gambachovu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 1,854
- 293
umeshafika?
Karibu sana umefikia wapi?
Pole na uchovu!!utakuta nimeshakutayarishia maji ya moto na maakuli
karibu utamkuta amu hapo sebleni atakupa maelekezo yote
Ummu atakutoa matembezini
hivi wewe umesharudi dar au unamzuga mwenzio?. juzi nlijipitisha kwenu nikamkuta mdogo wako tu!. hujambo?. mia
Asanteni sana kwa mapokezi.. Je wewe una mchango gani zaidi wa mapokezi hayo..?
Naandaliwa mapokezi mkuu.. Ndiyo tumepita Kibiti sasa..
Nitakusaidia kunywa bierre
Asanteni sana kwa mapokezi.. Je wewe una mchango gani zaidi wa mapokezi hayo..?
mi nasubili ufike kongowe au njia panda ya charambe ndo nikwambie karibu. mia