swili hati
hujambo
aay jamani....
basi ngoja nije...........
Cheu baybe.....Merry Xmas.....
na ndio ikawaje tena banaaa........
Hivi dawa ya hangover ni nini jamani .......
napata picha jana ilikuwaje mama wa kwanza.
supu kamulia ndimu na pilipili kidogo inawasaidia wengi.
thanks cheusimangala,usiwe unapotea hivo yaani unaonekana jf mwanzo na mwisho wa mwaka
merry xmas to u too mupenzi,mpe hi he and she.
Wazee wa mahangover wakiamka hunywa zaidi ili kuiondosha, wengine hunywa kahawa nzito. Ninashauri hii ya mwisho.
Wameniambia mpaka twende wote. Nakuja dar kukuchukua.Ushatambikiwa?
Wee Zinduna kisa cha kunianika sijui kupika uji? loh' nitapeleka wapi sura yangu hii? lol:shock:
Nimesharusha tayar...mbona hujasema asante?Hebu rusha tigo pesa hapa fasta nije 0713 80 80
Hiv Dena upo? Nilikumiss sana.Zinduna asante nilivoona hy rangi nikadhani ni preta
Mi mzima ubavu wangu. Nakunywa tu kisusio na mbege hapa. Karibu sana
Nani huyo anajaribu kunipindua? Ngoja nifanye mambo huku kwa babu. Akiendeleza kiherehere ataishia milembe!!nchi yako ya kusadikika imepinduliwa huko
Nani huyo anajaribu kunipindua? Ngoja nifanye mambo huku kwa babu. Akiendeleza kiherehere ataishia milembe!!
Private message...ushajuwa sasaAcha longo longo, weka mambo hadharani. PM PM, PM ndio kitu gani?
Unajua hii rangi ni chaguo langu tangu zamani, huyu Preta ameniibilizia, lakini nshamsamee.