jamani nimempenda Aminata wa Jf nifanyeje?

jamani nimempenda Aminata wa Jf nifanyeje?

Jakubumba

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2011
Posts
1,624
Reaction score
501
nimependezwa sana na jinsi aminata anavyojibu post za watu mbalimbali humu kiasi kwamba huwa nikiona post mpya tu namtafuta nione amejibu vipi. Yani kwa ufupi nimekufa nimeoza ingawa maana nisipokuta majibu yake huwa siendelei kusoma reply za wengine. Mnisaidie mie mwanaume nifanyeje ukizingatia Aminata simjui? Asije akawa ni mwanaume anatumia jina la kike yakawa tena mambo ya ku-kameroni!!!
 
Mwaga sera mkuu perhaps milango ii wazi ni wewe tu unasubiriwa ili ifungwe!
 
daah kueleza hicia zako ni haki ya msing kabisa wala usiogope japo kukubali au kukataa ni haki yake ya msing pia..try to make the most of it.
 
nimependezwa sana na jinsi aminata anavyojibu post za watu mbalimbali humu kiasi kwamba huwa nikiona post mpya tu namtafuta nione amejibu vipi. Yani kwa ufupi nimekufa nimeoza ingawa maana nisipokuta majibu yake huwa siendelei kusoma reply za wengine. Mnisaidie mie mwanaume nifanyeje ukizingatia Aminata simjui? Asije akawa ni mwanaume anatumia jina la kike yakawa tena mambo ya ku-kameroni!!!
 
Jana kuna mwenzio kaanzisha thread hapa kawasiliana na mtu anajua ni dada kumbe ni dume...take care kuna wengine wana behave viceversa....utaishia kuombwa umtumie nauli aje huko mliko muonane ndio utagundua ulikua unapenda dume jenzio.......
 
Panga kideti, mwaga maneno! Mbona izeee tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom