Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,363
- 2,261
Umesema ulilalia jicho la kushoto, taarifa zilipelekwa kwenye ubongo kuwa jicho linaumia, na ili lisiendelee kuumia (kwakuwa umelilalia)
Ubongo ukatengeneza taswira ya kutisha kuwa eneo la jicho haliko sawa na linaumia, kupitia picha hiyo (ndoto) ukakurupuka kutoka usingizini na ndoto imeisha, jicho sasa liko salama haliumizwi tena, na kazi ya mifumo ya fahamu imeisha.
Over!
And this is very right,ubongo una akili mingi sanaUmesema ulilalia jicho la kushoto, taarifa zilipelekwa kwenye ubongo kuwa jicho linaumia, na ili lisiendelee kuumia (kwakuwa umelilalia)
Ubongo ukatengeneza taswira ya kutisha kuwa eneo la jicho haliko sawa na linaumia, kupitia picha hiyo (ndoto) ukakurupuka kutoka usingizini na ndoto imeisha, jicho sasa liko salama haliumizwi tena, na kazi ya mifumo ya fahamu imeisha.
Over!
Pole Mkuu, jina mahaba ilo usilichekee linaweza haribu hatma yako ya maisha usipo shughulika nalo.Habarini,
Sikuwahi kuota ndoto za namna hii, ila jana ilikuwa mida ya saa mbili usiku nililala, nililalia jicho la kushoto. Nikaota ndoto kuna mtu kasimama mbele yangu ila nilipokuwa nainua macho kumtizama usoni nilikuwa nashindwa (sikumuona uso).
Sasa ghafla nikajikuta nasex naye mno, katika ulimwengu wa ndoto nikagundua kuwa hakuwa mtu mzuri, nikaanza kukemea na kumfukuza.
Scientifically right, Nahisi ndoto zote zina uhusiano wa namna hii OverUmesema ulilalia jicho la kushoto, taarifa zilipelekwa kwenye ubongo kuwa jicho linaumia, na ili lisiendelee kuumia (kwakuwa umelilalia)
Ubongo ukatengeneza taswira ya kutisha kuwa eneo la jicho haliko sawa na linaumia, kupitia picha hiyo (ndoto) ukakurupuka kutoka usingizini na ndoto imeisha, jicho sasa liko salama haliumizwi tena, na kazi ya mifumo ya fahamu imeisha.
Over!
Spot onUmesema ulilalia jicho la kushoto, taarifa zilipelekwa kwenye ubongo kuwa jicho linaumia, na ili lisiendelee kuumia (kwakuwa umelilalia)
Ubongo ukatengeneza taswira ya kutisha kuwa eneo la jicho haliko sawa na linaumia, kupitia picha hiyo (ndoto) ukakurupuka kutoka usingizini na ndoto imeisha, jicho sasa liko salama haliumizwi tena, na kazi ya mifumo ya fahamu imeisha.
Over!
How? Sasa ndio ajidhihirishe muda huu? Ni mara ya kwanza kuota ndoto ya hivi.Pole Mkuu, jina mahaba ilo usilichekee linaweza haribu hatma yako ya maisha usipo shughulika nalo.
Nikusaidie wewe kwa hili, mleta uzi yeye keshajibiwa kisayansi na huko tushamaliza!Leo nimeota work mate wangu yupo ndani ananikaba nife,nikupambana nae akaniachia,akarudi tena,nikamtoa baru,akarudi tena, halafu mbaya zaidi work mate wangu ana hizi mambo za waganga sana! Yaani alikua anakuja kabisa kwenye uso wa uelewa kwamba mbona huyu ni flani!!
Take CareLeo nimeota work mate wangu yupo ndani ananikaba nife,nikupambana nae akaniachia,akarudi tena,nikamtoa baru,akarudi tena, halafu mbaya zaidi work mate wangu ana hizi mambo za waganga sana! Yaani alikua anakuja kabisa kwenye uso wa uelewa kwamba mbona huyu ni flani!!
Pia nikukumbushe, hii haiathiri imani yako ya dini! Ukiweza, ambatanisha na maombi au dua kali wakati unafanya nilichokuelekeza, kwa maana, imani yako + tendo hilo = usingizi mwanana usiokuwa na vitisho! Imani bila matendo = bure kabisa!Asante sana mkuu wangu! Hii kazi naifanya tena leo leo, bila yakukosa! Naona kabisa jamaa anajaribu kuona nina nguvu kiasi gani