tafadhari wife wako hakikisha hajui hii kitu akijua tu mdudu anaingia kuvuruga ndoa yenu.

Fidel pengine sikueleweka huko nyuma.
Huyu dada alipata ujauzito lakini mimba haikukaa na baada ya miezi minne mimi nikaona tumbo liko flat, nikauliza kunani?, na ndio mtafaruku ulipoanza.
Kimoyomoyo nikamshukuru Mungu, kwa kuwa angenasa na mimi nimenasa.
Ugomvi mkubwa ulianza baada ya kukataa katakata kurudia kujaza mimba nyingine, hivyo kudhibitisha kuwa ile mimba kwake ilikuwa dili.
Nimechongewa kwa watu wengi tu lakini baada ya kusikia visa vya huyu dada wote wana kuwa upande wangu.
Kwa mke wangu nafikiria mara tatu tatu kumwambia asije rudi kwao, na hapo itukuwa imekula kwangu.
 
Inawezekana kabisa akawa anatangaza biashara maana kasema kabisa mambo yake safi!!
Nimekupa stori nzima ili ujue mazingira ya suala lenyewe, lakini kwa kifupi sina tatizo na pesa , lakini pesa hainunui utulivu wa moyo.
 
Tamaa mbele mauti nyuma. Hii yote ni kutokumjua Mungu. Angemjua Mungu asingemsalti mke wake. Njoo kanisani kwangu nikuombee upone hiyo dhambi mbovu ya kuikosea nafsi yako.
 
Fidel pengine sikueleweka huko nyuma.
Huyu dada alipata ujauzito lakini mimba haikukaa na baada ya miezi minne mimi nikaona tumbo liko flat, nikauliza kunani?, na ndio mtafaruku ulipoanza.
Kimoyomoyo nikamshukuru Mungu, kwa kuwa angenasa na mimi nimenasa.
Ugomvi mkubwa ulianza baada ya kukataa katakata kurudia kujaza mimba nyingine, hivyo kudhibitisha kuwa ile mimba kwake ilikuwa dili.
Nimechongewa kwa watu wengi tu lakini baada ya kusikia visa vya huyu dada wote wana kuwa upande wangu.
Kwa mke wangu nafikiria mara tatu tatu kumwambia asije rudi kwao, na hapo itukuwa imekula kwangu.

Umesomeka mkuu sasa cha kufanya wewe jivue gamba

Alafu badili line ya cmu ili akome kukozoea najua alisha kugeuza wewe ATM
 
I wish ungekuwa na mke kama mimi. Mimi mume wangu akiniomba msamaha kwanza hapatakalika kwa muda. Ila waklahi tungeshirikiana kumwadabisha huyo mshenzi. Jamani nyie wadada wenzangu temeeni mate chini huko mitaani wadada wenzetu ni balaa yani wako kimawindo zaidi.

Mimi nimekuelewa kaka kwani nina uzoefu na haya mambo and will always be on my husband's side kwani najua mna majaribu mengi sana toka kwetu kaka zetu.

Nina similar experience sitaki kusimulia hapa na nimejifunza kuwa kusamehe ni kitu muhimu sana kwenye ndoa. Kama mkeo ni muelewa (kama mimi) mkalishe chini umwambie kwani nakuhakikishia kaka huyo kicheche lazima atajamtafuta mkeo na kumwambia yote na uongo juu ili akuharibie maana umesema mwenyewe ni kichaa. Tell your wife the truth; then muanze rasmi kumshughulikia huyo mshenzi.

Mume wangu kuna kicheche mmoja alitaka kublackmail kama huyo ila uzuri wa mume wangu si msiri so we worked things out together. Ameniuzia kesi kwa hiyo i am now dealing with this stupid lady!
Asante sana Nyumba Kubwa, wasichana wengi walioolewa juzijuzi au wasioelewa huwa hawajui kuwa wanaume walooa wanawindwa sana, hadi wengine kudai wazi wazi kuwa wanataka kuwa nyumba ndogo.
Najua kiboko ya mwanamke ni mwanamke mwenziwe.
Ushauri wako nitauzingatia
 
Eti zinakuchefua rohoni....na wewe unanichefua kwa tabia yako chafu!!!Mijanaume mingine bwana...wakati mnavunja amri ulikua unanoa raha wala hukushea na mtu leo chefuko la kinafki ndo unajifanya unataka ushauri?!mwone kwanza!‘Alafu eti ukajifanya we ndo mke wako....HOVYOOO!
Lizzy ni wewe nini, mbona mkali sana hivyo? acha kung'ang'ania wanaume wasiokupenda...dah..
 
