Jamani nimeliota hili

Jamani nimeliota hili

Wa kusoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
3,454
Reaction score
2,984
Nilikuwa nimepumzika leo mchana baada ya kutoka darasani ghafla nimeota nafungua jf kwenye simu yangu nakumbana na ujumbe umeandikwa kwa rangi nyekundu ." "THIS FORUM HAVE BEEN CLOSSED" eti kwa sababu za kiintelijensia, hivi jamani hili linaweza kutokea au? but namshukuru Mungu huwa mara nyingi mm ndoto ninazoota mchana hazitokei.
 
Kemea hiyo ndoto isije ikawa umechaguliwa kurithi mikoba ya marehemu Sheikh Yahya
 
Utaota hata wakati ukiwa macho tena ukiwa unatembea, kazana sana kuota na sijui lini utachipuka.
 
Shindwa, ulegee, usambaratike, na upeperushwe na upepo
 
We kongosho vp? Mm nimekwambia nimeota au unadhani hili haliwezi kutokea? Au unataka nimwambie mods wakuchome moto?
 
haiwezi kutokea kama ikitokea nitajitolea kutembea uchi njia nzima kupinga hilo swala. Nashut down
 
.......Aaaa kumbe ulikuwa umelala mchana ndiyo taabu ya ndoto za mchana.

Najua kabla ya hapo lzm uliota unacamenuriwa tena na.....

Pole sana ndoto za mchana ni za masaburini
 
wanakukamerun wewe mwenyewe, nyambafu zako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom