Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,363
- 2,261
Habarini,
Sikuwahi kuota ndoto za namna hii, ila jana ilikuwa mida ya saa mbili usiku nililala, nililalia jicho la kushoto. Nikaota ndoto kuna mtu kasimama mbele yangu ila nilipokuwa nainua macho kumtizama usoni nilikuwa nashindwa (sikumuona uso).
Sasa ghafla nikajikuta nasex naye mno, katika ulimwengu wa ndoto nikagundua kuwa hakuwa mtu mzuri, nikaanza kukemea na kumfukuza.
Ghafla akachukia na kunikamata jicho langu la kushoto na kuling'ang'ania ili asiniache, mpaka jicho likawa linaning'inia kabisa (mazingira ya kindoto ndoto) ila bado hakuliachia, huku akilia.
Ghafla nikazinduka usingizini, kucheck ni saa tano na dk 48 usiku. Daaah! Nimeogopa mno, wajuzi njooni tafadhali!
Mpaka muda huu naogopa mno, kumbuka huwa sizimi taa nikilala.