Ulaum ulikojikwa sio ulikoangukia.
Mwanaume kutongozwa ukakubali kirahhisi ni udhaifu wa hali ya juu na ujue kuwa akiamua anaweza kukufuatilia hadi akakuvunjia mji. Ukishajikomit kwa mkeo inabidi uwe makini na wanawake wengine. Vinginevyo unajitafutia matatizo.
Ushauri, muite mkae akiwepo mtu mwingine, naye ikibidi aje na mtu mwingine ina maana mkae mkiwa wanne. Kubali kosa kuwa ulimkosea Mungu wako na binti mwenyewe. Mwombe msamaha kwa yote ulomtendea, na mpe msimamo wako ili asiendelee kujisumbua. Kunyamaza ni kukuza tatizo. Kimya kingi kina mshindo mkali. Pole sana kwa kutotulia kwa mkeo.
Tutor B inaelekea hujaelewa mada yenyewe.Mimi nimeisoma na tena nikairudia na kuna mahala huyu bwana Majoja amesema ameipeleka kesi hii kwa bdugu wa huyo bibie, na wao wakaishia kusympathise na huyu Majoja.
Hivi kwa nini jamii isielewe kuwa kuna vibaka wa mapenzi kama huyu dada aliyesimuliwa.
Na kwenye hili tuna mtafuta mchawi wakati hata ndugu wa huyu dada wankubali kuwa she is erratic.
Mimi namsifu huyu bwana Majoja kwa uungwana wa kukubalu kukaa na "wakwe" na kufikia uamuzi kuwa mtoto wao aachane na huyu bwana-madhali hakuna mimba.
Huu uking'ang'anizi wa huyu dada ni kupewa kichwa tu na watu kama nyinyi.
Hala hala akifahamika asije kupata the final solution katika ndoa ya mtu.
 
Ni kweli kabisa haya ,mambo kama hayajakukuta au kumkuta mume au mkeo ni rahisi sana kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu. I was the same mpaka nilipo pata experience. Si rahisi hasa kwa wanawake kummwacha mumeo kisa amecheat ilihali kaomba msamaha, unless ndoa hiyo haiku base kwenye pendo la dhati.

Na hivi nilishajua kuwa kwa wanaume kutoka nje ya ndoa haina maana hampendi mkewe, hata nyumba ndogo inijie home kuharibu simwachi mume wangu n'go; unless nione kuwa mapenzi yamekwisha. Ila hizo tamaa za wanaume tutarekebishana tu.

Tutor B inaelekea hujaelewa mada yenyewe.Mimi nimeisoma na tena nikairudia na kuna mahala huyu bwana Majoja amesema ameipeleka kesi hii kwa bdugu wa huyo bibie, na wao wakaishia kusympathise na huyu Majoja.
Hivi kwa nini jamii isielewe kuwa kuna vibaka wa mapenzi kama huyu dada aliyesimuliwa.
Na kwenye hili tuna mtafuta mchawi wakati hata ndugu wa huyu dada wankubali kuwa she is erratic.
Mimi namsifu huyu bwana Majoja kwa uungwana wa kukubalu kukaa na "wakwe" na kufikia uamuzi kuwa mtoto wao aachane na huyu bwana-madhali hakuna mimba.
Huu uking'ang'anizi wa huyu dada ni kupewa kichwa tu na watu kama nyinyi.
Hala hala akifahamika asije kupata the final solution katika ndoa ya mtu.
 
Habari yako imenifanya nismile asante sana sitaki nataka ..bahati yako mkeo hajajua ..kumbe kadada kana ustaarabu kidogo hakajamtafuta mkeo kutibua ...

kumbe huwa mnafanya lakini mnaogopa sana wife asikaate news ,Rafiki heshimu ndoa yako mi sina mengi weekend imenichosha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom